Search results

  1. D

    adhabu ya kifo tanzania

    habari ya zenu jamani,....ningependa kujua mtu wa kwanza kunyongwa kwa adhabu ya kifo tanzania ni nani ?na alifanya kosa gani naombeni mnisaidie kwa anayejua,thanks
  2. D

    Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    wadau hivi ile clip ya bhoke na ernest wa big brother naweza iangalia mtandao gani?...samahani wadau nataka kufurahisha macho tu pole kama nitamkwaza mtu
  3. D

    nisaidieni

    habari za saa hizi jamani,naombeni mnisaidie kuna mtu nabishana nae hapa,kati ya mwaka 2001 au 2002,simba ilicheza na timu moja kutoka misri,harafu mvua ikanyesha wakati simba inaongoza goli mbili,mechi ikaahirishwa,iliporudiwa simba ikashinda goli moja lakini ikatolewa kwenye mashindano.je...
  4. D

    Love in the mental hospital

    hahahahaha....thats really funny
  5. D

    jamani nisaidieni

    mke wangu akifanya kosa,.hapendi kuambiwa,nikimwambia ananuna wiki nzima,nikicheki simu zake nakuta msg za mamake akimpa pole na ushauri kana kwamba nimekosea kumwambia makosa yake,tena pasipo hata kuniuliza ili abalance story,naombeni ushauri jamani maana sina amani nyumbani kwangu mwenyewe...
  6. D

    Rostam awaparamia CHADEMA

    yaani nina hasira nae huyu jamaa,..acha tu,inabidi akifa tumchimbie bonge la shimo,isitokee bahati mbaya akafufuka.
Back
Top Bottom