Search results

  1. L

    Interview Tcra,TIAA vp?

    Wajameni kuna post zilitangazwa Tcra na mamlaka ya usimamizi wa viwanja vya ndege;kuna aliyeitwa kwa ajili ya usaili/kazi?
  2. L

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Wana member kuna tetesi kuwa R.A kaingia chumba cha habari,HABARI CORP na kutangaza kujivua nyadhifa zake;ubunge na ujumbe Ccm,kuna chanzo kimebainisha.nami naendelea kutafuta ukweli zaidi hasa kwa kuanzia bungen iwapo leo amehudhuria ama la? NB Tetesi ni mwanzo wa kuchimbua habari yenyewe.
  3. L

    Gazeti la 'udaku' Uingereza kufungwa

    Elewa,chapisho la mwisho la leo matangazo yake fedha itatolewa sadaka
  4. L

    CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

    Simba vp?
  5. L

    Soma hapa: Ujue kwamba nchi imepigwa bei

    We shall learn the techniques of how 2 run agriculture in 21 centrury only if we give hectors of land for nearly a century!shame.
  6. L

    Msibani tarime!

    Kuna siku mura mmoja alichelewa Jeshini alipoulizwa sababu alijibu "MAMA ROBI kanipa uchi wa moto" akimaanisha uji wa moto!
  7. L

    Hiki kipindi maalum toka bungen channel ten, kimelipiwa na lowasa nn?

    Marxis believes that media is, also, a means of maintaining the status quo.Those who have access/can control media are in a good position 2 articulate for/ defend their interest!usishangae.
  8. L

    Tigo Kuweni wastaarabu

    And more worse uki2ma sms,iende isiende lazma ukatwe.Alafu hiv lazma ukope amount waliokupangia?kama ukikopa kutokana na shida zako,kwnn usiweze kumpgia wa mtandao tofauti?huu mkopo?wizi?riba 10%? Watz tujitazame upya!
  9. L

    Kadi feki za CHADEMA zachapishwa na CCM kuwapa raia wazirudishe ktk mikutano yao

    Ni kweli.JF ni ukumbi wa uwazi lakini kuna mazingira yanayosabisha mtu kuwa anonymous kwa usalama wake.NDIYO MAANA MWANDISHI INABIDI WAKATI MWINGINE AFUNGWE KWA KUMLINDA SOURCE WAKE.
  10. L

    AL-Jazeera News TV Channel ya Kiswahili

    acha uvivu wa kufikiri wewe!hata maandamano wao ni habari.argue with no bias. 2 invest in tz or not ni suala la serikali na mwekezaji mwenyewe nt ccm,chadema etc
  11. L

    Mwanakijiji na Uislamu wa TAA/TANU mpaka CCM

    Hapa tz ukiona jambo linafuatiliwa ujue kuna msukumo wa ziada.Kwa mtu aliyesoma andiko la M/kijiji kuanzia kichwa cha habari hakuandika kama hitimisho!aliandika kwa mtindo wa swali huku akitoa sura ya vyama vyote viwili;chadema na ccm.lilikuwa ni jukumu la msomaji kusoma makala:kama mmojawapo wa...
  12. L

    Chadema Iringa Mei 19, 2011: Picha na Matukio

    Now we can conclude by saying, there ar no classes within a classles Chadema
  13. L

    Wabara wanapoitwa wageni ligi kuu Zenji

    NIPOKEENI, MGENI LICHA SINA KAMBA! (Juzi) majira ya saa 1:30 nimekaa kando ya redio yangu, nasikiliza Kipindi cha spoti cha Radio One Stereo, taarifa ya kispoti inatoka pemba kwamba, timu ya Miembeni inapania kuishtaki Mundu ZFA kwa kile inachokiamini kuwa imechezesha wageni wengi kuliko...
Back
Top Bottom