Search results

  1. U

    Doto Biteko njia alotengeneza Makamba ni mbovu. Kwa kuanza tengeneza yako!

    Mh, kwanza nakupongeza kwa kuwa Waziri mpya wa Nishati. Nina imani na wewe! Mhe, kutokana na imani niliyonayo kwako.. nisingependa kuona unaharibu kama alivyofanya mtangulizi wako. Hivyo basi nakushauri kufanya yafuatayo : 1. Tengua bodi aloteua Makamba. Bodi imejaa watu wenye makando kando...
  2. U

    Pendekezo: Wabunge wapewe miaka mitano mitano

    Wakuu, Kwakuwa suala la kuwakilisha wananchi sio la mtu mmoja, na wenye sifa ni wengi hasa kati zama hizi ambazo wasomi ni wengi, Kwakuwa matatizo ya jimbo husika yanajulikana hivyo sio kwamba mtu mmoja ndo mwenye upeo wa kuyaona, Kwakuwa mbunge analipwa mshahara, mwisho wa kipindi chake...
  3. U

    Zanzibar ni nchi huru au ni sehemu ya Tanzania?

    Ukinambia ni sehemu ya Tanzania nitakuuliza maswali yafuatayo: 1. Kwanini Watanganyika hawaruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar? 2. Kwanini ni ngumu ajira za Zanzibar kuhusisha Watanganyika? 3. Kwanini wana rais wao na bendera yao? 4. Kwanini wana taasisi zao zinazojitegemea kama mahakama...
  4. U

    January Makamba anastahili kujiuzulu, anaowabebesha mzigo hawana kosa

    Zababu za kujiuzulu ni hizi hapa. 1. Aliteua bodi ya TANESCO yenye watu walio na kashfa nyingi. Hapa utamkuta Majaar wa Rex Attorneys, Gachuma na wengineo ambao wana historia ya kuwa na kashfa kadhaa katika shirika hili kipindi cha awamu ya nne. 2. Amesaini mikataba miwili mpaka sasa yenye...
  5. U

    Jakaya Kikwete ndio engine ya siasa za Tanzania kwa sasa

    Ukiangalia yanayoendelea Ikulu kuanzia teuzi hadi nchi inavyoendeshwa unaona kabisa ni JK nyuma ya pazia. Hapa utaona approach ya mama kuhusu safari, kuhusu bandari ya Bagamoyo, kuhusu uwekezaji, nk unagundua ni JK tupu. Ukija kwa wakosoaji wakubwa wa serikali kupitia social medias ambao...
  6. U

    Zitto Kabwe huna haja ya kujificha tena, njoo CCM

    Inasemekana kuwa huyu mwamba hakuwahi kuwa mpinzani wa kweli, huwa yuko kule kwa kazi maalum. Baada ya mlezi wake kufariki (Samuel Sitta) mwamba akawa Msoga Gang (Wakojani) rasmi. Baada ya Magu kuwa Rais Wakojani mwanzo walikuwa wanamsapoti, ndo maana Zitto aliwasaliti wapinzani kwa kuamua...
  7. U

    Nchi za Kiafrika zitaendelea kutawaliwa kwa muda mrefu zaidi

    Baada ya kutusoma akili zetu wazungu waliamua kutafuta njia nzuri za kututawala bila sisi wenyewe kujua huku wakiendelea kutuvuna kadiri wanavyoweza, kadiri ya fursa iliyopo katika eneo husika. Baada ya kutafakari kwa kina wakaamua kutumia chocho zifuatazo: 1. Kutumia viongozi wasio waaminifu...
  8. U

    Ni wakati sahihi wa Manji kumburuza Makonda Mahakamani

    Ndugu Yusuf Mehboub Manji, Bwana Makonda alikuchafua sana na harakati zako za kumpeleka kwenye vyombo vya sheria ziligonga mwamba kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wako. Ila sasa upepo unaruhusu. Ni muda wa kutafuta haki yako iliyotaka kupotea. Wasalaam!
  9. U

    Pongezi kwa Sports Arena ya WASAFI FM

    Hawa jamaa kipindi chao kimejikita katika ueledi na sio uchonganishi. Habari zao zinazingatia taarifa rasmi na si vinginevyo. Katika chambuzi zao hawaegemei upande wowote, na wanaongea wakiwa relaxed kabisa. Hongera sana Eddo na crew yako. Ila mshauri Yusuf Aboubakari Mkule aache kumuiga...
  10. U

    GSM, Mshindo Msola tuachie Yanga yetu

    Baada ya kuangalia mechi yetu ya leo haya ndo mawazo/maoni/maswali na mapendekezo yangu 1. GSM kupitia Hersi Said kwanini wanahusika kwenye usajili wa wachezaji? Yani Hersi ndo scout wa Yanga, tangu lini akasomea fani hiyo? 2. Kwanini GSM amekuwa mtendaji wa Yanga? Vitu kama wiki ya Mwananchi...
  11. U

