Search results

  1. aleesha

    Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    hili jambo tangu nazaliwa nalitamani, tumechoshwa na watanganyika wanaokwenda kuzurura tu kule bila ya kazi maalumu, kule Zaznibar badala ya kunukia marashi ya karafuu sasa kunanuka vundo
  2. aleesha

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Hayo maumivu unayoyapata ni madogo tu ukilinganisha maumivu ambayo tunayapitia Zanzibar tangu mwaka 1964, tumepoteza kila kitu chetu
  3. aleesha

    Tuheshimu mila za watu

    Watanganyika mmataka kufanya fujo Zanzibar mkuchukuliwa hatua mnasema mnabaguliwa
  4. aleesha

    Tuheshimu mila za watu

    Ndio maana mmaishia kubaguliwa na kuchapwa mboko mkiwa kule Zanzibar kwa tabia zenu za ovyo 😂
  5. aleesha

    Tuheshimu mila za watu

    Mtanganyika katika ubora wake
  6. aleesha

    Tuheshimu mila za watu

    Hakuna mzanzibari anayeutaka muungano na watanganyika mtaishi maisha magumu sana Znz, ndo maana mnatandikwa mboko 😂
  7. aleesha

    Tuheshimu mila za watu

    Zanzibar ni ya Wazanzibari wa Tanganyika acheni kujitoa ufahamu
  8. aleesha

    Tuheshimu mila za watu

    Kukamatwa watu kula Mchana Zanzibar ~ Watanganyika wasio Waislamu wamezusha Mjadala. Ni vyema tukafahamu ya kuwa MILA, DESTURI, SILKA na UTAMADUNI ni mfumo wa maisha kamili ya kila jamii. Zanzibar kwa karne nyingi imekuwa ikitajika na kusifika ikafikia kubandikwa jina Tolerance Country. Kwa...
  9. aleesha

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Kule Zanzibar kuna ustaarabu wake mijitu mingi ya Tanganyika ikija kule inataka kufanya uchokozi kwa makusudi matokeo yake ndio hayo apo, mimi ushauri wangu kama huna kazi ya maana huna haja ya kwenda Zanzibar na ndo maana tunaomba duaa passport zirejeshwe kuingia Zanzibar ili kuondoa vitendo...
  10. aleesha

    Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Mitanganyika rudini kwenu kipindi hiki kumbukeni kule Zanzibar sio kwenu
  11. aleesha

    Kwanini Rais Samia katumia strategies hizi? Kuna Nini kimejificha?

    Hamumkubali kwa sababu ya Uzanzibari wake kwani hatuwajui nyinyi maroho mbaya ila ndo ashakua Mama wataifa mtafanyaje?
  12. aleesha

    Kwanini Rais Samia katumia strategies hizi? Kuna Nini kimejificha?

    Kule Zanzibar kila mwaka si mlikua mnapeleka majeshi mkawa mnafurahisa sana, sasa acha tu mtandikwe vichogo. Wacha bimkubwa mwaka huu awafunze adabu
  13. aleesha

    Awamu ya sita ni mti unao nyauka kila kukicha

    Na pia Chadema sio solution
  14. aleesha

    Ugomvi wa Zanzibar na wamasai ni mwendelezo wa Ubaguzi

    Watanganyika mara hii mtaisoma namba upande wa zanzibar 😂😂
  15. aleesha

    Lini CCM itatoka madarakani na wapinzani watashika Dola?

    Hiyo ni ndoto, maana kwa chadema tunavyowaona viongozi wao mitandani hali itakua mbaya zaidi kuliko Ccm
  16. aleesha

    Je ni maneno ya kweli au ni propaganda?

    Kuna baadhi ya wauzaji au madalali wa Magari wanasema Gari ambayo ni 4Wd sio nzuri kwasababu zifuatazo. 1. Zinakunywa sana Mafuta 2.Utengenezaji wake unakuwa mgumu. Hapo nazungumzia kwa upande wa Zanzibar,tena kwa baadhi ya Yadi ambazo ni maarufu. Kwa mfano Dalali anaweza kukuambia kwamba...
  17. aleesha

    Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

    Taifa Stars hawezi kufanikiwa mpaka muwape uhuru wao waZanzibari
  18. aleesha

    Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

    Vicky Kamata hatimae amekamatwa kwaio badala kuwa Vicky kamata sasa amekua Vicky Kamatwa 😂😂
Back
Top Bottom