Search results

  1. Nyabhakangala

    Tuliowahi kuchomeshwa mahindi tukutane hapa

    Mojakwamoja Kwenye mada husika. imekuwa kawaida kwa baadhi ya akina dada wanapo wekeana mihadi ya kukutana namwisho wasiku wadada kupotelea kusiko julikana hii hali ilitokea sana kati yamika ya 2000 kuludi chini kipindi ambacho technologia ilikuwa bado haijashamili. lakini pia hii hali imezidi...
  2. Nyabhakangala

    Msaada wa haraka, mtoto kabwia chupa iliyosagwa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Niende moja kwa moja bila kupoteza muda, Ni wiki sasa imepita toka niondoke nyumbani baada ya kurudi toka kwenye mihangaiko yangu, nimekutana na taarifa ambazo sio nzuri kuna mtoto wa miaka 9 ambae nilikuwa naishi naye nyumbani kwangu alikuwa anacheza na...
Back
Top Bottom