Search results

  1. M

    Airtel Money leo mmeyumba

    Yaan we acha bro...walichonifanya leo..ni fedheha kubwa..sitokuja kuwaamin tena airtel..[emoji35][emoji35][emoji35]..ni wangese sana
  2. M

    Arusha hivi "vifodi" ni kuchafua jiji achaneni navyo

    Na kuna ubabe wa kifala watoto wa uswahilin bondeni..yaan a town inahitaji miaka 20 mingine..iache ukabila pia
  3. M

    Arusha hivi "vifodi" ni kuchafua jiji achaneni navyo

    Kwa kifupi arusha ni ya ku duanzi tuu
  4. M

    Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo asubuhi redioni

    Unazungumzia kazi au ajira??tuanzie hapo..
  5. M

    Ni ushamba Kulazimisha majina ya watoto yaendane hata kama hayaleti maana?

    Usijali..tutawaita matunduizi..matundu...mapumb()..ili yafanane na lako ufurahi..
  6. M

    Huyu mwanasiasa hii pesa anatoa wapi?

    Braza uza ist hy bana...tumekustukia[emoji75][emoji75]
  7. M

    Nakushukuru BABA Askofu kwa majibu yako mazuri,lakini bado nina maswali.

    Kwan ni wap sista amemkomalia jackline kwenye hili bandiko lake.??
  8. M

    Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

    Hajui kitu huyo braza...unga unachanganywa na ving...anajua uzito wa G 3 kwa mfano unatoa busta ngap??na busta moja ni kete ngap??na kete moja ni sh ngap??
  9. M

    Hawa waliwahi kutamba sana awamu ya 4 na kutetemesha Jiji

    Acha umbea mtoto wa kiume...utavishwa shanga... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Kuchepuka gharama sana

    Kwa mzigo kama huo WA kwenye avatar...kutulia tutatulia kwenye jeneza mazee Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Kuchepuka gharama sana

    Kaa ukijua starehe gharama ..Kama unaogopa gharama watoto wazuri utabaki kuwaita shemeji.. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Kwako Waziri Kangi Lugola: Bangi inavutwa hadharani

    Acha uchawi mtoto wa kiume...fanya yako... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Kifo cha Mwanamuziki Godzila kiwe funzo kwa Serikali

    Pole sana braza...this life is shit...just enjoy every second of it bro...the goal of life is happiness...and happiness does not come from material things...it's a state of inner man... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    Polisi wa Ubungo, hili chimbo la madawa ya kulevya hamlijui?

    Pale panaitwa kitintale ni maskani ya miaka mingi tokea enzi ya barabara moja kabla mtoa mada hujaja mjin...so haiwez kufa Kama uwanja wa fisi Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Wataalamu wa mchezo wa draft tu:Je mwenye nyekundu anaweza kwepa kufungwa supa hapo?

    Draw hy acha uoga Sent using Jamii Forums mobile app
  16. M

    Kakobe afafanua ni kwanini tumsifu Magufuli wakati ni sisi tunaolipa kodi

    Vp askofu kakobe mchizi alishatubu?? Sent using Jamii Forums mobile app
  17. M

    RC Makonda: Nataka Dar es Salaam liwe Jiji la mchana na usiku

    Tumewastukia 2020 inakaribia mnataka kutuzuga, ILA kwa kuwa wabongo wamepigwa dripu za upuuz na umbea hakuna noma watasahau miyeyusho yenu yote.. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. M

    Nahitaji accounting package special for rental car business

    Njoo pm mdau...naweza kukusaidia
  19. M

    Ukikutana na shetani leo hii utamwambia nini?

    Ntaamuliza kama kwel na yeye anaogopa kula jicho...au wanamsingizia tuu?
Back
Top Bottom