Search results

  1. princesslwyr

    Vyeti vya Dini mashuleni havina umuhimu maishani.

    Me similiki hata kimoja, hizo sherehe zilikua zina nipita
  2. princesslwyr

    Tukio hili la Bernad Membe linaashiria nini?

    Nimecheka sana daaah, you made my night
  3. princesslwyr

    MO alipotekwa na Nape alipotolewa bastola Mdude aliwapigania sana mitandaoni, wao hata pole hakuna.

    Hahahahahha hapo kwenye kuchekesha watoto wa mashehe, umeniongezea siku za kuishi
  4. princesslwyr

    Ni kina nani hawa wanaotishia usalama wa Rais wetu kiasi hiki?

    Yeye rais wa watu anaogopa nini?
  5. princesslwyr

    Umahiri wa wanawake kwenye ujasusi

    Hahahahaha
  6. princesslwyr

    Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Miradi mingi kaikuta mbona, yy hausiki kabisa, mfano upanuzi wa uwanja wa ndege Dar, nimradi ulioanza mda na flyover Tazara Labda kuuwa demokrasia na kuwapa hekaheka wapinzani wake hapo tutakubaliana
  7. princesslwyr

    Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule-Msongola: Halmashauri ya Ilala/ TARURA mtusaidie

    Waitara mchumia tumbo kama wachumia tumbo wengine, aliondoka kwa mbwembwe anaenda kutuletea maendeleo ... Sasa hivi majibu yake ni yupo bizy na majukumu ya kitaifa Ni limbukeni kiufupi..
  8. princesslwyr

    Najua wengi hatumpendi Rais Magufuli ila tunayaonaje haya?

    Kwani kajenga na mshahara wake?
Back
Top Bottom