Search results

  1. Geofrey tibert

    Mlioacha kazi za kuajiriwa na kujiajiri wenyewe nahitaji msaada wenu

    Big point. Sanasa ili kuacha kazi na kujiajiri unapaswa kuwa sawa kiakili (ready mind set), Na kama unaona ni ngumu kwenye mind set yako ni vyema kuwa unasikiliza motivation mbalimbali kutoka youtube na sehemu nyingine, hii itakusaidia. Maana kuacha kazi, tena unakuta umeizoea ni ngumu sana.
  2. Geofrey tibert

    Msaada: Nataka kusitisha dawa za TB baada ya wiki

    SAWA KABISA! Mwaka huu kama ingewezekana jamiiforums wangeongeza jukwaa la kusahidiana! Naona hii ingewafanya watu kuchukulia jambo kama hili kwa uzito wake na seriaz. (We all learned from mistake!)
  3. Geofrey tibert

    Series zangu bora za muda wote

    hivi hii season ilimalizika?
  4. Geofrey tibert

    Nini maana ya hekima na ninawezaje kuipata?

    Yes inaweza ikawa kweli ila don't complicate life. Na kuwatisha watu ndugu. Hekima ni experience ya magumu mtu aliyeyapitia na kujifunza bila kukata tamaa na baadae kuyaaply kwenye maisha ya kawaida na kwa watu waliomzunguka ili kuwasaidia.
  5. Geofrey tibert

    Nini maana ya hekima na ninawezaje kuipata?

    Dah! Nilikuwa naona uvivu wa kuandika na namna ya kuipangilia point yangu, lakini bahati nzuri umenisahidia maana nilikuwa na mawazo kama yakwako ila namna ya kuyaweka sasa. Ongera mkuu umeongea point ya msingi kama nilivyokuwa nawaza. Ila cha kuongezea kama ni mkristo ili kujua hekima...
  6. Geofrey tibert

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Uzi upi nipe jina niutafute.
  7. Geofrey tibert

    Naenda dar kuanza maisha lengo nipate chumba na frame ya biashara naomba Bei madalali

    Mkuu vipi?Nahitaji frame hapo posta inayoweza kuenea staff(watu) 6.utanisaidiaje? niko mkoani
  8. Geofrey tibert

    Naenda dar kuanza maisha lengo nipate chumba na frame ya biashara naomba Bei madalali

    Mkuu vipi?Nahitaji frame hapo posta inayoweza wakaenea staff 6.utanisaidiaje? niko mkoani
  9. Geofrey tibert

    Je, ni busara kujenga nyumba kwa milioni 150 kisha kukusanya kodi laki 6 kwa mwezi?

    Mambo ya real estate ni magumu sana kama endapo hutakuwa na uelewa nayo,kumiliki nyumba au kujenga nyumba ili upange ni jambo jema na zuri endapo utafata vigezo stahiki.mfano unaweza ukaamua kufanya hivyo ukawa unapangisha huku unatumia hiyohiyo nyumba yako kama security( kuombea mkopo), mbili...
  10. Geofrey tibert

    Viwanja vinauzwa East Busweru Mwanza milion saba

    Kijana vipi! tunawesa kuwasiliana.nna shida flani hiv kwenye mambo ya real estate.tunaweza wasiliana?
  11. Geofrey tibert

    Nashindwa kujielewa ni mimi tu 'nisiyependa kujichanganya na watu' au kuna wenzangu wapo hivi? Msaada tafadhali

    Ndio wapo ila ni wachache sana rafiki.kwa njinsi navyojua watu wenye tabia hii sanasana ni wale wenye element za ujiniaz.intellent people(genius) mara nyingi uwa kivyao na kujikuta hata wakiongea wenyewe kwa sauti na hii inasababishwa na wao kufikiri tofauti sana na wengine kupelekea kuwakwepa...
  12. Geofrey tibert

    Mikoa Kumi(10) iliyotoa wasomi wengi zaidi nchini

    Inaonekana na wewe unapenda kusikia KAGERA haiongozi.
  13. Geofrey tibert

    Watanzania tuwe na utamaduni wa kutembea haraka ,Mimi nadhani itaongeza uchapakazi

    Ni kweli mkuu, kibaka lazima awe fasta ili afanye mambo yake kwa slow man then apite hv huku slow man akiachwa mataa anashanga kama kobe:eek::rolleyes::oops::rolleyes::eek:
  14. Geofrey tibert

    Watanzania tuwe na utamaduni wa kutembea haraka ,Mimi nadhani itaongeza uchapakazi

    umenikumbusha TRA.hapa ni mwendo wa kukumbushana tu😔😔😔
  15. Geofrey tibert

    Warembo wa Bukoba

    kweli nimesoma coment zako zote za juu,.nimegundua hamna kitu kichwani zaidi tu manenomaneo matupu yasiyokuwa na faida hata kwako pia. Nahisi hili watu wengi wamegundua ila kukwambia wanaanzaje sasa?,maana wataambulia za uso kwa matusi na uongouongo husio na fact hata punje moja angalau watu...
  16. Geofrey tibert

    Machache niliyojifunza kwenye haya maisha

    Natamani watu waendelee sana tu kususha nondo,nijifunze zaidi na zaidi.
  17. Geofrey tibert

    Bukoba: Nyumba za Kiziru zashangaza wengi/ Nshomile nimewanyooshea mikono

    kweli jamaa yangu umetisha maana umechanganya mambo mengi kukwepa uongo uliotuleta.maneno mengi natamani nikujue maanawewe kwenye mazuri yeyote yanayoongelewa ya wahaya lazima hupo na jedwali lako hilo siku zote mpaka tumeshazoea.
  18. Geofrey tibert

    Bukoba: Nyumba za Kiziru zashangaza wengi/ Nshomile nimewanyooshea mikono

    weka ushaidi maana kwa maneno tu ss tutaaminije ambao hatujafika
Back
Top Bottom