Search results

  1. theriogenology

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Hakuna dawa ya kuponya zaidi ya kumtoa na kumfanya kitoweo
  2. theriogenology

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Naomba kujua formular ya chakula unayowapatia tafadhali, pili nataka kufahamu ratiba yako ya dawa ya minyoo nitakushauri jambo
  3. theriogenology

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Kuna mawili inaweza kuwa ni pneumonia maana huwa inawasumbua sana kondoo, pia yaweza kuwa ni minyoo hivyo nakushauri tafuta mtaalamu aliye karibu nawe kwa msaada zaidi. Unaweza nitajia dawa ya minyoo ambayo umepatia na umekuwa ukiwapatia kila baada ya muda gani?
  4. theriogenology

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Wtafutie vitamini uiuite yenye vitamin B complexes na vitamin E wapatie na uhakika watakaa sawa. Dont entartain the use of antibiotic
  5. theriogenology

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    A Ana umri gani tafadhali maana unavyosema ndama ni ng’ombe ambaye yupo chini ya miezi sita
  6. theriogenology

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Hakuna kazi isiyo na changamoto mkuu cha msingi ni kuendelea kupambana ili mkono uende kinywani
  7. theriogenology

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Kwa dalili ulizoandika hapo, moja kwa moja changamoto inayosumbua ng’ombe wako ni contagious bovine pleuropneumonia (CBBP) ambapo kwa kiswahili ni homa ya mapafu mara nyingi ng’ombe akipata ugonjwa huo hata baada ya kutibiwa na kupata nafuu atakuwa Carrier ambapo ataendelea kuwaambukiza ng’ombe...
  8. theriogenology

    BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

    Ile lugha iliyotumika pale ni watu wachache waliielewa, huoni baada ya kunyoosha mkono kesho yake serikali iliona hakuna haja ya kuleta mashahidi wengine. Mbowe alikubali kosa hivyo serikali imeona haina haja ya kuendelea kumshtaki, hivyo hivi karibuni anatoka mahabusu.
  9. theriogenology

    BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

    Kitendo cha Mh. Mbowe kunyoosha mkono mahakamani tafsiri yake ilikuwa amekubali yaishe ni tofouti na watu wa nje walivyoitafasiri.. Mbona Pasaka anailia nyumbani kwake mwaka huu..
  10. theriogenology

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    100mls inaenda zaidi ya 68,000 the best of the best from Zoetis
  11. theriogenology

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Kwa mahitaji ya vifaa vya nguruwe, vitamins booster tuwasiliane pia mkuu
  12. theriogenology

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Ukiacha dalili hiyo ya kukohoa kuna dalili nyingine ambayo ameionesha? Kuna dawa kiboko kwa ajili ya changamoto za kukohoa ila bei yake iko juu sana kampuni ya Zoetis kama utakuwa vizuri nikuunge na muuzaji moja kwa moja. Na kuhusu bata wako mwezi mmoja bado wadogo sana labda kama utaweza...
  13. theriogenology

    Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Bila shaka watakuwa vifaranga wa kienyeji? Kama ndio wapatie katika umri huo hakuna tatizo lolote hapo.
  14. theriogenology

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Ya kimara sina pesa ya kutoka nje ya nchi
  15. theriogenology

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Nani yupo Hawaii muda huu
  16. theriogenology

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi hawa 22bet ukitoa hela inachukua muda gani kufika, mbona wapo slow sana
Back
Top Bottom