Search results

  1. Alvin A.

    Mliopo Bunju kwenye Mahafali ya CPA tujuzane leo nimetimba hapa

    Kama wewe ni graduate wa CPA au umemsindikiza ndugu, jamaa rafiki au jirani au mzamiaji kama mimi sio mbaya tukionana hata kama wewe ni wale "wasiojulikana" its fine nikikujua maana hata siwaogopaji maana mimi pia sijulikani Lets mingle and have fun.
  2. Alvin A.

    Muhudumu wa Bar alivyowaabisha jamaa wa "mupe muruke, mupe muruke"

    Good morning fellas, long time no see Jana majira ya saa kumi nimeenda Bar fulani ambayo ni hot sana mtaani kwangu, nilikuwa na miadi ya kukutana na jamaa yangu ambaye alikuwa semina so nikawa namsubiri maana nlikuwa na vyeti vyake. Hii bar mi ni regular cuctomer [emoji482][emoji482][emoji482]...
  3. Alvin A.

    Huyu dada amekwama wapi au ndio anataka kuniibia?

    Habarini wanajamvi. Ishu ipo hivi, kuna mdada mrembo. Nilitana nae mara kadhaa sehemu flani hivi last year mwezi wa 7 tukazoeana kimtindo. Katika mazoea hayo, day moja baada ya kupiga zangu gambe akaja hapo Bar, tukajumuika mwisho tukaishia kuzoana na kwenda kumaliza shida zetu. Huyu binti...
  4. Alvin A.

    Hasara 10 na faida 5 za kuchepuka katika ndoa

    Kila jambo lina pande mbili, upande wa uzuri na upande wa ubaya, lakini katika kufanya maamuzi basi ni vyema kuegemea upande wenye mazuri zaidi kuliko mabaya. Kuchepuka ni aina nyingine ya usaliti anaoufanya mtu kwa mpenzi wake, japo wahenga walinena acha michepuko baki njia kuu, michupeku...
  5. Alvin A.

    5 Corruption Scandals That Rocked The Nation 2019

    Kenya takes to corruption as fish to water. Ranked 144 out of 180 countries on Transparency International’s 2018 Corruption Perception Index, it is no wonder the country is perceived as one of the world’s most corrupt countries. The Jubilee administration under President Uhuru Kenyatta's second...
  6. Alvin A.

    Jeshi la Iran hatimaye limekiri kudungua "kimakosa" ndege ya abiria Ukraine siku ya Jumatano, runinga ya taifa ya Iran imeripoti

    Taarifa ya jeshi inaeleza kuwa mkasa huo umetokana na "makosa ya kibinadamu" baada ndege hiyo kupita karibu na eneo nyeti linalomilikiwa na Kikosi cha Mapinduzi (Revolutionary Guards). Maafisa waliofanya kosa hilo wataadhibiwa, taarifa hiyo imeeleza. Watu wote 176 ndani ya ndege hiyo...
  7. Alvin A.

    Utabiri wa hali ya ndoa

    Wanaume watakuwa wakali kipindi cha Disemba mpaka mwanzoni mwa February[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] NA kwa wanawake walioolewa na watumishi wa umma, kutakuwa na vipindi virefu vya HASIRA & KUSONYA...
  8. Alvin A.

    A Word from Benjamin Netanyahu

    Mr. Netanyahu said: Only 70 years ago! The Jews were taken to slaughter like sheep. - 60 years ago! - No country. No Army. Seven Arab countries declared war on the small Jewish state, only a few hours after its creation! - We were 650,000 Jews against the many millions in the Arab world...
  9. Alvin A.

    Taa za kilitime, matairi ya Land cruiser used na fan guide

    Taa Zipo mbili 200k kila moja Tairi 4 za land cruiser 275/70/R16, Tsh. 250k Fan guide ya landa cruiser tsh 70k Spares za engine ya 1G FE, BEAMS2000
  10. Alvin A.

    Papaa Msofe naye yamkuta. Afikishwa Mahakamani akituhumiwa na makosa matano likiwemo ya Utakatishaji fedha

    Mfanyabiashara maarufu Marijan Msofe maarufu 'Papaa Msofe' na wenzake wanne wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashitaka matano ikiwemo utakatishaji wa fedha wa zaidi ya TSh.Mil 900. Si mara ya kwanza kwa Papaa Msofe kufikishwa Mahakamani hapo kwani aliwahi...
  11. Alvin A.

