Search results

  1. be unique

    Nahitaji fundi mzuri wa Fanicha (Furniture)

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kupata fundi wa fanicha za ndani na awe na utundu wa ubunifu wa vitu mbalimbali vya ndani (fanicha). Ofisi inauza vitu used pamoja na fanicha,kuna muda fanicha zinakuja zinahitaji marekebisho kwahiyo inahitajika kuwepo na fundi. Na...
  2. be unique

    Naomba nafasi ya kazi unayoona inafaa kwa CV yangu, nina uzoefu

    Habari wakuu,heshima kwenu nyote, Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,ombi kuu ni kuomba nafasi ya kazi, nafahamu hapa kuna watu mbalimbali na wenye nafasi tofauti tofauti na katika wengi waswahili tunasema haliharibiki jambo. Kwanza nianze na kusema sehemu niliyokuwa nafanya kazi nafasi yangu...
  3. be unique

    Msaada tafadhari: kurudishwa kwa malipo baada ya app ya simu kuji renew na kukata hela

    Habarini wakuu, Nisiwachoshe sana,natumia simu aina ya iphone ambavyo kama mnafahamu application nyingne ni za kununua. Kuna app niliyokuwa naitumia kumbe iliisha muda wa trela na kurenew na kukata hela automatically katika airtel money mastercard. Nilifatilia kwa haraka ndani ya masaa mawili...
  4. be unique

    Hospitali ya Kigamboni haina hadhi ya kuwa hospitali ya Wilaya, Serikali itazame kwa jicho la tatu

    Habari za muda huu wakuu, Naandika kwa masikitiko makubwa sana, nikiwa na ushahidi wanachosema kwakuwa mimi ni mmoja kati ya wahanga wa huduma mbovu za hospitali hiyo. Sitaki kuanza kulaumu watumishi wa hospitali, maana sina hakika kama ni wao au serikali ndio haifikishi vifaa vya sisi...
  5. be unique

    Nini kinasababisha mtumiaji wa bangi 'kupauka'?

    Habari za weekend wakuu,natumaini mpo salama na mapumziko ya mwisho wa week. Kikubwa leo nachopenda kufahamu kutoka kwenu na kwa uelewa ambao mnao kila mtu kwa nafasi yake ni kuhusu swala zima la bangi au mmea. Nina swali kuu ambalo nikipata jibu lake litanifungua na kunipa uelewa zaidi juu ya...
  6. be unique

    Una kibamia bado unajifanya playboy lazima ujidhalilishe

    Another day tunakutana tena wakuu, Ila acha niende moja kwa moja kwenye mada vibamia imekuwa ni mada ambayo imepata airtime kubwa sana hapa JF hasa kipindi hiki cha miezi hii ya karibuni na imekuwa na wachangiaji wachache japo sio sana (kwa utafiti wangu). Wengi wenye vibamia hawataki...
  7. be unique

    natafuta htc m8 used.

    Kama kichwa tajwa hapo juu,kama unayo ni pm tufanye biashara.
  8. be unique

    Kelele za msichana wangu wakati wa sex zinafanya majirani wafure

    Najua ni kipindi cha majonzi katika taifa,ila hali ya hewa pia ni chamgamoto sana hasa kwa sisi vijana damu bado inachemka. Navyoandika uzi huu nina kama dk 10 tangu tukio hili litokee hapa sina hamu tena na sijui kesho nawaangalia vipi majirani zangu. baada ya kutoka kwenye mizunguko yangu...
  9. be unique

    Nijuze hatua za kufungua auction mart.

    Habari wakuu,poleni na majukumu nafahamu kwa muda huu bado wengine wapo kwenye majukumu ya kujenga taifa ila naomba utakapopita hapa acha comment yako kwa kile unachoelewa kuhusu hii kitu. Nilihitaji kufahamu hatua na vitu vya kuzingatia wakati unataka kufungua kampuni ya ufilisi (auction...
  10. be unique

    KINYOZI PAMOJA NA MSUSI.

