Search results

  1. ms2016

    Kodi ya Bajaj imepanda kutoka Tsh. 100,000/- mpaka Tsh. 180,000/- kwa mwaka 2023

    Moja kwa moja Kwenye mada. Kodi ya bajaj imepanda toka 100,000 mpaka 180, 000/- kwa mwaka 2023 Kwako Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA) Yahusu Kilio cha Ongezekoo la Kodi ya Mapato Specifically ya BAJAJ Hili ongezeko ni Kubwa sana kwa sisi madereva Bajaj na Hata wamiliki...
  2. ms2016

    Mtoto hapendi kula, nipeni suluhisho

    Habari wakuu. Nina MTOTO umri awake ni miaka 2 na miez 6. Ameacha kunyonya miez 9 iliyopita. Tangu aache kunyonya amekuwa akisumbua kula chakula. .nimempima minyoo na Kufanya Ultra Sound. . Amepewa sana Vitamin B Complex, Dawa za minyoo. Na Zingine nying za Kufanya apate hamu ya lakini Bado...
  3. ms2016

    Usaili DUCE

    Habari! Kwa ambaoo ni wazoefu wa kufanya usaijili pale DUCE, kwa maana ya written and oral interview naombeni uzoefu wenu wa maswali, na mbinu mlizotumia mkafanikiwa kupita, kwenye mchujo mpaka kuajiliwa. Nawasilisha. Ahsanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ms2016

    Naomba kufahamu namna bora ya Kukuza soko

    Habari Wanajamvi! naomba Kujua Njia nzuri ya Kukuza soko la mikate Au Bidhaa yoyote. Kwa mtu anae subir Mteja aje Dukan Kununua Bidhaa. Assuming other Factors are Constant. Liko location nzuri, Bidhaa Zake quality, Kuna Good customer Care, pia Populated area. Nifanye nn cha Tofauti? Sent...
Back
Top Bottom