Search results

  1. L

    Hofu: Spika abadili gia angani, Bunge sasa kujadili Ripoti ya CAG kabla Bunge la Bajeti halijaisha

    Bunge la nchi moja=bunge la chama kimoja sio bunge la kuhoji hili
  2. L

    Hofu: Spika abadili gia angani, Bunge sasa kujadili Ripoti ya CAG kabla Bunge la Bajeti halijaisha

    Huyu aliyempa kura za ubunge huko mbeya alaaniwe kabisa
  3. L

    Wastaafu nitawashangaa mkiwapa kura wanaowakandamiza na kikokotoo

    Hakuna viumbe wa ajabu nchi hii kama walimu na wastafu! Sijajuwa sijui walilishwa limbwq cjui
  4. L

    Serikali kupitia NECTA, Posho kwa walimu wanaosahihisha mitihani ya Taifa sio haki

    Shida iliyoko ktk hii kada,95% ya walimu wanatoka familia maskin sasa akipata hiyo nafasi kwanza hata walimu wenzie hawaambii tena anaona bonge la chance hapo utawala unapowapiga walimu lkn nesi anaenda semina siku tatu anarud na zaid ya ml 1+ lkn mwalimu hata kuhoji n mara fuku! Nchi mwl...
  5. L

    Rais Samia kaniangusha na kunisononesha sana ripoti ya CAG 2021-2022

    Hapo rais hajatumia cheo chake kuwawajibisha wakosaji! Means amewaachia na kuwalinda waendelee kuliingizia taifa hasara! Hiyo ndio shida ya ukada
  6. L

    Kitendo cha Lema na Heche kusema bora Mwendazake kuliko Samia wamekosea!

    Utofauti ya Jiwe na Hagaya n jinsi tu lkn tabia zao n zile zile! Heche na Lema kama walimanisha ubora ktk uongozi kwa kweli wamewakosea sana wananchi! Shida upinzan nchi haueleweki cjui kwa nn? Wananchi wanapotaka kuwaunga mkono mmoja atachomoka na kuchafua hali ya hewa na kuuchukukia upinzan...
  7. L

    Niliyoyaona jana kwenye ATM ya NMB Gongolamboto yanatia aibu kwa watumishi

    Hawa watu wametoka familia bora akina lizione huyo atapata tabu wapi? Kuna watu wanaropoka katika kutoa kauli zao juu ya watumishi,watumishi wrngi n tegemez huwez kujaji kitu kama hujafanya tafiti! Mwl wa degree aliyefanyq kaz zaid ya miaka 10 mshahara wake sawa na mtumishi wa certificate...
  8. L

    Niliyoyaona jana kwenye ATM ya NMB Gongolamboto yanatia aibu kwa watumishi

    Uko sahihi sana ndg,huyu aliyeleta huu Uzi kwanza sio mtumishi wa serikali na kama mtumishi utakuta anafanyia kaz TRA ambako wao national housing ambako mtu wa certificate analipwa mshahara wa mwl wa degree hapo mtakuwa sawa? Aache umama huyo
  9. L

    Kwanini watumishi wengi wa Serikali wana hali duni kiuchumi?

    Hii haki iko kisheria au n matamko tu na kama kunakifungua Cha sheria naomba hicho kifungu kinachotaja haki za mtumishi kama ulivyoziainisha ktk andiko lako tafadhari
  10. L

    Mbunge Sanga alia gharama kubwa za tiketi ATCL

    Bei ingekuwa 100000 to and fro hakika shirika lingejiendesha lenyewe make ndege a ngekuwa zinajaa abiria mpaka zingetapika! Sasa mbeya dar utasikia 400000+
  11. L

    Waziri Mwigulu asema Mtandao wa Maji umefika 74% nchi nzima. Dkt. Tulia, Dkt. Musukuma na mbunge wa Momba wampinga

    Kati ya waziri anaeongoza kumpotosha rais n waziri wa fedha anaejiita Dr! Huyu jamaa huwa simuelewi ktk kutengeneza hoja zake sijui lengo lake n nn kwa nchi yetu!
  12. L

    Jaji ashauri Wakili Kibatala kuongea na CHADEMA ili kesi ya akina Halima Mdee imalizwe nje ya Mahakama kama alivyoomba Nusrat

    Unapeleka kesi mahakaman hafu unaomba mmalizane nje ya mahakamaa mwanzo hukuwazo hilo
  13. L

    Kibatala amhoji Nusrat Shabani Hanje kesi ya Wabunge 19 wa CHADEMA

    Mbona Kuna upuuzi mwingi sana,anaomba wakalimalize chaman mwanzo walikuwa wapi?
  14. L

    Kesi ya Mdee na wenzake: Shahidi Nusrat Hanje amuomba Jaji warudi kwenye Vikao vya CHADEMA wakayamalize

    Kuna baadhi ya wabunge ambao n innocent walishawishiwa na akina mdee et all kuleta kiburi kisa mdee akijifanya mjuaji wa mambo bila kujua wanapotezwa sana! Kwa ujumla walipaswa kujirudia mapema kabla ya kufikia hii hatua! Huyu Nusrat si ndo alipigwa na polisi hafu huyu huyu tena anarudi kuungana...
  15. L

    CHADEMA huwatetea wananchi kwenye mambo gani?

    Kama kutetewa mlisha tetewa sana lkn mkawaona si chochote si lolote Sasa ngoja dawa iwaingie kwanza! Sio muda wa kuwalaum Hawa CHADEMA waachen wapumzishe akili ili kujiandaa na mambo ya katiba! Ushauri CHADEMA kaeni kimya kwanza ili watanzania akili itukae vzr
  16. L

    Wa-Tanganyika tuamke, tulinde haki zetu

    Watanganyika wengi n mazezeta sana! Hoja yako n ya msingi lkn kwa akili za watanganyika sawa na kumpigia gitaa mbuzi! Binafsi nashangaa sana mm kwenda Zanzibar lazima niwe na kibali wao wanakuja Tanganyika bila kibali zaid wale jamaa wanawimbo wao wa taifa lkn cc huku hatuna wimbo wa taifa shida...
  17. L

    Baada ya Samia kutangaza kuja na Baraza jipya la Mawaziri, pichani nawaona hawa waking'olewa

    Jenista awe wa kwanza make yy hujal zaid tumbo lake kuliko maslahi ya nchi na wananchi wake! Ni mama mwenye kiherehere tu
  18. L

    Ummy Mwalimu ana sifa na anastahili kuwa Waziri Mkuu!

    Shida ya wasomi akili zao sijui zikoje,unajenga madarasa likuki lkn walimu hamuwalipi vzri Sasa kunafaida gan ya kumsifia huyu wazir wenu? Kuna shida ktk hii nchi na watu wake!
  19. L

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Ila Rais tembelea halmashauri ya kilolo watumishi hasa walimu hawawatendeu haki hasahasa idara ya sekondary! Nimekaa Ile halmashauri Iko ovyo sana,na ili upate maelezo nenda kaongee na walimu wenyewe na sio utawala utajua matatizo ya ile halmashauri! Kwa ujumla Kila jambo ktk halmashauri Ile Iko...
Back
Top Bottom