Search results

  1. M

    Nafasi mbili za kazi- Flydream Company Limited

    1. Utangulizi Flydream Company Limited ni kampuni ya kitanzania iliyoanzishwa mwaka 2019. Ni mujumuisho wa biashara zinazotoa huduma mbalimbali ikiwemo mafunzo ya Udereva, huduma ya ufundi Magari, Huduma za usafi na unyunyizishi wa dawa za kuua wadudu majumbani na maofisini, huduma za chakula...
  2. M

    Nafasi tano (05) za Afisa masoko na mauzo ya viwanja- J2 Real Estate

    1. Utangulizi J2 Real Estate inahusika na ununuzi na uuzaji wa viwanja, tathmini na urasimishaji wa ardhi. Ofisi zake ziko Goba, DSM 2. Nafasi za kazi Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu katika kazi za mauzo na masoko wa miradi ya viwanja kuchangamkia nafasi hizi. Sifa -Uwezo mzuri...
  3. M

    Nafasi tano (05) za Afisa masoko na mauzo wa viwanja- J2 Real Estate

    1. Utangulizi J2 Real Estate inahusika na uuzaji wa viwanja vya makazi na biashara. Ofisi zake ziko Goba, DSM 2. Nafasi za kazi Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu wa mauzo na masoko katika miradi ya viwanja na mashamba kuomba nafasi husika. Sifa -Uwezo mzuri wa kuongea na...
  4. M

    Nafasi tano (05) za Afisa masoko na mauzo wa viwanja- J2 Real Estate

    1. Utangulizi J2 Real Estate inahusika na utoaji wa mafunzo ya udereva, uuzaji wa viwanja, huduma za usafi na upulizaji wa dawa. Ofisi zake ziko Goba, DSM 2. Nafasi za kazi Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu nafasi za afisa mauzo na masoko wa miradi ya viwanja, mashamba na nyumba...
  5. M

    Tangazo la kazi ya Afisa mauzo na mapokezi

    - Essence Driving Schools Afisa masoko (01) na afisa huduma kwa- wateja (01) shule ya udereva anahitajika Sifa 1. Uwezo wa kuongea/ushawishi vizuri sana na wateja 2. Uwezo wakufanya kazi yenye matokeo 3. Uelewa zaidi katika kutafuta wateja kwa- njia ya mitandao ya kijamii 4. Muonekano...
  6. M

    Graphics designer anahitajika haraka

    Sifa Uwezo wa kuandaa matangazo ya video, animations, posters, banners, n.k Moyo wa kufanya kazi ya kujitolea Kituo cha kazi itakuwa Goba, Dar Es Salaam Hata akitaka kufanyiakazi nyumbani kwake/kazini kwake ili Mradi malengo ya kampuni yatimizwe kwa- wakati Mshahara ni TZS 300,000 kwa- mwezi...
  7. M

    Graphics designer mwenye uzoefu na masoko anahitaji haraka

    Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya: Sifa 1. Uwezo wa kutumia computer...
  8. M

    Tangazo la nafasi za kazi - Flydream Company Limited

    1. Utangulizi Kampuni ya Flydream Company Limited inashughulika na utoaji wa mafunzo ya udereva, uuzaji wa viwanja, huduma za usafi na upulizaji wa dawa. Ofisi zake ziko Goba, DSM 2. Nafasi za kazi Tunawatangazia watanzania wenye sifa na uzoefu nafasi za afisa mauzo na masoko wa miradi ya...
  9. M

    Mfanyakazi wa graphics na video production anahitaji

    Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya: Sifa 1. Uwezo wa kutumia computer...
  10. M

    Afisa Masoko wa kampuni ya Usafi na viuwa wadudu

    Flydream Company Ltd ni kampuni iliyosajiliwa na BRELA kwaajili yakutoa huduma mbalimbali kupitia biashara zilizo chini yake. Kwasasa inawatangazia watu wote wenye sifa za kuomba nafasi zifuatazo kupitia kampuni tanzu ya Real Vision Cleaning & Fumigation services yenye ofisi zako Mabibo, jijini...
  11. M

    Ajira za madalali wa nyumba, vyumba na flemu za biashara Dar es Salaam

    P2 Real Estate inajishughulisha na ununuaji na uuzaji wa viwanja, mashamba, nyumba katika mikoa ya Tanzania Bara, aidha, kampuni pia unajisikia na upangishaji wa nyumba, vyumba pamoja na flemu za biashara kwa- Dar Es Salaam ili kuwarahisishia usumbufu wateja wetu. Ili kufikia malengo...
  12. M

