Nikiangalia kwa aina ya viongozi tulio nao wakati huu, ni uwazi kuwa wengi hawajiamini katika kutekeleza majukumu yao, wamejawa na uoga mwingi tena wasio jiamini.
Na kwa kuwa sasa ni Tanzania ya Kijani sina mashaka kabisa kuwa ni mwana CCM tena atakae kuwa rais wetu ajae. shida inayo nijia...
Wadau, natamani sana kupata maarifa ya biashara ya butcher. Naombeni sana wenye maarifa na ujuzi nayo, kuanzia kwenye upatikanaji wa vibali na maarifa ya biashara kiujumla.
Je, ni mtaji wa kiasi gani mtu anaweza kuanza nao?
Wadau,
Mimi nawaza badala ya kuwa tunajadili fursa mbali mbali tu kiujumla. Kwanini tusiwe tunaonyesha mfano mtu yupo Mbeya au Kahama anatujajia bei ya mchele pande hizo? Mtu ambaye yupo Singida atupe bei ya mafuta ya alizeti, mtu wa Arusha labda bei ya maharage, alie sokoni Tandale au Buguruni...
Ni hapa tu tanzania utaona mpinzani anaongea hili leo kesho anaongea lingine. Safari ya vyama vya siasa bado ni kubwa, hata wale wenye maono ya kubadili mfumo wa siasa tulio nao wanamezwa na ushabiki na kuutafuta umaarufu. Upinzani wa tanzania bado hauna dira, hawana ajenda kwa wananchi.
Kwenye...
Kiongozi wa serikali ananituhumu hadharani kwa kosa linalohitaji ushahidi wa kitaalam, ushahidi wa kosa hilo unachunguzwa na chombo cha serikali, na tuhuma zinathibitika kitaalam kutoka serikalini.
Wana jamii hapa haki ya mtuhumiwa inapatikanaje ili chombo huru kichunguze? Je hapa hapaonekani...
Nasema naitamani chemba, tena chemba isiyo na vibaraka, chemba ninayo itaka ni ya wenzangu vindakindaki, chemba isiyo na watu waoga wanapigia makofi kila kitu mradi mkono uende kinywani, chemba ni nayo itaka ni chemba ya wafia chama, najua wapo wengi, chemba ninayo itaka isiwe na kikao cha...
Nilikuwa mbishi sana kuamini kauli za wanasiasa hasa wapiga kelele zisizo isha, kuwa polisi wanatumika vibaya. Ila jana kwenye maelekezo ya mheshimwa juu ya machinga na wanyonge wa nchi hii, amewataka viongozi hasa wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi kuto watumia vibaya polisi.
Sijui kama leo...
NIKIWA MKAZI WA ARUSHA AMBAE NIMEHUDHURIA MKUTANO WA WAZIRI MKUU LEO KWENYE VIWANJA VYA SHEIKH AMRI ABEID, NASIKITIKIA KITENDO CHA MBUNGE WA KUTEULIWA CATHERIN MAGIGE KUSHINDWA KUJENGA HOJA JUKWAANI NA KUISHIA KULIA MBELE YA WAZIRI MKUU.
MKUU WA MKOA NDUGU GAMBO ALIKUWA NA MAKUSUDI MAALUM YA...
Mwisho wake akachoka majuto anajutia
rumande imemshika, machozi ajililia
yale aliyoropoka, gereza kujitakia
hizi zama sio zile, ujifunze ukitoka.
Imepangwa januari, utoke uwahi bunge
utakuwa mhariri, wa vikundi na vilinge
tena utawakariri, na wengine wasipinge
huu wakati wakazi, wewe waota mchana?
Wanachi wametakiwa kuwa makini na kushiriki shuhuli za maendeleo na kuto kupoteza muda vijiweni , matokeo yake ni kujichonganisha na serikali na mwisho uta LEMWA.
