Search results

  1. Yomakon

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wewe inaonekana hujui mpira ila Ni shabiki wa mpira tuu.. kma ulikuwa hujui Gallagher ndo mchezaji aliyakata mashambulizi mengi mpka Sasa kwenye timu
  2. Yomakon

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Subir hii El nino iishe vitakuja viiingi sna
  3. Yomakon

    Mwezi huu nimekataliwa na warembo 4 kwa sababu ya kuwa na nywele nyekundu

    Wewe tafuta hela tu. Nakupa yangu Sasa Mimi Ni mfupi wa futi 5, Nina kichwa cha bara (yaani chogo) , Nina kililipili kile chenyewe, Bado Ni mweusi tii na masikio kma ungo lakin baby zinaniita handsome boy [emoji4][emoji4] tafuta hell tu acha kulalamika
  4. Yomakon

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mzito Sana mzigo wa dhambi
  5. Yomakon

    Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

    Wadau mtupe maelezo. Yalionyooka maan kila nkigoole extotic tz naletewa Mambo ya adventure and wildlife ..... So Kama vip mshare web tugawane zambi wazee
  6. Yomakon

    Mnaonunua malaya wa Telegram mna moyo

    Mkuu nkitaka kufika huko napita wapi ?
  7. Yomakon

    Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

    Ukinyoshea kidole makaburi kinavimba
  8. Yomakon

    Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    Wakuu Mimi nimeota Leo nipo na mtu ambaye kisura simuoni tukiwa katika mazingira ya shamba ghafla akatokea nyoka nlipomwona yule nyoka yule jamaa akasema hao nyoka hawana madhara Wala usishituke.....yule nyoka alikuwa Kama wale nyoka wafupi wa mabaka ya kijeshi baada ya mda yule nyoka akiwa...
  9. Yomakon

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kauli yako sio ya kiungwana (nyani) haipendezi katika jamii ya mpira... Watu Kama wewe Ni wakupigwa mawe mpaka kufa
  10. Yomakon

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sawa mganga wa kienyeji tumekuelewa..
  11. Yomakon

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Yani wanaume wanapita na kombe la Klabu bingwa ulaya wewe unapita na carabao kombe la mbuzi na unajimwambafai..... Tooo rubish
  12. Yomakon

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Umefikia wapi mchakato wa kunya mpka posta..?
  13. Yomakon

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Game ya leo ipo mikononi mwa kante. Na jorginho
  14. Yomakon

    Si kosa la jinai kusafiri na pesa ili mradi tu zisidi USD10,000

    Mbona wahindi hupita na mabegi ya dollar pale JKNIA hii imekaaje kifundi?
  15. Yomakon

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huwa napenda sana pale CHELSEA FC anapochukuliwa kama underdog... Maana ndo mda ambao huwaacha watu midomo wazi.. Sasaivi tunaenda kukamilisha jambo letu maana hakuna atakaye amini.. Na hakuna wa kutuzuia #ktbffh
  16. Yomakon

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hujui mpira kashangilie mziki
  17. Yomakon

    Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Huu Ni zaidi ya uonevu hata Kama wanataka watu wasitumie mitandao ila sio kwa kiasi hiki..
  18. Yomakon

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mtabir fake kaanza na gundu [emoji23][emoji23][emoji23]
  19. Yomakon

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    𝑻𝒉𝒆 𝑩𝒍𝒖𝒆𝒔 𝒇𝒐𝒓 𝑳𝒊𝒇𝒆
Back
Top Bottom