Search results

  1. RAGNAR LOTH

    Mchungaji 'Mfalme Zumaridi' adai kuwasiliana na Kanumba, Mama yake azungumza

    Na ndo maana nasemaga wanawake ndo binadamu wapumbavu sana.
  2. RAGNAR LOTH

    Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

    Stop it bhana mrembo Maserati . Sio vizuri,
  3. RAGNAR LOTH

    Msaada

    Ni bi dada huyu mzee Genta.
  4. RAGNAR LOTH

    Dhambi ya kuangalia picha za ngono

    Somo zuri sana kaka : Stay blessed.
  5. RAGNAR LOTH

    PICHA: Huu ndo utajiri wa bondia Myweather. Wewe endelea kulima matikiti yako

    Yu don't know wat richness really is broh. Richness is in Assets and nat in liabilities buddy.
  6. RAGNAR LOTH

    PICHA: Huu ndo utajiri wa bondia Myweather. Wewe endelea kulima matikiti yako

    Warren Buffet anaishi nyumba ya $31,500 ( 69,000,000 tsh ) na gari yenye thamani ya $122,500 ( > 200 m tsh). Naona kijana miaka yake yote ya ngumi anapambana kujenga liabilities wenzake wanajijengea Assets. Hakuna mtu mwenye akili timamu anawaza kuwa na magari mengi ya anasa namna hiyo.
  7. RAGNAR LOTH

    Video: Manji anahuzunisha, anataka kulia

    Yeye nae masare ya JWTZ alikuwa na kazi nayo gani?
  8. RAGNAR LOTH

    Naoina ugumu wa uchaguzi mkuu 2020!

    Mnahangaika tu kuzifikirisha akili zenu, Mbona 2015 ilikua zaidi ya uyasemayo na hakuna kilichobadilika.
  9. RAGNAR LOTH

    Watanzania ndo wana roho mbaya

    Sasa hapo umejibu kwa kutetea au kwa kuponda wewe kenyan
  10. RAGNAR LOTH

    Wazee wa kujilipua kimaisha (risk takers) kwa style tofauti tukutane hapa!

    From MUST right? Tuwasiliane basi tuone tunafanyaje.
  11. RAGNAR LOTH

    Mechi saa 11 jioni, siku ya kazi Uwanja wajaa saa 6 mchana, chanzo ni ukosefu wa ajira?

    Ukitaka kujua watazania wengi hawana kazi za kufanya na ni wavivu, angalia (fujo, ugomvi / kutokuelewana) kukitokea mahali wanavyojazana kama wameona Jupiter imeshuka duniani. Uichosema kina ukweli 90% ila watatetea tu kwamba kila mtu ana ratiba yake,hakuna kitu kama hicho. MO anafanya kazi...
  12. RAGNAR LOTH

    Mechi saa 11 jioni, siku ya kazi Uwanja wajaa saa 6 mchana, chanzo ni ukosefu wa ajira?

    Kuwa your own boss ndo ulale room mida ya kazi. Wewe utakuwa your own slave.
  13. RAGNAR LOTH

    Serikali na CCM, Lissu anatakiwa afilisiwe kihoja si vinginevyo!

    "Lissu awe Raisi.?" Mnyaturu yule. Nahamia Somali land.
  14. RAGNAR LOTH

    Wazee wa kujilipua kimaisha (risk takers) kwa style tofauti tukutane hapa!

    Sijasema hushindi mkuu, lakini huko kushinda kwako ni probability tena chance yake ni chini ya 1/2. Alafu ukishinda wewe kuna wenzio 1,000,000 na zaidi wameweka pesa na wamekosa, hiyo imeingia kwa muhindi. Wewe unapata sehemu tu ya pesa iloingia tena kiduchu. Faida zaidi ya 80% kwa muhindi.
  15. RAGNAR LOTH

    True story: Hataki nimuoe kasingizia ndugu wanapenda aendelee na chuo-degree

    Kwa majibu hayo mkuu, bado tu hujauelewa mchezo? Unaumiza kichwa kwa ajili gani sasa angali majibu unayo?
  16. RAGNAR LOTH

    True story: Hataki nimuoe kasingizia ndugu wanapenda aendelee na chuo-degree

    Swala ni kwamba hajakupenda. Wanawake wana kasumba ya kufanya lolote just 4 love. Ukiona anakwambia maswala ya ndugu, ujue na yeye kayapenda hayo maamuzi
  17. RAGNAR LOTH

    Tuujadili uchumi katika vitabu vitakatifu.

    Hata uchumi una initiation mkuu
Back
Top Bottom