KULEMWA NI KUBAYA SANA
Ukimuuliza mpinzani leo nini faida ya umoja wao wa UKAWA hata sita kukutajia moja ya faida ni kuongezeka kwa wabunge wa kuchaguliwa na wakuteuliwa.
Pamoja na ukweli huo hivi wabunge wa upinzani wanawajibika ipasavyo katika kuwaletea wananchi wao maendeleo? au bado wamejikita katika propaganda...
Nashukuru kwa fursa hii ya kuliweka wazo langu mbele yenu wana jamii forum.
tafakari yangu ya leo ni juu ya wanasiasa kujijengea umaarufu binafsi badala ya chama au taasisi anayo isimamia.
Wana siasa wa kiafrika wengi wao wanahuu ugonjwa wa kutaka sifa na kujenga hoja binafsi, kwa mtazamo...
Mwanzoni mwa utawala huu kuliibuka swala la kusimamia maadili ikiwamo vita dhidi ya wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
wakuu mbalimbali akiwemo mkuu wa kaya wa hapa dar es salaam alihusika sana kutoa vitisho na kulipanga jeshi la polisi la kanda maalum.
Sasa kumeibuka hoja ya...
Kwa jinsi mambo yanavyo kwenda kwa sasa, ni kama bunge limekuwa ni kupitisha tu matakwa ya serilikali, sijaona picha ya uwakilishi wa wananchi au kwa vile bunge sio live tena?
Ningetamani kusikia kila kilichojadiliwa na bunge letu tukufu ila sina tena wasaa huo maana hakuna chombo cha habari...
Tasnia ya habari ina wingu zito linalo zunguuka, kwa mtazamo wangu na hali yetu ya maisha ilivyo ngumu mtaani ni mjinga tu ndie atakae ikataa fursa ya kujikwamua kiuchumi.
Kwa muda sasa kumekuwa na tabia ya viongozi wa kisiasa kuteua waandishi mbalimbali kwenye nafasi za kiuteuzi kama ukuu wa...
Nilisha andika mahala kuwa CHADEMA ni chama kikubwa ila idara yake ya uenezi na propaganda ni dhaifu sana.
Ningekuwa mwana CHADEMA labda ningeshauri wasingeiacha tarehe 5 November ipite kama inavyopita.
CHADEMA ni chama cha mawazo ya pili , yaani mawazo shindani leo hii raisi ameitisha kikao...
Kama raia mwenye kuipenda nchi yangu, najisikia kutoa maoni yangu kwa chama kikuu cha pili Tazania bara baada ya CCM.
Nimesoma kuwa mwishoni mwa week iliyopita Kamati kuu ya CHADEMA ilikutana na moja ya ajenda zake ni kutathmin hali ya kisiasa ilivyo nchini.
Kwa mtazamo wangu kamati kuu ya...
Mnyonge mnyongeni, na haki yake mpeni; kwenye kumbukumbu ya mwalimu Nyerere nimeisikia moja ya hotuba zake kwa taifa akisisitiza aina ya kiongozi anae hitajika na taifa letu.
Mwalimu akagusia , tunahitaji kiongozi hata ukimwangalia usoni unamsoma kabisa kuwa huyu sio mpenda rushwa na ufisadi...
Vyombo vya habari vimejikita sana kwenye kumpima "Mheshimiwa" na utekelezaji wa ahadi zake kwa wananchi, si jambo baya kabisa maana lina tija kwa taifa. Maana rekodi inawekwa sawa
Hofu yangu ni uoga ulioanza kujitokeza kwenye kukosoa, nafuatilia makala mbalimbali juu ya utekezaji wa ahadi za...
Kwa mtazamo tu , alichokifanya 'Bwana Yule' ni kuongoza mapinduzi ya kiuongozi dhidi ya chama chake ila kosa kubwa alilofanya ni kutokuyafanya kisayansi.
Wenye historia ya viongozi kama Buyoya wa Burundi, obasanjo wa Nigeria wanaweza kufanya marejeo.
BWANA YULE, ilipaswa afanye ushawishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.