Search results

  1. Loveeness78

    Nahitaji mkopo wa dharura

    Salaam kwenu wana JF, hususani jukwaa la biashara, chumi na ujasiriamali. Mwenzenu nimetingwa na nimekwama kidogo kwenye biashara yangu. Naombeni kujua ni sehemu gani nawezakupata mkopo wa dharura (ndani ya masaa 24 au 48) kwa riba nafuu. Mkopo ninaohitaji ni laki7 na nitarejesha ndani ya...
  2. Loveeness78

    Natafuta Bucha ya kukodi

    Habari za kazi wakuu, Natafuta Butcher ya kukodi jijini Dar es Saalam, kwa yeyote anaeweza kunisaidia kwa namna moja au nyingine namkaribisha tafadhari. Butcha inaweza kuwa mtaa wowote, naona itanifaa tu. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Loveeness78

    Bucha ya kukodi inahitajika

    Heshima kwenu wakuu. Nahitaji butcha ya kukodi jijini Dar es saalam. Kwaajili ya kuuza nyama ya ng'ombe, kama ikiwa navifaa baadhi itakuwa vizuri zaidi. Ila hata kama haina vile vifaa basic za kuuzia ila iwe butcha nitashukuru pia. Mi nipo maeneo ya Bunju, kama ikipatikana mitaa ya karibu na...
  4. Loveeness78

    Nahitaji Bucha la kukodi

    Heshima kwenu wakuu. Nahitaji bucha ya kukodi jijini Dar es Saalam kwa ajili ya kuuza nyama ya ng'ombe, kama likiwa na vifaa baadhi itakuwa vizuri zaidi. Ila hata kama halina vile vifaa basic za kuuzia ila liwe butcha nitashukuru pia. Mwenye kujua au kuwa nalo ataniambia hapa public au hata PM...
  5. Loveeness78

    Natafuta Clearing and Forwarding Agent border ya Tanzania - Mozambique.

    Salama wakuu? Kuna mtu anahitaji clearing and forwarding agent mwenye uzoefu border ya Tanzania-Mozambique aweze ku clear mizigo yake pale Negomane. Au kama kuna mtu ambaye ana uzoefu na ile border au alishawahi ku clear mzigo pale naomba ani PM tafadhali
  6. Loveeness78

    Nauza kiwanja changu, Mwanza.

    Nauza kiwanja changu, kipo mwanza mtaa wa buswelo maeneo ya Nyamadoke msikitini. Karibu ya barabara litokalo Igoma kwenda wilayani. Kiwanja kina ukubwa wa 25 kwa 25 m. Nakiuza kwa mil 5
  7. Loveeness78

    Nahitaji container la futi 40

    Habari zenu wakuu. Naombeni kujua bei ya conteina la futi 40 kwa hapa Dar. Kama kuna mtu analo au anamjua mtu yeyote Mwenye nalo na anauza naomba nisaidiwe kupata namna ya mawasiliano ili niweza kununua. Natanguliza shukrani.
  8. Loveeness78

    Nahitaji shamba la kukodi Morogoro, kwaajili ya kulima mahindi na maharage

    Heshima kwenu wakuu. Nahitaji Shamba mkoani Morogoro, kwaajiri ya kulima Mahindi na maharage, nahitaji la kukodi. Ningetamani kama Shamba lingekuwa karibu na MTO ili mvua zikikata nimwagilie. Asanteni sana.
  9. Loveeness78

    Dawa ya asili

    Natibu kisukari ( mpaka utakapo kuwa normal kwa hiyo muda inategemaea na mwili wako). Natibu pressure. Ila pressure kwa week 3 za awali unaanza kujisikia kawaida. Unaweza kupata dawa popote Tanzania. Kama utahitaji ni check upate tiba.
  10. Loveeness78

    Nauza kiwanja changu Buswelo "mwanza"

    Wakuu poleni na kazi. Nauza kiwanja changu kiko buswelo mwanza maeneo ya nyamadoke. Kipo karibu ya barabara jipya litokalo Igoma.Kina ukubwa wa 25 kwa 30 m. Kimepimwa nakiuza kwa tsh. Mil 6.5. Ila kama ukishakiona na kukipenda tutaelewana zaidi. No. Watsup +258 846081710
  11. Loveeness78

    Unatoa ute mwingi kupita kiasi ukeni na kupata maumivu?

    Je unatoa ute mwingi ukeni na kupata maumivu ukeni wakati unatembea au wakati mwingine wakati ukiwa unafanya mapenzi? Kama unajisikia hari hiyo na umeshaenda kwa madactar mbalimbali, na ukapimwa kila aina ya infection na huna maambokizo, tunaweza kuongea na naweza kukusaidia kutatua tatizo...
  12. Loveeness78

    Nataka niwe mke wa pili

    Habari wakuu, Nina miaka 27, elimu yangu ni degree moja, sijawahi kuolewa na sina mtoto, dini yangu ni mkristo nataka kuwa mke. Ila ningependa kuolewa na mwanaume ambae ana mke tayari. Nitafurahi sana kama akitokea mtu mwenye nia ya kweli. Natanguliza shukrani.
  13. Loveeness78

    Jifunze hapa ili usikosee tena katika mapenzi!

    Tazama mungu alivyo mwema amewapa uzima hadi sasa! Toka nimekuwa katika mahusiano nimejifuza kuwa kupenda haitoshi kuwa na hisia kali na kuthamini unaempenda tu! Nimejifunza kwamba unapodenda unaanza kuingia ulimwengu wa elimu, yaani kuanza kumsoma yule umpendae. Katika hatua za awali...
  14. Loveeness78

    Namtafuta Mr. Nice

    Wakuu popote mtakapomuona huyu mtu mfikishieni hizi salamu za dhati. Salamu zenyewe ni kwamba anakubalika sana Mozambique yani kuliko hata Diamond anavyokubalika bongo. Najua yuko kwenye mawe lakini akijikakamua akapiga show za nyimbo zake za zamani anaweza kupata pa kuanzia. Yani anakubalika...
  15. Loveeness78

    Hizi ndoto zinanishanganza, wajuzi nisaidieni.

    https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17982263 Hizi ndoto zinanishanganza, wajuzi nisaidieni. Nikiwa mdogo nilikuwa nikihisi kitu kitatokea na kilitokea, ila sikumbuki vizuri maana sikuweza kutafakari jambo hili japo niliwambia wazazi wangu hawakujali.<br /><br />Nilipofikisha miaka 19...
Back
Top Bottom