Search results

  1. B

    Jenerali Ulimwengu: Sioni ajabu mapinduzi ya kijeshi Guinea. Yatafika haraka nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara

    Akihojiwa na kipindi cha BBC kinachorushwa na television ya star TV tarehe 7 mwezi huu kuhusu mapinduzi ya Guinea, Jenerali Ulimwengu amesema yeye haoni ajabu Kwa yale yaliyotokea Guinea. Na akatabiri pia kuwa hali hiyo ya kimapinduzi ya kijeshi itafika Kwa Kwa haraka sana ktk nchi zote zilizo...
  2. B

    Rais Hussein Mwinyi: Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa Corona

    Rais wa Zanzibar leo ametangaza rasmi kuwa Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa korona na ametaka taadhari za lazima sasa zichukuliwe. Kauli hii ni ya kwanza kutolewa na kiongozi wa juu wa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania na pia ni tofauti kabisa na kauli zinazotolewa na Rais Magufuli...
  3. B

    Jaji Warioba aishangaa Tume ya Uchaguzi kwa kitendo cha kuengua Wagombea wa Vyama mbalimbali vya upinzani bila kufuata utaratibu

    Jaji Joseph Sinde Warioba ameishangaa tume ya uchaguzi ya Tanzania kwa kitendo chake cha kuengua wagombea wa vyama mbalimbali vya upinzani bila kufwata utaratibu. Ameishangaa kuengua wagombea wa vyama mbalimbali bila kuzingatia katiba badala yake kutumia vigezo dhaifu ktk kumuengua mgombea...
  4. B

    Uchaguzi 2020 Kamatakamata ya rushwa ndani ya CCM ni mtego kwa wapinzani

    Kamata Kamata ya rushwa ndani ya CCM ni mtego kwa wapinzani ili muda wa kampeni utakapofika waanze kuwakamata wapinzani kwa nadai hayohayo ya rushwa. Hii ya sasa inayofanyika ni ku justify pale watakapoanza kuwashughulikia wapinzani kwa kisingizio kuwa sheria ni maneno. Watawakamata...
  5. B

    Jenerali Ulimwengu: Kauli za Corona zilizotolewa na Rais Magufuli ni porojo zisizokuwa na mantiki au za kufurahisha umati tu

    Akihojiwa na DW Jana mchambuzi nguli Generali Ulimwengu alisema kuwa data zote zilizotolewa na Rais Magufuli ni za kutiliwa shaka sana kwani zinakosa uhalali wa kisayansi. " Huwezi kukubali kuwa data hizo ni halali wakati hupimi watu na maabara zenyewe zina mashaka" Alipoulizwa kuwa Rais...
  6. B

    Jaji Mkuu ameiabisha Mahakama na kuwakosea watanzania

    Juzi zilitoka habari kwenye mitandao kuwa jaji mkuu wa Tanzania anawalaumu wapelelezi wa kesi mbalimbali kuwa ndio wakutupiwa lawama kwa mlundikano wa wafungwa na kuahirishwa kwa kesi mbalimbali na mahakama. Tena alienda mbali na kuwalaumu kuwa huwa wanaotoa sababu za Hovyo na zisizo na...
  7. B

    Nakuuliza CHADEMA

    Kweli Chadema mmefanikiwa kufanya mkutano mkuu pamoja na uchaguzi kwa mafanikio, kwa hilo nakupa hongera je chadema mmejua au mmefanya utafiti nakujua ni watu wangapi walifatilia mkutano wenu? Je mnajua nguvu ya vyombo vya habari katika kupeleka habari, kuhamasisha na kuhabarisha? Kama kweli...
  8. B

    Wazungu ndio wanaosababisha Afrika kutawaliwa kidikteta

    Hawa watu ndio waanzilishi wa demokrasia lkn wanapo ona demokrasia utakanyagwa afrika wanafanya nn? zaidi naona ni matamko tu. Demokrasia inakanyagwa Uganda chini ya mseveni, je wanafanya nn zaidi zaidi ya matamko na kuendelea kumpa misaada ya hali na mali. Demokrasia inakanyagwa Rwanda lakini...
  9. B

    Nyerere sitakusamehe hata kidogo

    Yaani ulikua ndani ya utawala kwa muda mrefu Sana tena Kama miaka 22. Tena kipindi chako Chama kilishika hatamu yaani Chama kimoja. Ulikuwa na madaraka yote na nguvu nyingi za kutenda na kusema lolote na likafanyika Lkn ona umeondoka na umeacha mkoa wako pamoja na watu wako wakiwa masikini...
  10. B

    Ujinga wa mwafrika

    Huwa nakaa na kufikili Sana mtunzi wa kitabu kimoja ambacho kilipewa jina LA UJINGA WA MWAFRIKA. Hii ina maana kuwa mwafrika hata asome VP bado anabaki kuwa na UJINGA WA asili Hali hii ya UJINGA kwa mwafrika naona umeongezeka Sana hasa ktk kipindi hiki cha awamu ya tano kuliko awamu zote...
  11. B

    Savanna plain high school

    Je unazijua Feza schools? Je unazijua mariani schools? Je unazijua shule zote zinazofanya vizuri hapa Tanzania? SASA IMEKUJA SAVANNA PLAIN HIGH SCHOOL. ipo shinyanga na ni bweni Piga namba 0754907827/ 0713385028 kupata nafasi ya kidato cha kwanza. WANAHITAJIKA WANAFUNZI 42 TU. Wahi sasa nafasi...
  12. B

    Hivi vyama vya upinzani vimelogwa na nani?

