Search results

  1. Innocenthezron

    Can i rely on window defender only?

    Wakuu nauliza je hzi window defender za window eight na ten naweza kuzitegemea katika ulinzi wa pc yangu? Matumizi yangu ni mtandaoni kidogo sio sana maana hata nikiingia ni saa moja na webs mara nyingi ni youtube na ku google vitu. Labda na flash kuhamisha vitu kwa matumizi hayo naweza...
  2. Innocenthezron

    Huyu ndio Vladimir Putin

    VLADMIR V. PUTIN Achana na huyu mtu asee, ukiachana na ukweli kwamba ni msomi ila pia afisa usalama wa zamani hiki kichwa kina hesabu kubwa sana.. Baada ya Obama na wenzake kumtuhumu kuingilia na kudukua taarifa mbalimbali zinazokihusu chama cha Democratic na kupelekea chama hicho kushindwa...
  3. Innocenthezron

    Hii ya kufukuza wanafunzi wasiofikia maksi zilizowekwa

    Wakuu kuna baadhi ya shule naomba nizitaje kama st getrude, herritage, lonica na nyingine kibao za binafsi nimeshuhudia wanafunzi wakifukuzwa na kuambiwa wakatafute shule nyingine kwa maana hawawezi kuendelea na kidato cha nne kisa hawajafikia wastani uliowekwa Me kwa upande wangu naona sio...
  4. Innocenthezron

    Naomba sponsorship ya Elimu ya juu

    Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza wa udaktari hapa Hubert Kairuki memorial University HKMU. Sijawahi panga kusoma katika hiki chuo kutokana na ada yake kuwa kubwa lakini kutokana na passion yangu ya kuwa daktari na upungufu wa vyuo vya udaktari hapa nchini nikalazimika kuja kusoma hapa nikijipa...
  5. Innocenthezron

    Kuomba sponsorship

    Mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza wa udaktari hapa Hubert Kairuki memorial University HKMU.......sijawah panga kusoma katika hiki chuo kutokana na ada yake kua kubwa lakini kutokana na passion yangu ya kua daktari na upungufu wa vyuo vya udaktari hapa nchini nikalazimika kuja kusoma hapa...
  6. Innocenthezron

    Alieko online

    Alieko online muda huu jameni....... Unafanya nn na una mpango gani utakapoaamka??
  7. Innocenthezron

    Windows choice: Ipi ni nzuri kati ya hizi?

    Habaru wanajamii naomba kuuliza kati ya window 10 na 8.1 pro ipi nzuri na effective na pia program gani nyingine ni nzuri ku i keep pc yako safe secured with high speed.........
  8. Innocenthezron

    Mwanamke wa kwanza kunyongwa duniani

    Mwanamke huyo kwa jina la marry surrat ndie mwanamke wa kwanza kuwahi kunyongwa hapa duniani akipata adhabu hiyo mnamo saa 1.22 mchana tarehe 7 july 1865 akituhumiwa kumuua aliekua raisi wa marekani kipindi hicho bwana abraham lincoln..........
  9. Innocenthezron

    33 FACTS ABOUT HUMAN BRAIN

    33 HUMAN BODY FACTS ABOUT BRAIN PARTS AND FUNCTIONS Nayden Kostov | December 10, 2014 | Human body facts, Interesting Facts | No Comments FacebookTwitterGoogle+LinkedInPinterestShare [https://www]An adult brain weighs up to 1.5 kg (3 pounds), only about 2% of body weight, but uses nearly 20%...
  10. Innocenthezron

    No bootable device.... PC yangu inaonesha hivyo

    Habari wana jamii..... Nina tatizo hapa wiki iliyopita pc yangu ilikua nikiiwasha inaandika no bootable device nikaweka fresh hard disk ikawaka sasa wakati nafunga bahati mbaya ile hard disk ikaanguka nilipoichukua kuiweka pc ilikua inaandika acer basi hakuna kinachoendelea.... Na baadae...
Back
Top Bottom