    Let it Go!

    Ex atabaki kuwa ex tu na sio maana nyingine yoyote. Kama ni wa maana, asingekuacha au asingekukosea adabu pindi mlipokuwa wote. Kama Ex hakuwa na mchango wowote wa maana kwako wakati mkiwa pamoja, unafikiri kwa muda huu atakuwa na mchango gani wakati hamko pamoja? Ndio, inawezekana ni mtu...
  12. Alvin A.

    U.S. Worried Israel Will Strike IranIsrael Is Worried About Something Else

    Israel has hosted a series of senior defense officials in recent weeks, climaxing in Sunday’s visit by the chairman of the Joint Chiefs of Staff, Gen. Mark Milley, who was hosted by Israel Defense Forces Chief of Staff Aviv Kochavi. Both countries took care to stress that ties between their...
  13. Alvin A.

    Middle East IRGC commander threatens to destroy Israel

    IRGC commander threatens to 'destroy' Israel Head of Iran’s Revolutionary Guards says Iran will “destroy” the US, Israel and Saudi Arabia if they cross its “red lines”. Hossein Salami, deputy head of Iran's Revolutionary Guard Hossein Salami, deputy head of Iran's Revolutionary GuardReuters...
  14. Alvin A.

    Maisha ya shule bwana we acha tu!

    ... Nilipokuwa shule ya Msingi enzi hizoo kuanzia Darasa la Nne hadi la Saba maksi zangu za somo la Hisabati (Hesabu) zilikuwa zinacheza kwenye 03% - 08% na Kwa bahati mbaya matokeo yalikuwa yanatangazwa mbele ya Darasa. Yanapotangazwa mwalimu anaanza kuwaita Wanafunzi kuanzia maksi ndogo...
  15. Alvin A.

    A Letter from a dead mum

    Dear Son, I want to know why I died like a poor woman when I have a Son like you. My Son, I wanted to bless you before I die, but now I have gone with my blessings. My breakfast, my lunch and my dinner was one of my challenges when I was alive, but you spent money to cook all types of foods...
  16. Alvin A.

    Amri 10 za uzinzi

    1. Usipokee simu ukiwa chumbani na mke wa mtu unaweza kuwa unafwatiliwa ili uuliwe, pundamilia wewe![emoji3070][emoji3070] 2. Usitumie gari yako inayofahamika. Kodi tax, Uber au bodaboda..... [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] 3. Usiandikishe jina lako halisi katika...
  17. Alvin A.

    Kwa wanawake tu

    Habari wanadada wa Jukwaa hili pendwa, Twende kwenye mada moja kwa moja tusichoshane, Wanawake wengi hupoteza Wanaume wa maana kwenye maisha yao au kuvunja mahusiano yao kwa kuendekeza mambo ya mjini. ________________________ Unakuta mwanamke anaheshimiwa, anapendwa, anahudumiwa kwa kila...
  18. Alvin A.

    Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza: Hivi CHADEMA wamejitoa au wametolewa?

    Ameandika Baba AskofuKalikawe Lwakalinda Bagonza #TUJIULIZE ZAIDI 1. Hivi Chadema wamejitoa au wametolewa? 2. Hivi Chadema wamesusa au Wamesuswa? 3. Hivi Chadema Wameacha au Wameachwa? Wasomaji msinihukumu bila kunisikiliza. Maswali haya ni ya msingi kwangu. - Media haiko na wapinzani...
  19. Alvin A.

    Baharia usijibu hizi text, Utanishukuru baadae

    Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu. KWA MFANO: 1...
  20. Alvin A.

    Hitaji lako ni nini katika mahusiano?

    Good morning, guys! Kuna siku ukiwaza na kutafakari kwa nini upo katika mahusiano utajikuta umeshapoteza muda wako, pesa zako na hata kupoteza muelekeo wa maisha kwa mtu ambae hujui kwa nini ulikuwa nae wala kwa lengo gani? Katika kizazi cha leo ukiondoa mapenzi au NGONO, katika mahusiano...
Back
Top Bottom