    Huwa nakaa na kujiuliza hivi inakuwaje vyama vya upinzani vinashindwa kwenda mahakamani kuishitaki na kuipinga tume ya uchaguzi kutumia wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wakuu ktk ngazi ya jimbo na kata? Kwasababu hawa ni wateule wa raisi ambae nae ni mwenyekiti wa chama shindani, je...
  13. B

    African Spring ianze Zimbabwe

    Ndani ya siku moja iliyopita wazimbabwe wamepata kile walichokua wanakihitaji. Si kwamba jambo hili lilikua rahisi hapana Bali msimamo mkali na thabiti wa raia wa Zimbabwe usioyumbishwa ndio uliowafikisha hapo ktk mafanikio. Ikumbukwe kuwa Mugabe ameitawala Zimbabwe kwa muda wa miaka 37...
  14. B

    Nimekumbuka mbali sana Idd Amin Dada

    IDD Amin Dada alikuwa Rais wa Uganda baada ya kumpindua aliyekuwa Rais wa wakati ule Milton Obote mwaka 1971 na kufanikiwa kuiongoza nchi hiyo kwa miaka Tisa. Idd amin Dada alikuwa Rais wa vituko na waina yake na hata baada ya kuondolewa madarakani na majeshi ya Tanzania, mwandishi mmoja wa...
  15. B

    Kauli ya John Cheyo ni ishara ya hatari

    Akitoa salamu zake katika hafla ya kutunuku vyeti wajumbe wa kamati za madini Jana ikulu, mzee John Cheyo alitamka maneno haya " WANASIASA WENZANGU TULIO KTK VYAMA VYA USHINDANI, TUSIFANYE SIASA KTK KUENEZA CHUKI KALI DHIDI YA SERIKALI NA WANANCHI KWANI NCHI HII NI YETU SOTE" Kwa watu...
  16. B

    Kwanini walituletea vyama vingi?

    Huwa nakaa najiuliza sana kuwa huu mfumo wa vyama vingi si mfumo wa Africa Bali ni mfumo uliokuja kutoka nchi za ulaya hasa Ulaya Magharibi. Nchi Nyingi za afrika ziliupinga mfumo huu wa vyama vingi ikiwepo Tanzania lkn mataifa haya makubwa yalitumia nguvu kubwa sana kulazimisha, kushawishi...
  17. B

    Rais Magufuli aanza kubadilika kiutendaji na usemaji

    Baada ya majigambo makubwa kutoka kwa Rais wetu kuwa anainyosha nchi kuna kila dalili kuwa badala ya kutunyosha sisi yeye ndiye ameanza kunyooka na kuanzia kubadilika kiutendaji na usemaji. Wote ambao tulifwatilia hotuba yake ya Jana mtagundua zile tambo zake na maneno makalimakali ya vitisho...
  18. B

    Kutokana na Sera mbovu za uchumi wakulima wauza Tumbaku kwa hasara

    Hali ya sintofahamu imewakumba wakulima wa Tumbaku Kahama hivyo kulazimika kuuza Tumbaku yao kwa bei ya hasara ili mradi waweze kukidhi maisha. Wakulima hao ambao Tumbaku yao imekaa kwa muda Mrefu gharani wamefikia uwamuzi huo baada ya kampuni za ununuzi wa zao hilo TLTC na ALLIANCE ONE...
  19. B

    Tuunganishe doti kuvamiwa kwa ofisi ya mawakili wa Manji na yeye kuachiliwa huru

    Jamani kama mnakumbuka siku chache zilizopita ofisi za mawakili wa mfanyabiashara maarufu Yusuf Manji zilivamiwa na nyaraka zote kuibiwa. Leo tunapata taarifa kuwa Manji aachiwa huru baada ya DPP kukosa ushahidi na kutoendelea na kesi. Sasa tujiulize... Je, hili suala ni coincidents tu au...
  20. B

    Watumishi wa umma waendelea kusota

    Baada ya lile swala la uhakiki na kufwatiaji na zoezi la usimamishaji kazi kwa watumishi hao, maelfu ya watumishi hawakukubaliana na hali hiyo na kuamua kukata rufaa. Kwa uchunguzi uliofanywa na mwandishi wa habari hii umebaini kuwa wengi waliokata rufaa hadi sasa hawajapewa majibu yao hivyo...
Back
Top Bottom