Search results

  1. P

    Nafasi ya kazi ya Ualimu katika Masomo ya Fizikia na Kemia

    Naitwa Mwl. Paulo Yamola Masanja Ni mhitimu wa shahada ya Ualimu wa sayansi katika masomo ya Physics na Chemistry. Lengo kuu ni kuomba nafasi ya kazi ya kufundisha kama Mwalimu katika sekondari yenye uhitaji. Kwa maswali na ufafanuzi zaidi, napatikana kupitia 0767582599 Email...
  2. P

    Hivi Division 4, kwa sasa inakidhi vigezo vya kusoma chuo under NACTE?

    Hivi Division 4, kwa sasa inakidhi vigezo vya kusoma chuo under NACTE? Naomba ufafanuzi.
  3. P

    Viwango vya mshahara

    Naomba kuuliza asilimia ya makato ya mfanyakazi serikalini na upandaji wa mshahara unakuwaje kila mwaka kwa upande wa walimu sekondari
Back
Top Bottom