Search results

  1. E

    Majaji wa rufaa tanzania

    MAJINA YAO NA SENIORITY NI AS FOLLOWS:- Mohamed Chande Othman CJ Eusebia N Munuo Harold Nsekela January Msofe Edward Rutakangwa Angela Kileo Nathalia Kimaro Laurean Kalegeya Mbarouk Mbarouk Steven Bwana Bernard Luanda Sauda Mjasiri Salum Massati William Mandia Katherine Oriyo
  2. E

    Miaka takribani 50 ya Uhuru Tanzania: Ni yapi ya kujivunia?

    Nimekuelewa hasa unapokuja na njia mbadala ya kutaka kerekebisha hali ya nchi yetu ambayo ipo ukingoni kuzama. Jibu unaloshauri si sahii bali inathibitisha jinsi ulivyokata tamaa. Hatuitaji wakoloni ili tuweze kuendelea ila inabidi tunyanyuke tuwe wakoloni wa viongozi wetu. Hili litakuwa ni moja...
  3. E

    Kwako Kaka William Malecela

    Mkuu nadhani kwa kauli za kukinzana za kina MUKAMA na NAPE itabidi tufanye semina elekezi immediately St Gasper(Dodoma) patapokuwa wazi baada ya hii semina elekezi.
  4. E

    NAPE Vs TAMBWE HIZA NNI MBWATUKAJI BORA??

    Mkuu hii ndiyo problem ya kuwa na wanasiasa uchwara wanaofuata upepo. Kimsingi wote ni humo humo kwa kuanza na Nape siasa ndiyo kazi kwake hana pa kushika zaidi ya hapo. Siasa ikimtupa leo sijui atajiweka wapi na hii ni kwa wale wote vijana waliotupa proffession zao bila kuzitumia hata chembe...
  5. E

    Mwekezaji amchoma moto raia Dar

    Wakuu labda huyo mwekezaji hajui vituo vya polisi vilipo anajua tu anapohifadhi viberiti. Itapendeza kama ataweza kupelekwa kuexperience maisha ya Segerea, huko atatuliza akili kuliko sasa anavyopata upepo wa South Beach unaovuruga mbongo na utashi wake.
  6. E

    CCM kujivua ‘gamba’ Dodoma

    Naomba kuwasilisha huku nikichelea kupongeza yaliyotokea huko makao makuu . Napata tabu kusifu au kusema dawa imepatika kwa kuwa fikra za hofu kuwa ramani ni ile ile bali mwongoza njia amebadilika. Tulitaka kufika Mwanza kwa njia ya kati lakini tumebadilishiwa "ya mizigo" tukapewa "ya abiria" ...
  7. E

    Kikwete amwambia Magufuli aache Ubabe kwenye bomoa bomoa; Magufuli ataaminika tena?

    Mkuu, Hii si maajabu sana, kwa kuwa wanaongeza tu news, ikipita hii ya magufuli utasikia mheshimiwa fulani atua kwa babu kukamata kikombe wanacheza na headlines tu kwa kweli.Inasikitisha sana kuona hao wamoja hawako na umoja na wakiulizwa lenye jibu moja wanatoa majibu tofauti.
  8. E

    Wakuu JF imeingiliwa!!!

    Mkuu ukitaka kuruka agana na nyonga. Angalia usije tumbukia kwenye shimo lisilo na mwisho.
  9. E

    Tanzania kama hatuna rais vile

    Mkuu hayo ni kweli kabisa. Mheshimiwa kaenda likizo labda bado anasherehekea ushindi pale magogoni na nje. Kiuhalisia ningependa raisi ambaye anatofautisha mabadiliko na maendeleo. Mabadiliko si lazima yawe maendeleo inavyoonekana serikali inakazania mabadiiko kuliko maendeleo. Pia wananchi...
Back
Top Bottom