Search results

  1. Gushleviv

    Hii Alert kwenye Simu ni Nini?

    Salaam Wadau, Siku za hivi karibuni nimekuwa nikipata hii alert kwenye moja ya simu zangu ninazotumia, simu yangu ni Redmi Note 12. Je ina maanisha nini? Cc: Chief-Mkwawa
  2. Gushleviv

    Redmi Note 12 Pro+ 5g Inauzwa!

    Salaam wadau. Kama kichwa cha tangazo kinavyojieleza. Nauza simu tajwa hapo juu yenye sifa zifuatazo:- Simu bado ni mpya, imetumika kwa wiki 2 tu. Storage 8 ni 8/256 gb. Ina kila kitu chake tatizo Box tu ambalo kwa bahati mbaya lilitupwa. Bei ya kuanzia ni Tsh 600,000/= Yeyote aliye serious...
  3. Gushleviv

    Uncle Musa's Story

    UNCLE Musa. After living in the United States for 40 years and at the age of 70, Uncle Musa finally relocated to Salagie, The Gambia this year to live in his 5-bedroom house which took him 10 years to complete. Now in Gambia and in his house, Uncle Musa lives in the living room of the house...
  4. Gushleviv

    Ukweli kuhusu MediaTek

    Salaam wadau. Naomba kujuzwa na yeyote kuhusiana na hizi Chipset za MediaTek, haswa ubora wake na kwa nini bidhaa zilizo na Chipset hii zinadharaulika, je ni kweli MediaTek ni hovyo au ni maoni tu ya mkumbo? Mfano simu za Tecno,Itel na Infinix ni mbovu na kiwango chake ni cha chini sababu ya...
  5. Gushleviv

    Mimi ni mtumiaji wa Vodacom. Nakatwa salio langu Tsh.100 ya huduma ya Mdundo bila ya ridhaa yangu

    Habari zenu Wakuu, Mimi ni mtumiaji wa Vodacom. Hivi karibuni nimekuwa nikikutana na hali ya salio langu kukatwa kiasi cha Tsh.100 kila baada ya mida flani bila ya ridhaa yangu. Nikiwapigia Vodacom wananiambia kuwa nakatwa salio sababu nimejisajili kwenye huduma ya "Mdundo". Na zaidi sasa...
  6. Gushleviv

    Nash Mc A.K.A Zuzu ndani ya US!

    Kama. Kawaida yake ni mmoja wa ma MC wakali sana wanaosimamia misingi ya kweli ya HipHop, hivi sasa yupo nchini Marekani kama kawaida yake na safari za Ughaibuni. Hiyo video akiwa University of North Carolina.. School of Music akishiriki "Cypher" kwa Mistari ya Kiswahili na wanafunzi wanaosomea...
  7. Gushleviv

    Napata Tatizo hili JF Shida nini?

    Nikifungua uzi mmoja napelekwa kwenye Uzi mwingine. Mfano nikifungua/niki click uzi huo wa Forum ya JF Store, unafunguka uzi wa forum nya Ujasiriamali. Badala yake unafunguka uzi huu hapa Chini Sababu ni nini? Cc: Moderator
  8. Gushleviv

    Landrover Discovery na Majanga ya Moto

    Salaam Wadau, Kama kichwa kinavyojieleza, kumekuwa na mfululizo wa hayo Magari kwa hapa Bongo(TZ) kuteketea kwa Moto(Kuungua). Tatizo ni nini? Binafsi nimepoteza sana Mvuto na hayo Magari. Wataalam kina JituMirabaMinne toeni maoni.
  9. Gushleviv

    BODR-Snoop Kaupiga Mwingi Sanaa

    Asee kama Wewe ni Mdau wa WestCoast Rap utakubaliana nami kwamba katika hii Album ya BODR(Back On Death Row) Snoop D O Double G kaupiga mwingi sana. Ni moja ya Album kali sanaaa... My favourite tracks are 1.House I Built 2.Crip Ya Enthusiasm
  10. Gushleviv

    Phone4Sale Redmi Note 10

    Grab this Offer Now! Xiaomi Redmi Note 10 (Global Version) Rom: 128 GB ( store more videos, photos,etc) Ram : 4 GB Condition: Used for 3 Months Battery: 5000Mah- 12 hrs + Delivery: From Dar es Salaam to any region in TZ OFFER: 400,000 TZs (Negotiable) DM is Open for interested Buyers.
  11. Gushleviv

    Msaada: Alama hii ina maana gani?

