Search results

  1. W

    Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

    Naam,umeongea kama analyst kweli kweli huwezi kufanya analysis bila evidence!!!!
  2. W

    Wapenzi wa push-ups & squats

    Acha kufananisha supu ya pweza na vitu vya ajabu ajabu wewe!!!
  3. W

    Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

    Picha please,afu huu utaratibu wa kuongea bila kuleta vielelezo sijui nani aliuanzisha!!!
  4. W

    Usijaribu kukaa na ndugu zako kwenye familia yako, utajuta!

    Hii ni roho ya kimaskini tuu inakusumbua,yani uvunje undugu wa damu kisa vipande vya fedha,we jamaa utakua mtu wa ovyo sana na wanaokusupport hapa pia ni wa ovyo tuu,kaa mwenyewe meditate for at least 20-30 minutes utaona pros and cons za hayo maamuzi ya kibwege and Im sure you will change for...
  5. W

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Duh sio kwa kumsifia huku asee,baharia hapa lazima ajiokotee dodo kwenye muarubaini!! lakini kiuno kama ya khumbu ipo???
  6. W

    Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    Hivi ni lazima ucomment?Mtoa mada aliomba ushauri na sio mashindano ya who is right and who is wrong,kama haukua na cha kumshauri ingekua bora kukaa kimya kuliko kumuattack,hujui hata anapitia emotional stress gani.Usijifiche nyuma ya screen na keyboard yako ukaona ni sawa tuu kuandika kila...
  7. W

    Tuthamini taaluma

    Inaendelea lini mzee??
  8. W

    Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

    Dah umenikumbusha musoma tech pale baruti kuna jamaa alikua anaonyesha movie kwenye kibanda umiza,jpili na jmosi zilikua zile xxx tukawa tunaita kikao ili kuweka tafsida,yani kuna mshikaji ilikua ikifika kumi na mbil jioni keshawahi kwenye kikao,daah noma sana enzi hizo
  9. W

    Kwanini ukimbilie kuwa na mwanaume mpya wakati haupo tayari kubadilika?

    Brother maumivu yatapita tuu yape muda!!!
  10. W

    Kumuahidi msichana utamuoa na usimuoe: Je, kuna chochote kibaya kinaweza tokea?

    Kunywa fanta nyeusi ya baridi hapo ulipo,alafu mwambie mangi nitakuja kulipa
  11. W

    Sijaolewa kwasababu "ndoa za watu zinanivunja moyo"

    Kunywa pepsi hapo ulipo nakuja kulipa chief
  12. W

    Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

    Relax!!! we are no Angels,ni katika kuwekana sawa as social media friends,but all the best in pleasing ur desires!!
  13. W

    Wanawake wasomi wana changamoto gani kwenye ndoa?

    Kunywa pepsi big kwa mangi nitakuja kulipa mkuu!!!
  14. W

    Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

    You are too bitter for ur own good,learn to forgive,forget and start again,mtoto utakae mzaa has nothing to do with your prior life,and whatever you had experienced!!
  15. W

    Wabongo mjifunze kuwa Romantic basi

    Hizi tamthilia za wa mexico hizi zitakuja tengua mtu kiuno!!!
  16. W

    Ushauri: Housegirl anataka nimuoe wakati aliishia Darasa la Tatu na miminatarajia mwakani nivae Joho la Degree

    Kuna wanaume na wavulana,ukiwa unatoa ushari jaribu kutofautisha hii generalization sio nzuri!!!
  17. W

    Hakuna kitu kinakera kama kufanya kazi na mpenda sifa

    Kama ww ndio uko kwenye hio avatar hata mm ningejipendekeza tuu potelea mbali!!
Back
Top Bottom