Moja kwa moja Kwenye mada.
Kodi ya bajaj imepanda toka 100,000 mpaka 180, 000/- kwa mwaka 2023
Kwako Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA)
Yahusu Kilio cha Ongezekoo la Kodi ya Mapato Specifically ya BAJAJ
Hili ongezeko ni Kubwa sana kwa sisi madereva Bajaj na Hata wamiliki...
Jamii forum kuzuri! Swali langu, Kama sina Nyumba Siwezi wafanyiaa Booking has watalii kwa Hotels zenye Unafauu, then mimi nikawa mwenyeji waoo wa Eneo husikaaa???
Mkuu kwemaa? Naomba KUJUA MATUMIZI YA CHUMVI YA MAWE KIIMANI,
Niliwahi kusomaa hapa jamii forums, kuhusu Matumizi ya Hiyoo chumvi, na wengi Huwasaidia kwenye Kuondoa mabalaa yaliyonuiwa dhidi yaoo kwa kujua au Kutojuaa. Naomba shule kidogo Mkuu.
Ahsante sana
Wapendwa mabibi na Mabwana Tamisemi Wameachia tangazo la ajira za Ualimu na kada ya afya. Mwisho wa kuomba 04.May.2022 saa 23:59 wenye ulemavu wowote wapeleke maombi yao ( hard copy) kwa katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu aione mkurugenzi mkuu kitengo cha wenye Ulemavu.
Wengine: kazi iendeleee...
Habari wakuu. Nina MTOTO umri awake ni miaka 2 na miez 6. Ameacha kunyonya miez 9 iliyopita. Tangu aache kunyonya amekuwa akisumbua kula chakula. .nimempima minyoo na Kufanya Ultra Sound. . Amepewa sana Vitamin B Complex, Dawa za minyoo. Na Zingine nying za Kufanya apate hamu ya lakini Bado...
Ndugu Wanahabari,
Kwa ujumla Mkoa wa Iringa hali ni shwari,
Nichukue fursa hii kuwashukuru vyombo vyote vya habari na wananchi kwa ushirikiano wenu katika mapambano dhidi ya uhalifu.
Ndugu Wanahabari
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linafanya Uchunguzi/Upelelezi dhidi ya watuhumiwa wa wizi wa...
Ahsante mkuu , mi mwenyewe nataka nianze kufuga.kwa mtaji mdogoo. Nataka Nijiajiri. Niifanye kama ajira kama unaweza Kunisaidia zaidi nitashuru. Nahitaji Masaada wa mawazo zaidi. Hata kama kuna la Wasap la wafugaji wa nguruwe , niungwe ili tutiane moyo
1. Nenda TRA wakupe Tin , wafanye na makadilio yao, walipe then Wakupe Tax clearance Form.
2. Nenda ofisi ya Halmashauri/ manispaaa wakupe leseni ya biashara
3. Beba passport size na hizo documents ukiwa na 10000/- kwa ajili ya mwanasheria. Mtafute Wakala mkuu wa Mtandao husika. Atakamilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.