    Tetesi: Yanga kutimkia DSTV iwapo Simba watapewa dau kubwa zaidi na Azam

    Thamani za hivi vilabu hazitofautiani sana, wapenzi wake huongezeka au kupungua kulinga na matokeo uwanjani kwa kipindi husika. Kiuhalisia wapenzi wa hivi vilabu ni nusu kwa nusu hivyo basi Simba hawatakiwi kupewa dau kubwa kuliko Yanga. Bahati mbaya inasemekana Yanga ameingizwa cha kike , dau...
  12. U

    Yaweza kuwa Kikwete amerudi madarakani kwa sura nyingine?

    Habari za jioni wakuu! Naamini wengi tushaanza kukubali kuwa JPM hatuko nae tena. Ni wazi kuwa maisha lazima yaendelee hivyo nimejikuta nawaza mustakabali wa taifa letu linakoelekea. Kwanza kabisa wote tunajua kuwa JK ndo alimteua Mama Samia kuwa waziri 2010 -2015, lakini pia Ijumaa ya...
  13. U

    Uchaguzi 2020 Bukoba Mjini msifanye makosa tena tarehe 28/10

    Wakazi wa Bukoba, naomba muelewe kuwa boss hanuniwi. Kuendelea kuuchagua upinzani ni kuendelea kwa hiyari yenu kabisa kujitenga na maendeleo. Jifunzeni kuenda na uelekeo wa upepo. Amkeni! Nawakumbusha kuwa hasira hasara. Wenzenu wa Kilimanjaro wameshaliona hili na kuna uwezekano mkubwa wa wao...
  14. U

    Slay Queens Raha Sana

    Wakuu kwema? Kabla ya mada yangu napenda kuwakumbusha kuwa tayari Corona iko Tanzania hivyo tuchukue tahadhari stahiki. Tukirudi kwenye mada; Slay Queens ni wasafi, wana lugha tamu, wanajua kucheza na wanajua kupangilia mavazi. Pongezi kwenu slay Queens, hakika mnanipa raha sana. Shilingi...
  15. U

    Uzi maalum kwa ajili ya mabadiliko ndani ya Yanga

    Wakuu, naomba uzi huu uwe maalum kwa ajili ya mabadiliko ndani ya Yanga yani kutoka ktk mfumo tegemezi kwenda ktk mfumo wa hisa. Ni muda mrefu hakuna hata ukulele kuhusu haya mabadiliko tangu iundwe tume maalum kwa ajili ya kutafiti na kujua thamani halisi ya Yanga wakati tulijua mchakato...
  16. U

    Rubby Ayamaliza na Clouds

    Msanii wa muziki Bongo, Ruby amemaliza tofauti baina yake na Clouds Media Group. Muimbaji huyo ametumia kipindi cha XXL kuwaomba radhi wale wote aliowakwaza katika chombo hicho cha habari. “Yeyote, awe ni mwanakamati wa Clouds, team Clouds au awe ni shabiki wa nje I like to apologize guy to...
  17. U

    Yanga inahitaji kujengwa upya

    Salamu wakuu! Kwa wale mnaofuatilia michezo mtakubaliana na mimi kuhusu mambo haya: 1. Wachezaji muhimu wote wamechoka hali inayosababishwa na umri wao kuwatupa mkono ama kutojitambua. Hapa kuna Donald Ngoma, Hamis Tambwe, Thaban Scara Kamusoko na Nadir Haroub. 2. Utovu wa nidhamu...
  18. U

    Ni kweli Michael Essien Amefariki?

  19. U

    Ni wakati muafaka wapinzani kujiunga CCM ili kuleta mabadiliko!

    Wakuu, nikiwa kama Mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu huwa nasikitika sana jinsi akina Lissu, Mdee, Zitto, Kafulila nk jinsi wanavyodhihakiwa huku wakitetea maslahi ya Watanzania. Binafsi sioni uwezekano vyama vyao kuja kuitoa madarakani hivyo naona njia bora ya kuisimamia serikali ni...
  20. U

    Akilimali, Chacha na wenzenu mkuje na suluhisho

    Jamani, hawa watu ndo walienda mahakamani kupinga kampuni ya Yanga Yetu iliyokuwa chini ya Manji! Inawezekana kuna baadhi ya vipengele vya katiba vilikiukwa ila lilikuwa suala la kuufuata uongozi na kuyaweka mambo sawa na sio kwenda mahakamani. Leo Manji kaondoka na pesa zake, Chacha na...
Back
Top Bottom