Search results

  1. LINCOLINMTZA

    Rais na Wabunge Waliwakampeni Pamoja Vyama Vyote (UKAWA), Viti Maalum Vyote Kwa CHADEMA Pekee Yake?

    Ndugu Wanabodi! Ninauliza mgawanyo vya viti maalum-wabunge kwa vyama vyote vinavyounda UKAWA. Nakumbuka kwamba vyama hivi vilioamua kusimamisha mgombea mmoja wa Uraisi na wabunge katika majimbo. Kwa maana hiyo, CHADEMA ndo iliyojulikana kusisimamisha mgombea uraisi aliyekuwa akiungwa mkono na...
  2. LINCOLINMTZA

    Kwanini gharama za DSTV zinapanda maradufu?

    Wanabodi, Naomba kwa mwenye taarifa, kwa nini gharama za ulipiaji wa DSTV zimepanda ghafla tena kwa gharama kubwa?Kifurushi kilichokuwa 17,000 kwa sasa ni 23,500, kilichokuwa 34,000 kwa sasa ni 51,000 na kilichokuwa 56000 kwa sasa ni 84000 hadi 147000 ukiongeza Supersport 3 na 7. Tatizo ni...
  3. LINCOLINMTZA

    Ujanja na Faulo ya CHADEMA kwa vyama vingine vinavyounda UKAWA

    Wanajamvi tuliangalie hili swala bila mihemuko kwa mapana yake. Vyama vinavyounda UKAWA vilikubaliana kuweka mgombea mmoja wa uraisi na katika ngazi zingine za ubunge na udiwani. Vigezo vilikuwa vingi vilivyozingatiwa kwa chama kupewa nafasi ya kutoa mgombea. Lakini CHADEMA wametumia mwanya huu...
  4. LINCOLINMTZA

    Rescuers launch search after Indonesian aircraft carrying 54 people goes missing

    Indonesian search and rescue agencies are hunting for a passenger plane that went missing over the remote eastern region of Papua, with 54 people on board. The Trigana Air ATR 42-300 turboprop plane failed to arrive at its destination of Oksibil as scheduled after contact was lost with the...
  5. LINCOLINMTZA

    Ukweli kuhusu Dr. Slaa

    Taharuki imetanda juu ya wapi alipo Katibu mkuu wa Chadema Dr.Wilbroad Slaa. kila mtu anazungumza lake kwa kadri anavyoelewa. wengine wakisema yupo kwenye maandalizi ya vikao vya kamati kuu na wengine wakisema amejificha kwa sababu hakubaliani na maamuzi ya kumleta EL kwenye chama. Mimi kama...
  6. LINCOLINMTZA

    Ruhusa ya Kufanya Kazi Nchi za Nje kama Afrika ya Kusini

    Habari wanajamvi! Naomba kuuliza kama kunautaratibu wa kupata ruhusu kutoka nchini/serikalini unapopata kazi nje ya nchi kama Afrika ya Kusini. Na kama upo, -mchakato wake ukoje? -na je, utahitaji tena ruhusa (work permit) ya nchi unayokwenda...
  7. LINCOLINMTZA

    Nini Maana yake?

    Wanabodi, Nimekuwa nikipotea njia mida fulani na kujikuta sehemu moja inaitwa kitabu cha uso aka Facebook. Kwenye hicho kitabu, utakuta mtu katupia picha inaonyesha uso wake basi watu wana'like' sana. Mwingine kaonyesha ameonyoa nywele basi watu wata'like' sana. Nini maana ya hii kitu?
  8. LINCOLINMTZA

    Milio ya simu na mwenye simu, Unapata ujumbe gani kwa haraka?

    Heshima yenu wanabodi!! Hebu tujaribu kuangalia hili suala la milio ya simu na mwenye simu, je unaweza kupata sifa fulani fulani za mwenye simu? Utakuta mwingine ameweka tarabu tena kwa sauti kubwa, ikiita hiyo simu ndo kusema yeye anapenda sana hiyo tarabu au ni mtu wa mipasho? Mwingine yupo na...
  9. LINCOLINMTZA

    Tubuni Mbinu Zetu za Kuwatangaza Mashujaa wetu wa Afrika akiwemo JK Nyerere

    Ndugu Wanabodi, Kila mtu aliyekuwa akifuatilia mazishi ya Nelson Mandela pale Qunu, Eastern Cape, Afrika ya kusini, atakubaliana nami kwamba Mh. Kikwete alitumia vizuri jukwaa lile kuieleze dunia mazuri ya Tanzania na Mwl. Nyerere katika ukombozi wa Afrika ya Kusini. Aliyosema ni mambo ambayo...
  10. LINCOLINMTZA

    Yeye huwa analeta mwanaume nisipokuwepo!

    Wanabodi, Jana kulikuwa na kizaza mitaa ya kwetu. Kijana anaishi na rafiki yake wa kike chumba kimoja wakiwa na mtoto tayari mwenye miaka mitatu. Wao bado wanaitana wachumba aka 'girfriend and boyfriend' mpaka watakapofunga ndoa. Kingine ni kwamba, wote ni wanafunzi wa vyuo ambayo inawafanya...
  11. LINCOLINMTZA

    WanaJF Njooni munieleze mnamaanisha nini?