    Salaam jf,Natumaini mpo salama,leo nimeona tuwape shavu wale vinyozi pamoja na wasusi ambao huwa wanatufanya tuonekane vizuri tukiwa katika mishe mishe zetu na mionekano amaizing kutokana na kazi nzuri wanazofanya kwenye vichwa vyetu. Acha nianze mimi kwa kumpa shavu kinyozi wangu...
  11. be unique

    Ujana wako ule na nani uzee tumalizie wote?

    Natumaini mpo salama,weekend najua imekwenda vizuri na tayari kwa kesho kuelekea katika mihangaiko ya kila siku. Katika utafiti wangu mdogo wa hapa jf nimegundua asilimia kubwa na wanaume au wanawake wanaotafuta wapenzi umri wao ni kuanzia miaka 25 kwa wanawake na wanaume mpka miaka...
  12. be unique

    Nataka kuoa mke wa Kihindi, Kiarabu au Mpemba ila wengi ni Waislam na mimi ni mkristo, nifanyeje?

    I hope mpo salama, Nahitaji ushauri kwa hili mimi ni kijana wa kikristo na ukoo wangu ni wa upande huo, lakini katika malengo yangu nimepanga kuoa au kupata mwanamke wa Kiarabu, Kihindi nikikosa sana Mpemba. Kwa ufupi msichana mwenye ushombe shombe na asilimia kubwa ya wanawake wa aina hiyo ni...
  13. be unique

    Natafuta kazi, nina cheti cha procument and supply

    Ni kijana wa miaka 21,natafuta ajira halali yakufanya,nina certificate ya procurement&supply pia nina talent ya presenting (presenter) kwahyo naweza kufanya hata kazi za entertainment pia,Kwa maelezo zaidi please naomba uni PM.
  14. be unique

    Watanzania kwanini hatupigi kura tuzo za MTV?

    I hope mpo salama kabisa, Kiukweli naona tatizo la watanzania kutokushinda katika tuzo za MTV ni kukosa kura za kutosha na watanzania. Now maisha magumu kila mtu anafikiri kwa upande wake ukianza kumletea habari za kupiga kura anaona kama unamchanganya. Why nimefikiria hivyo? Hapo mwanzo...
  15. be unique

    LAPTOP YA MKOPO

    Habari,msaada kwa anayejua jina la sehemu wanayokopesha laptop kwa wanafunzi wa chuo pale posta,tangzo lake linaruka sana pale clouds fm.
  16. be unique

    Mkopo wa laptop

    Habari zenu wana JF, Samahani kwa aliyepata kusikiliza tangazo vizuri kwa wale jamaa wanaokopesha laptop kwa wanachuo na wafanyakazi, tangazo huwa linaruka kupitia Clouds Fm, naomba anikumbushe jina la company hiyo nina shida nalo.
  17. be unique

    Naomba maelezo kuhusu kozi ya NABE

    Natumaini mpo salama wana jf, Nina swali hapa, napenda kupata maelezo kwa anayeelewa zaidi kuhusu course inaitwa NABE. Sijui ina maana gani ila kwa tetesi nasikia usipofikisha 'D' 4 form four ndio unasoma hii. Kwa mwenye uelewa naomba anipe maelezo zaidi.
  18. be unique

    ushauri wa ujasiriamali.

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1131385/ ushauri wa ujasiriamali.
  19. be unique

    Ushauri wa ujasiriamali, sina uwezo mzuri kimasomo

    Habari zenu wanaJF, Kama kichwa kinavyojieleza hapo, mimi ni kijana mdogo nina kama miaka 22 nimefanikiwa kusoma mpaka cert ya procurement & supply. Lakini katika kusoma kwangu nimesoma kwa shida sana sina maana kwamba ada haikupatikana la hasha bali ni uwezo wangu kimasomo sio mzuri kufaulu...
  20. be unique

    Natafututa mchumba wa kike 18-20 years.

    Mm ni kijana wa miaka 21 natafuta mchumba wa kuwa na malengo nae na sio wa muda mfupi 2.Kwa aliye tayar anicheck inbox.
Back
Top Bottom