Search results

  1. E

    Saa 1 na dakika 11 usiku hapa Mbeya jua bado linawaka

    Greenwich Meridian is Longitude Zero. Mashariki au Magharibi mwa Greenwich hufanya jua kuwahi kuzama ama Kuchelewa. Viewed from above: Dunia ni moja na tofauti ya masaa kati ya sehemu na sehemu ni kwa sababu ya utofauti wa coordinates za Longitudes. Simply put,Kwenda mashariki Long 15degrees...
  2. E

    Mnayasababisha wenyewe halafu mnalalamika

    Maneno yenye akili * house—- Horse [emoji237]
  3. E

    Mwanaume usiye na kazi usipende!

    Tunarudi kule kule 1.usiwekeze kwa mtu isipokuwa wewe( Don’t Commit to anyone, be not a fool) 2.usimpende mtu isipokuwa wewe kwanza( Love yourself first before your neighbor, none should teach you this) 3. Be empathetically SELFISH. Usimuhurumie mwanamke, Mdanganye, mtumie, kaa nae kinafiki...
  4. E

    Mwanaume usiye na kazi usipende!

    [emoji28][emoji28][emoji28] Unakufa kisa mtu asee huu ujinga wa karne. Yaani mimi huyu ninidhuru hahahaaa kwa sababu ya mtu hiiiii bagosha
  5. E

    Christiano Ronaldo na Lionel Messi wote wamepost picha hii Kwa pamoja , comments zimevunja record ndani ya mda mfupi

    Nkololo ndo wapi mkuu hahahaa. Ya bariadi ulikozaliwa [emoji28]
  6. E

    Wazungu baada ya kufanya haya kwa akina Lumumba, leo wanatuhubiria haki za binadamu!

    Umefila wanaume wenzio wangapi kwa ‘kutumwa’ ili uwafurahishe na ili uoneshe kwamba wewe mwamba Hakika ukimfanyia hivyo mwanadamu mwenzio hutabaki salama, Mola Mlezi atakuadhibu tu.
  7. E

    Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

    You know little about women. Alichokiandika Threader( Robert) ni kweli tupu na ni hakika.
  8. E

    Wanaume ichukueni hiii, kama hufanyi anza sasa

    Wewe! Utata wa mwanamke unatoka wapi? Ondoeni hii mindset vichwani mwenu- wanawake viumbe simple abd easy sana hawana ugumu wowote! Ujinga, njaa , shida, uongo, ulaghai sasa ugumu wao upo wapi? Wanawake wepesi sana- kiumbe complex ni mwanaume.
  9. E

    Mwonekano wa Mipaka ya Nchi Mbali mbali

    Dunia ni moja na haina mipaka. Raia wa ulimwengu
  10. E

    Wewe mwanamke mwenzangu achaga hizi mambo utazaa kabla ya muda wako

    Usinidrive sikuzaliwa na wewe alaaa! Sikuumbiwa mtu mmoja mimi kati ya watu 7B eti Mungu aniumbie mtu hahahaaa! Wanadamu tunadanganyana sana, tunawekeana sana regulations hata kwenye masuala binafsi. Haki ya mtu lazima iheshmiwe Lazima tuutetee ubinafsi Iam truly an individual- naweza date...
  11. E

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Linapokuja suala la kuongea people can Say anything,thats why i dont listen to peoples’ words—— Leteni picha na video za frontline wacha maneno. I trust my eyes more than my ears.
  12. E

    Wazee wa Mathematics: Jibu lipi ni sahihi hapa?

    Acha ujuaji B bracket- fanya chochote ndani ya bracket O open bracket D divide M multiply A add S subtract So; B 2+1=3 O 3*2=6 D 6/6=1
  13. E

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    You can’t escape from your female nature— All women are the same. Kama ilivyo wanaume wote ni sawa- the nature of men. Na Watu wote ni sawa— Human nature Kila kitu kinaoperate according to its nature not otherwise.
  14. E

    Nina kipaji cha utapeli

    Conman or con artist
  15. E

    Lugha za wanawake zinavyowachanganya wanaume

    Wanawake viumbe simple sana kuwajua, hawana ugumu wowote. Ni kama kutafuta thamani ya X kwenye linear equation yenye variable moja—— because they’re all the same. Easy sana hawa Watu
Back
Top Bottom