    Nimekutana na hiyo alama maeneo ya Mataa ya Kipawa karibu na uwanja wa Ndege, je ina maana gani?
  12. Gushleviv

    Bank Swift Transfer

    Habari zenu wadau, naomba kujuzwa ni mfumo upi kati ya hiyo mifumo hapo chini unatumika katika Bank za Tanzania? 1⃣ Swift MT104 GPI 2⃣ Swift GPI MT103 direct cash transfer 3⃣ Swift GPI with code 4⃣ Swift GPI automatic / with UETR Code 5⃣ Swift GPI semi-automatic / with UETR Code 6⃣ Swift...
  13. Gushleviv

    Mercedes Benz C200 Compressor

    Habari wakuu, Kuna jamaa yangu anahitaji kuagiza Gari hii Mercedes Benz C200 Compressor ya Mwaka 2004. Sasa tumeulizia kwa fundi mmoja anasema jamaa asinunue hiyo gari sababu ni mbovu sana na kwamba Cylinder Head yake ni ya Alluminium hivyo imitokea gari imechemsha mara moja tuu basi ndio mwisho...
  14. Gushleviv

    iOS 12.5.4 for Older Devices

    Salaam Wadau, Nimesikia fununu kuwa Apple wameachia Security Update kwa ajili ya Vifaa vyao vya zamani. Mfano simu ya 5s, Ipad 2 nk. Kuna yeyote mwenye hizi news? cc: Chief-Mkwawa
  15. Gushleviv

    Ubishoo na Ushamba ndani ya Club House

    Salaam, Kuna hii App mpya ya ClubHouse ambayo imeanza kushika kasi ya watumiaji wengi bapa nchini na Duniani kwa ujumla, nadhani baadhi yetu tunaifahamu. Sasa kuna kitu ninachokiona kwa watumiaji wengi wa Kibongo ni Ubishoo uliopitiliza kama ule wa enzi za BBM pamoja na ushamba wa kitu Kipya...
  16. Gushleviv

    Msaada Telegram Split Screen

    Salaam wakuu. Nikifungua App yangu ya Telegram sehemu ya Msg nakuta Screen imegawika katikati kati ya Chat na Contacts kitu ambacho mwanzoni hakikuwepo, ilikuwa nikifungua nakuta Chats tu, sasa je nawezaje kuondoa hizo Contacts zisionekane chino ya Chats? Msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia...
  17. Gushleviv

    Naomba kujuzwa haki za Mtumishi wa Serikali aliyefukuzwa Kazi

    Wasalaam, naomba kujuzwa haki za mtumishi wa Serikali ambaye amefukuzwa kazi huku akiwa na Malimbikizo ya Mshahara ambayo hakulipwa. Je utaratibu ni upi? Na kipindi aliposimamishwa alikuwa akilipwa Nusu ya Mshahara je baada yabkufukuzwa analipwa kiasi cha nusu alichokuwa akikatwa wakati wa...
  18. Gushleviv

    Msaada kuondoa Hichi Kiduara

    Habari wadau..yeyote anaeweza kunisaidia kutoa hicho kiduara kwenye simu yangu , kinatokea kila ninapotap. Simu ni SamsungA01. cc Chief-Mkwawa
  19. Gushleviv

    Tujadiline kuhusu ujio wa toleo la Android 11

    Salaam wadau, Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na hii habari ya ujio wa "Android 11" sasa najiuliza hawa Google vipi, Mbona Updates kila baada ya kipindi kifupi? Binafsi hii inafanya kwa upande wa simu kuwa outdated haraka sanaa. Leo hii simu ya Android ya miaka 5 iliyopita...
  20. Gushleviv

    Msaada wa Nokia 6.1 Sim Card Tray

    Habari wadau wa Jukwaa hili, natafuta "Sim Card Tray" ya simu hii aina ya Nokia 6.1. Kama kuna yeyote mwenye nayo au anielekeze kwa mtu ambaye anaweza kunisaidia tafadhali. Natanguliza Shukrani zangu za dhati kwenu.
Back
Top Bottom