Search results

  1. TEAM VIBAJAJI

    TCRA yazipiga faini ya Sh38.1 bilioni kampuni 6 za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma

    Hizi faini za namna hii ziletwe na barabarani, yaani unaambiwa makosa ya gari lako alafu unaambiwaisilipe, hiyo faini karekebishie makosa ya gari lako.
  2. TEAM VIBAJAJI

    Naomba ushauri wa kununua gari kwa mtu alie mbali (mkoani)

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]....nimekuelewa chief
  3. TEAM VIBAJAJI

    Naomba ushauri wa kununua gari kwa mtu alie mbali (mkoani)

    Hakuna mnunuzi wa gari hapa,nimemwambia mimi nipo Mwanza hapa anielekeze walipo nikamkagulie bure hajaonekana tena
  4. TEAM VIBAJAJI

    Naomba ushauri wa kununua gari kwa mtu alie mbali (mkoani)

    Nipo Mwanza....nielekeze nikakuangalizie,muulize kama ni uwanja wa furahisha au mitaa ya u-turn nimfate chapu,maana ndio maeneo yao
  5. TEAM VIBAJAJI

    Naomba ushauri wa kununua gari kwa mtu alie mbali (mkoani)

    Kwakukusaidia, usitume pesa wala dereva.....nielekeze nikakufanyie ukaguzi na upembuzi yakinifu
  6. TEAM VIBAJAJI

    Naomba ushauri wa kununua gari kwa mtu alie mbali (mkoani)

    Yaani wa Dar unanunua gari Mwanza[emoji15]....hiyo ni sawa na mtu wa Tanga akanunue nazi Moro na wa Moro pia akanunue mchele Tanga
  7. TEAM VIBAJAJI

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Hahahaaaa....wenye walitaka walishapata mwongozo na hawakuja kwa style kama yako,kila mtu akisema aweke mambo yake humu mbona wengine tutajiona tupo uchi,jaribu kujiongeza mkuu
  8. TEAM VIBAJAJI

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Mkuu povu limekua jingi sana, hebu fanya kama unajisuuza povu lipungue[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. TEAM VIBAJAJI

    Mazingira ya Lupaso Mtwara tumeyaona, tufanye marekebisho

    Unataka kusema wameutunga in advance [emoji848]
  10. TEAM VIBAJAJI

    Ni huyu huyu Makonda ninayemjua au macho yangu?

    Alikua mzito kwenye kupiga mimba sembuse kichwani[emoji846]
  11. TEAM VIBAJAJI

    Ni huyu huyu Makonda ninayemjua au macho yangu?

    Hizo ni hela alizokua akizipata kupitia system,siajabu akiendelea kubaki nje ya system mihela yake yote ikarudi ndani ya system na kumuacha kama zilivyomkuta
  12. TEAM VIBAJAJI

    Natoa siku saba walioiba matairi ya gari la wizi likiwa kituoni baada ya kukamatwa likiwa salama watakipata Cha Moto

    Uliwashindwa walioiba gari na matairi yake,utawaweza walioiba tairi pekee?
Back
Top Bottom