    Mfanyakazi wa mapokezi anatakiwa katika shule ya udereva Mabibo

    Sifa 1. Uwezo mzuri sana wa kujieleza na ushawishi wa hali ya juu 2. Aliyetayari kufanya kazi yenye matokeo bila usimamizi 3. Mnadhifu sana na mwenye lugha laini wakati wote 4. Elimu kidato cha nne na awe mdada anayeishi Dar es Salaam 5. Mshahara si tatizo itategemea na uwezo wa kazi 6. Mwenye...
  13. M

    Supervisor wa shule za udereva anahitajika haraka

    Sifa Uwezo wa kuongoza taasisi yenye matawi yake Lugha nzuri sana na uwezo wa kujieleza Mwaminifu sana na aliyetayari kufanya kazi bila usimamizi na kwakujitoa Uwezo wa kutumia computer na uelewa wa kuandaa report za utendaji Awe na jinsia ya kike mwenye ujasiri, ari, uwezo na utayari wa...
  14. M

    Dada wa kufanya kazi mapokezi katika shule ya udereva, Tegeta Dar es Salaam

    Sifa 1.Awe na elimu ya kidato cha nne au ngazi ya cheti. 2. Ushawishi mkubwa kwa wateja. 3. Uwezo mzuri wa kuongea na kuandika. 4. Uelewa wa matumizi ya baadhi ya program za computer. 5. Uzoefu katika masoko na mauzo utapewa kipaumbele. 6. Uwezo wa kuingia ofisin saa 12:30asubuhi na kutoka...
  15. M

    Wahudumu wa kukusanya order kwenye restaurant wanahitajika

    Sifa Awe tayari kukusanya order za chakula na kupeleka kwa wateja wake Lugha nzuri, nadhifu na aliye na uchangamfu na asiyeweza kupaniki kutokana na utofautwa tabia za wengine Utayari wa kufanya kazi mda mrefu zaidi bila kuhama itakuwa sifa inayozingatiwa pia Uwezo wa kubadilika kutegemea na...
  16. M

    Mpishi wa chips na nyama choma anahitajika, Mabibo-Dar es Salaam

    Sifa Awe anajua kupika chips, nyama choma, mishikaki, n.k Awe mkazi wa Dar es Salaam hasa maeneo ya jirani na mabibo Mkataba utakuwa ni mwaka mmoja mmoja Kwa mawasiliano zaidi piga au whatsap 0757930779
  17. M

    Wapishi wa vyakula, vitafunwa, chips pamoja na wahudumu wanahitajika haraka

    Sifa 1. Awe anajua kupika chakula na vitafunwa vyenye radha nzuri 2. Awe na lugha nzuri Sana 3. Usafi wake na mahala pa kazi ni sifa nyingine muhimu 4. Nidhamu pamoja na kuheshimu mda wa kufika kazini 5. Ajira ni ya mkataba wa mwaka mmoja mmoja Mahari Rhian tastfood restaurant, Mabibo-Dar Es...
  18. M

    Mpika chips na mchoma nyama mzoefu zaidi anahitajika haraka

    Mshahara ni maelewano. Kazi ya mkataba wa mwaka mmoja mmoja. Mahali Mabibo, Dar es Salaam. Mwenye uhitaji naomba anicheck kwa 0765374146.
  19. M

    Dada mwenye uzoefu na customer care anahitajika haraka

    Sifa 1. Uwe na ushawishi mkubwa sana katika kuongea na wateja 2. Uwezo wa kujieleza vizuri bila uoga pamoja na lugha safi 3. Ujuzi wakufanya marketing itakuwa sifa ya ziada 4. Unadhifu wakati wote 5. Elimu haitakuwa kigezo kikuu kama anakidhi sifa hapo juu 6. Kazi itakuwa ya mkataba mwaka mmoja...
  20. M

    Car4Sale Toyota Raum New Model inauzwa, Mabibo- Dar es Salaam

    Sifa 1. Rangi ni gold 2. Namba za usajili ni T244 DPS 3. Ukubwa wa injini ni 1490cc 4. Idadi ya km ilizotembea ni 77,000 kms mpaka Sasa 5. Inamwaka mmoja tokea imenunuliwa 6. Inabima kubwa iliyokatiwa mwaka huu 7. Hutumika kwenda kazini na kurudi tokea imenunuliwa 8. Haijafunguliwa popote tokea...
Back
Top Bottom