Search results

  1. toghocho

    Friends with benefits

    Habari za leo wadau. Mimi ni mwanaume umri miaka 23-25, natafuta mwanamke (binti) miaka 22-25, wa kuwa nae kama rafiki wa kubadilishana mawazo, na kuwa nae katika mahusiano yasiyo rasmi (friends with benefits) awe na sifa zifuatazo. 1. Awe ni mtu anayejiheshimu. 2. Mzuri ( as opposed to...
  2. toghocho

    Wapi nitapataMicrosoft surface pro Keyboard ?

    Habari wakuu, natafuta keyboard ya microsoft surface pro yangu hap Tz ntapta wapi
  3. toghocho

    Bei ya toyo (bajaji ya miguu mitatu) ya kubebea mizigo

    Habari wakuu, natafuta bajaji ya kubebea mizigo maarufu kama toyo, hivi dukani bei ni shilingi ngapi kwa sasa. note: maduka ya kuaminika maana kuna jamaa huwa wanaziagiza kwa exemption then wanaziuza, matokeo yake kubadili jina inakuwa mziki. Asanteni wakuu.
  4. toghocho

    The best movie line..

    Ni maneno gani, au majibizano gani yaliyo ku impress kwenye movie, ambayo uliangalia then ukarudishia usikilize tena? mimi kuna hii: "what ar u gonna do?"...jibu: "my job." then hii ...".is this a joke?" jibu" am I laughing?" .....anamkiss.......''.I'm married''....jibu..."get out" ..."you...
  5. toghocho

    Tanzania Daima La Tar `19 jan. 2013

    Heshima mbele wakuu, nimeambiwa kuna nafasi ya kazi kwenye gazeti la Tanzania Daima la jana tar 19, ukurasa wa tano, mwenye uwezo wa kutupatia page hiyo tafadhali naomba msaada wako wa scanned au details,... natanguliza heshima....
  6. toghocho

    Msaaada: Tatizo la Macho

    Heshima mbele wakuu, kwa siku kama 4 sasa, nimekuwa nasumbuliwa na Tatizo hili la macho, ni kwamba, Mie (au niseme macho yangu) huwa ni maoga sana kwenye mwanga mkali na hasahasa wa JUa la hapa dar. sasa macho yangu ghafla yamedevelop kitu kama kagiza flani, ambapo kumuona mtu waweza muona but...
  7. toghocho

    Msaada wa kujifunza programming

    Heshima mbele wakuu, nina passion ya kujifunza programming, lakini tatizo ni kwamba sijui nianzie wapi, in short computer najua basics zake tu ukizingatia nimesoma biashara kuanzia form 3 mpaka degree, lakini najua hiyo hainizuilii kujifunza programming na vitu vingine, naombeni msaada wenu...
  8. toghocho

    Shule ipi bora kati ya Kandoto, Precious blood na Maria goreth

    nataka kumpeleka binti yangu shule mojawapo kati ya hizo, amefanya interview na kufaulu zote, sasa sijui kwa maoni yenu wanajamvi ipi nzuri kwa future yake?
  9. toghocho

    Msaada: Nna tatizo gani?

    Nimekuwa na tatizo la kuteswa sana linapokuja swala kwamba naumwa mafua...hii imekuwa muda mrefu tangu niko sekondari. taitzo liliongezeka baada ya kuwa kila nnapougua malaria lazima iambatane na mafua, na kufanya kuwa even worse, tatizo ni kwamba kila nnapougua mafua nakuwa so weak, yaani...
  10. toghocho

    msaada kuhusu law qualification

    jamani wakuu nisaidieni, nina degree ya finance, na nimesoma Economics, Commerce and Acountancy, advance level, hivi nikitaka kuwa wakili, ni lazima kuanza upya degree ya law, au naweza kufanya postgraduate?if so, (2nd option) wanahitaji qualification gani, and then ukimaliza unaweza kwenda law...
  11. toghocho

    maswali ya kijinga, majibu ya kukatisha tamaa

    hey wana jf; kuna watu wanauliza maswali ambayo ni ya kizushi, dawa yao kuwajibu dry, kama hivi (kwenye foleni mwisho) S:we ndo wa mwisho kwenye line? J: hapana mi ni wa kwanza tumesimama kinyumenyume (kwenye basi mama amebeba mtoto) S: mtoto wangu mzuri ee? J: huyo ni mtoto? (kwenye...
  12. toghocho

    the fight among professions

    Two physicians boarded a flight out of Seattle. One sat in the window seat, the other sat in the middle seat. Just before takeoff, an attorney got on and took the aisle seat next to the two physicians. The attorney kicked off his shoes, wiggled his toes and was settling in when the physician in...
  13. toghocho

    Cats commandments.....

    kutokana na usumbufu ninao upata kutokana na paka wangu, nimeamua kumuandikia commandments (amri) CAT COMMANDMENTS >^,,^< Thou shalt not jump onto the keyboard when thy human is on the modem. Thou shalt not pull the phone cord out of the back of the modem. Thou shalt not unroll all of the...
  14. toghocho

    koo langu mie

    jamani nina tatizo ambalo mwanzo sikuliona kubwa, lakini sasa naanzza kuji doubt, mwanzoni mwa february mwaka huu nilianza kusikia kooni kwangu kama kuna kitu kimekwama, nikajua kawaida labda msosi, baadae kikawa kama kinakua hivi yaani naanza kusikia kooni karia pote pamekabwa, nikaenda...
  15. toghocho

    Disco vumbi

    kwa wale wadau waliowahi kuhudhuria madisko vumbi especially vijijini, mziki wa panasonic au sony uliounganishwa na kipaza sauti je! ni nyimbo gani nzuri mnazokumbuka ambazo zilikuwa zikipga unakuwa hoi ndani ya vumbi. mambo ya kwaito, bolingo
  16. toghocho

    maswali na majibu ya wanawake wanapotongozwa....

    jamani mimi kitu kinanishangaza ni haya majibu ya wanawake wanapopigwa sound au kutongozwa, kwa mfano mwanaume; mi nataka niwe na wewe mwanamke; nina mtu. mwanaume; kwa hiyo? mwanamke; ndo hivyo.. mwanaume; kwahiyo hunipendi, hunitaki? mwanamke; sio hivyo...
  17. toghocho

    Ndoto gani hutaisahau?

    eti jamani wadau, ni ndoto gani ambayo hutaisahau? mi nakumbuka nikiwa form 2, niliota sista angu anapika nikaenda jikoni kumuangalia nikakuta kapika dagaa wazuri sana, walikuwa wa kukaangwa, nikamuomba anionjeshe, ile naonja tu nikastuka nimelamba mkono mtupu.... wewe ni ndoto gani ambayo...
  18. toghocho

    Mirambo wanaume

    wale watu wa kazi tuliosoma shule ya WANAUME MILAMBO vipi mpo humu JAMVINI? je! mnakumbuka mambo gani pale URAMBONI? tukumbushane
  19. toghocho

    moral of the story.

    A teacher instructs her fifth-grade class to ask their parents to tell them a story with a moral at the end. The next day the kids come in and share their stories. "My daddy told me about my uncle Dave," says one boy. "He was a pilot in Vietnam and had to bail out over enemy territory with...
  20. toghocho

    best marriage

    Marry a girl,who cooks well.! Marry a girl,who looks well.! Marry a girl,who cares for you.! & one important thing, make sure that the three girls don't meet each other...
Back
Top Bottom