Search results

  1. Gushleviv

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    We jamaa wewe! Ebwana zile coin zetu ulizokuwa unasubiri sifuri zipungue tujenge ghorofa vepee??🤣🤣
  2. Gushleviv

    Hii Alert kwenye Simu ni Nini?

    Poa Mkuu,asante kwa feedback
  3. Gushleviv

    Hii Alert kwenye Simu ni Nini?

    Salaam Wadau, Siku za hivi karibuni nimekuwa nikipata hii alert kwenye moja ya simu zangu ninazotumia, simu yangu ni Redmi Note 12. Je ina maanisha nini? Cc: Chief-Mkwawa
  4. Gushleviv

    Philip Nele Nduguru: mchoraji katuni wa gazeti la Sani

    John Kaduma yupo??
  5. Gushleviv

    Ushauri, Subaru Impreza Sport 2012

    m-yala Subaru, Range Rover, Landrover Discovery na BMW haya magari kama unanunua used hakikisha lisiwe limetembea zaidi ya Km 50,000 Kinyume na hapo utakuja kuliuza bei ya hasara mno. Kama hujanielewa vizuri DM ipo karibu kwa ushauri zaidi.
  6. Gushleviv

    Ushauri, Subaru Impreza Sport 2012

    Kama ni gari yako ya kwanza na huna kipato cha uhakika nakushauri achana na hili gari.
  7. Gushleviv

    JSL Consultant: Tunasajili biashara, kampuni, NGO kwa bei nafuu

    Mbali ya hiyo namba yenu ya simu, je mna ofisi hapa Dar na ipo wapi?
  8. Gushleviv

    Mzee wangu anakaribia kustaafu, uwekezaji upi ni mzuri?

    Nakubaliana pia na mawazo yako, kwamba asianze kitu kipya kwa sasa..Muhimu usimamizi mzuri tu wa hizo fedha.
  9. Gushleviv

    Mzee wangu anakaribia kustaafu, uwekezaji upi ni mzuri?

    Sasa ni mida muafaka Financial Literacy ianze kufundishwa mashuleni..Yaani babakako miaka yote hiyo alikuwa anakaa ofisini sasa kazeeka ndio mnataka muanze kufanya biashara? Wewe ni mfanya biashara au umewahi kufanya biashara yoyote ile? Ninachoweza kukushuri ni hiki, kama alishajenga nyumba na...
  10. Gushleviv

    Aua Mke na Mkwe wake

    Wazazi haswa Kinamama waache kuingilia ndoa za watoto wao.
  11. Gushleviv

    Video: Dereva wa Lori akutwa amekufa kwenye cabin ya gari huko Mukambo

    ABC upande wa Tazara kama unaenda Vingunguti?
  12. Gushleviv

    Wadau nani anajua bei za haya magari Afrika Kusini?

    Usithubutu, jamaa anacheza na upepo wa malimbukeni wa magari wa kibongo.
  13. Gushleviv

    Ally Hapi atatufaa kama Waziri wa Kilimo?

    Madhara ya Moshi wa Mwenge🤣🤣🤣
  14. Gushleviv

    Ushauri wa ulaji wa mafuta wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000

    Yes, nyingi ni za hovyo sanaa. Next time ukitaka rims za ukweli usiwe na haraka, kama huna budget ya kuagiza basi tembelea wale jamaa wanaouza spare used haswa kule shaurimoyo wale wanaokatakata magari, huwa wanakuwa na used ambazo ni OG zimevuliwa toka kwenye magari mengine au pia wao wanaleta...
  15. Gushleviv

    Ushauri wa ulaji wa mafuta wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000

    Maana hizi wanazouza kama mpya za Kichina nyingi hazina viwango, ukigonga hata jiwe tu zinapinda.
  16. Gushleviv

    Ushauri wa ulaji wa mafuta wa Mark 11 grande GX 110 wanja yenye engine ya 1G beams 2000

    Cheki kwa jamaa wanaouza rims used, au nenda pale kwenye ofisi za Beforward unaweza agiza used toka Japan.
Back
Top Bottom