    Karibia na huu mwaka unaisha, watu wana usernames na Avatars za tofauti. Wengine wana username na avatars nzuri, zinazovutia sana mpaka huwa nawawazia kuwa ndivyo walivyo. Mfano Smile, Sweet, Charminglady, PF Wengine wana usernames na avatars zinazotisha kiasi kwamba huwa nawawazia kuwa ndivyo...
  12. LINCOLINMTZA

    CCM tuwe Makini na Wasaliti kutoka Vyama Vingine.

    Usaliti ni tabia ambayo ukishaianza huwezi kuicha. Hii husababishwa na tamaa ambayo hufunika kabisa uwezo wa mtu kufikiria, kujali utu na heshima aliyo nayo kwenye jamii. CHADEMA inafukuza watu wengi ambao wanaonekana ni wasiliti kwa vyama vyao. Hata kama CCM itawapokea, naomba tusiwaamini hawa...
  13. LINCOLINMTZA

    Chanzo cha Utofauti wa Lugha na Rangi za Watu

    Wanabodi, Hebu tujadili asili kubwa ya binadamu katika utofauti wa lugha na rangi zetu. Kwa upande wa rangi, kuna weusi na weupe (kuna wazungu, wachina, wahindi, wakorea na wachapani). Ndani ya watu wenye rangi tofauti, kumekuwepo na lugha mbalimbali kama kisukuma, kichaga, kihaya, kizaramo...
  14. LINCOLINMTZA

    Kuvamiwa kwa Mtu aliyetoa Pesa Benki, Wanajuaje hawa Majamnazi?

    Wanabodi, Nimesikitishwa sana ni kuvamia na kuuwa kwa Mhadhiri wa Chuo kiku cha Dar as Salaamu akiwa anatoka Benki ya NBC Ubungo kuchukua pesa. MHADHIRI WA CHUO KIKUU DSM ALIYEUAWA KUZIKWA TABORA - Global Publishers Swali la kujiuliza walijuaje kwamba ametoka benki kuchukua pesa na siyo...
  15. LINCOLINMTZA

    Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

    For more than 300 years, Cleopatra's family ruled Egypt. She was born the third child of King Ptolemy XII in 69 BC. Her name meant "glory of the father". Cleopatra's two older sisters died before her father, leaving her with the rights due to the firstborn child. Although it is not clearly...
  16. LINCOLINMTZA

    Uelewa binafsi wa makuzi na rika za umri.

    Dunia kote watu wanaamini kwamba uelewa wa mtu binafsi na mambo yanayomzunguka hukuwa kulingana na umri. Uelewa huo humuwezesha mtu kutofautisha nzuri na baya, mtoto na mzee na mengine mengi. Kiukweli hakuna kengele, kioo au kitu chochote cha kumjulisha mtu kwamba amekuwa kutoka utoto, ujana...
  17. LINCOLINMTZA

    Kwanini wasichana waliolelewa na mama tu au familia ambayo mama anatawala huwa na kasoro hizi?

    Nimejaribu kufuatilia wasichana/watoto wengi wa kike ambao wamelelewa na mama tu kama familia ya mzazi mmoja au familia ambayo mama anatawala wanakuwa 1. wana kiburi sana kwenye jamii 2. Hawana nidhamu kwenye mambo mengi sana ya kijamii 3. Kiburi na kutaka kutawala kwenye mahusiano hutokea na...
  18. LINCOLINMTZA

    Nini Hasara na Faida ya kutundika Picha Mtandaoni?

    Hey wana JF! Kuna tabia naona inakuwa kabisa ya watu kuweka picha zao kwenye mtandao. Baadhi ya picha zinaonyesha watu wakiwa smart katika mapozi mbalimbali, tata na ya kawaida. Hii naiona kwa akina dada na akina kaka. Nini lengo la kuweka picha hizi mitandaoni? Nini hasara na faida ya...
  19. LINCOLINMTZA

    Kama Tunahitaji Maendeleo, Raisi Wa TZ Ajaye Awe Na Sifa Hizi

    Naona watu wengi wanawaza kuhusu raisi ajaye. Nafikiri si vibaya kwani kwa sasa tunahitaji maendeleo katika nyanja zote kupitia kiongozi imara wa nchi hasa raisi. Pamoja na hayo, uchaguzi mkuu wa 2015 umekaribia ambapo ndo tunapohitajika kuamua raisi wetu. Lakini mapendekezo mengi yamekuwa...
  20. LINCOLINMTZA

    Wanasiasa Vijana Wapewe Washauri wa Kisiasa nchini Tanzania

    Heshima zenu wote wanabodi wa vyama vyote, Kwa kweli nianze kukiri kwamba uwezo na muelekeo wa vijana katika siasa za Tanzania umekuwa ukikinzana sana na taaluma na maadili ya siasa yenyewe nchini na kutofautiana na wazee. Ikumbukwe kwamba majuzi tu, vijana wa CCM wamekuja na kauli za kutaka...
Back
Top Bottom