Single ladies hivi iliendelea? Kila nikijaribu kuisearch kwenye sites mbali mbali siipati [emoji848]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nimejaribu kukutumia pm yako umefunga, kama hutojali kindly pm me nikupe details za watoto wenye uhitaji.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Zainab saloon ipo upanga ,kama unatoka muhimbili ukimuuliza boda yoyote kwa aunt zainab saloon anakupeleka .
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mkuu ukisoma vizuri alianza kumpa maji kujisukutua kama mara tatu na pia mtu mwenyewe Mwamba Efraim kinyaa anakipata wapi?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Na nyingine hiyo ,ni multifunction inaitwa 10 in one ,inafanya vitu vingi kwa wakati mmoja
Inasaga juice
Ina chopper
Ni heavy duty
Unatengeneza smooth
Na vingine vingi
Hii bei yake imechangamka inauzwa laki mbili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.