Search results

  1. B

    Ni laana kwa familia ya Mbowe kuwadhurumu waandishi wa habari wanyonge

    Pamoja ya kwamba mm ni shabiki mkubwa wa mbowe lkn kwa hili nafikili alitazame upya kwani halitoi sifa njema kwake na kwa chama. Tafadhari sana
  2. B

    Acheni kumuandama Rais Samia, angeweza kusaini bila kuwashirikisha na msingefanya chochote

    Kuna ukweli ndani yake lkn kwa ukweli nikua hata kwa jpm watu walikua wanalalamika,walipokua wanaona Mambo hayaendi sawa. Sema tu jpm alikua mbabe asiekua na akili
  3. B

    Zitto ashauliwe, anayo fursa ya kuamua, kuzikwa pembeni ya Membe au akae kwa kutulia!

    We hujui au hauishi Tanzania hadi uulize?
  4. B

    Zitto ashauliwe, anayo fursa ya kuamua, kuzikwa pembeni ya Membe au akae kwa kutulia!

    Magufuli alikua muuwaji huwezi mfananisha na membe hata kidogo
  5. B

    Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

    CWT Kuna Hela bwana Tena Wala hazina maulizo Wala mahesabu. Waalimu wamelala Sasa kwann aende eti ktk UDC ambapo maswali mengi na kazi inategemea huruma ya mtu . Chezea Hela ww?
  6. B

    Wimbo wa Zuchu (Kwikwi) kutungiwa mitihani wa shule; Serikali mko wapi?

    Jaribuni kutafuta mashairi mengi ndio mtajua maana ya nyimbo hizo. Mawazo Yako yamejazwa na hisia hizo ndio maana hisia zako zikakimbilia ktk swala la ngono. Kimtokacho mtu ndio kile Kilichomoyoni mwake
  7. B

    Tofauti yetu na Kenya, Malawi au Zambia sio Umasikini ni levo ya ujinga, sisi tuko juu kwa ujinga

    kwani wote tunafanya kazi za aina moja na ya wakati mmoja? kuna watu wanafanya kazi ucku na mapumziko yao yaanaanza asubuhi. wote ni watu wazima na tunajua majukumu yetu kwanini tupangiane muda wa kupumzika na kustarehe?
  8. B

    Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

    Hiyo ndio shida inapokua pale njaa inapohamia kichwani na akili tumboni. Anatafuta uteuzi huyo
  9. B

    Je, kupaka matope utawala wa hayati Magufuli kutatubeba wapinzani kisiasa? Magufuli hayupo nasi kwenye ulingo wa kisiasa, kwanini mnakomaa kumchafua?

    Tunajifunza kulingana na makosa. Ukatili wa magu lazima usemwe ili chama chochote kitakachoingia madarakani kisije kurudia makosa hayo
  10. B

    Angalizo kwa Mbowe baada ya kesi iliyokuwa inamkabili kufutwa

    Uzuri ni kua mungu fundi iko cku hizo sheria za unyanyasaji zitakuja kwenu , mtalia na kusaga meno. Na maneno hayo ya kua mtu abadilike ktk kuomba haki yake ni ujinga mtupu
  11. B

    Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

    Dah! Umemjibu vema sana. Kwani huyu mtu alipokua anatesa watu mbona wao walikua wanapiga kelele za kushangilia? Tens Kwa taarifa yake magu hayupo mbinguni bali yupo motoni na anaejua ni mungu tu.
  12. B

    Hayati Dkt. Magufuli anapohukumiwa kwa kifo chake

    Ila kuna kitu ktk maandiko umekisahau. " MTU MWEMA AKIFA DUNIA HUOMBOLEZA LKN MUOVU AKIFA NI FURAHA KWA ULIMWENGU"
  13. B

    Hayati Dkt. Magufuli anapohukumiwa kwa kifo chake

    Dah! Umejibu vzr sana aisee mungu akubariki
  14. B

    Polepole apinga utaratibu wa kuwahamisha machinga, amuonya RC Dar. Ashutumu mikopo kusababisha utegemezi

    Jitu hili ni jinga kabisa. Limetesa watu sana. Lilipewa madaraka likasahau lilipotoka Hana lolote, shenzi kabisa
  15. B

    Kwa uzandiki aliofanya January Makamba kwa Hayati Magufuli hakupaswa kuteuliwa kuwa waziri. Uzandiki dhidi ya Rais ni kosa kubwa sana

    Madikiteta wote duniani hua wanaunda maadui wanao wazunguka. Hivyo dikiteta Mkuu slijiundia maadui yeye mwenyewe ndani ya serikali yake kwani walikua hawafurahi Kwa jinsi alivyokua anadhurumu haki za watu
  16. B

    Humphrey Polepole adaiwa na Mwana-CCM kushiriki kuhujumu Katiba ili Samia asiwe Rais

    Acha uwongo, kati ya mtu mpuuzi Basi in huyu polepole. Huyu mtu alidiriki kumuona magu kama mungu, ametesa watu Kwa matendo yake na maneno yake. Alikua wapi wakati wa magu?? Hovyo kabisa
  17. B

    Meya wa Kinondoni: Wafanyabiashara 45,000 wamefunga biashara zao kwa muda wa miaka 5 iliyopita

    Mungu wa polepole alikua anaenda kuiua nchi hii. Hakika mungu ni mwema sana
  18. B

    Jenerali Ulimwengu: Sioni ajabu mapinduzi ya kijeshi Guinea. Yatafika haraka nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara

    Lkn kama serikali iliyopo madarakani inatumia wanajeshi kutesa watu, kupiga watu Na kuumiza watu, ajabu inakua wapi jeshi hilo hilo likiwageuka wao?
Back
Top Bottom