Search results

  1. huzayma

    Uaminifu ndani ya ndoa

    wengi wao ni kama kumpigia mbuzi gitaa, sijuwi imekuwaje?
  2. huzayma

    Penzi la wizi katika tamthilia ya Wabrazili na mauaji ya kutisha…!

    mmhh! haya mapenzi sijuwi yana shwetani gani?
  3. huzayma

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    na usikute kajibeep mweyewe kisha kajidai jamaa, anatafuta njia za kumwaga kisha apate sababu ya kuongea kwa rafiki zake.
  4. huzayma

    natafuta boyfriend

    hivo ni vibweka vya ma star ndo siku hizi wamezidi.
  5. huzayma

    natafuta boyfriend

    he he he heeeeeee huku kuna raha na kupunguza stress, watu wengine hawajuwi kuvaa uhusika hadi waongee vilowahusu wenyewe, kumbe wewe ndo uliokotewa huko? pole mwaya.
  6. huzayma

    natafuta boyfriend

    asante engineer.
  7. huzayma

    natafuta boyfriend

    watu wengine ni kichef chef kweli, afadhali ungekuwa mwanamke. kijijini kwenu mnazaliwa na phd nini? mana mimi niko beginner English class na teacher wetu kasema tuwe tunajaribu kuongea na kuandika ndio kujifunza tena hata hao walimu wa walimu huwa wanakosea, hivi kwani kuonekana msomi...
  8. huzayma

    natafuta boyfriend

    kisha umeongea kwa hasira. mie si nimesema huko mwanzo kuwa tatizo langu ni wivu, TZ TUNAOLEWA WAWILI WAWILI WATATU NA kuendelea, mimi kushare ndo siwezi hata nikijitahidi, ntabadilikaje na wanasema wivu ni kilema, ulishaonaga kilema kikibadilika?
  9. huzayma

    natafuta boyfriend

    he he! asente.
  10. huzayma

    natafuta boyfriend

    mmmhh! hilo nalo neno.
  11. huzayma

    natafuta boyfriend

    haya majibu yake ni kwenye chumba cha interview.
  12. huzayma

    natafuta boyfriend

    he! wale wenzetu huwatambuwi? sasa unanipa mtihani mwengine Tanganyika itakuwa nchi gani eti?
  13. huzayma

    natafuta boyfriend

    kisha unanivunja mbavu mie, wewe hujatimiza masharti ni raia wa Tz.
  14. huzayma

    natafuta boyfriend

    kwani kutafuta boyfriend ndo kukosa mvuto? sikusema sitongozwi nimesema watanzania wenzangu wamenishinda kwa matatizo mbali mbali ambayo sina uvumilivu nao. i wish ungeniona one day japo njiani tu kuthibitisha usemi wako.
  15. huzayma

    I Want Your Body

    mpaka mfike kuparurana huyo mamaako wa kufikia baunsa? mwanamke si kumsukuma tu ukashika njia ukaenda zako, hapo ulishamfinger malizia tu.
  16. huzayma

    natafuta boyfriend

    kama umetimiza vigezo uje katika chumba cha interview.
  17. huzayma

    natafuta boyfriend

    hao ndo wamenishinda nimekubali tu yaishe, siwawezi usipokuwa na mke mwenzio wa dhahiri basi unaye wa siri, wivu kwangu hauna dawa na mengine mengi ya kitanzania tanzania.
  18. huzayma

    natafuta boyfriend

    kwa hivyo ningesemeje?
  19. huzayma

    Je, nimekosea kummwaga?

    tena ungemfukuza kwa mateke na magumi.
  20. huzayma

    natafuta boyfriend

    hata hao nao ni NON citizen.
Back
Top Bottom