Search results

  1. C

    illegal agreement!

    NOTE. only agreement enforceable by law ndyo zinaweza kuleta legal action na kama ziliingiwa with free parties consent, kama mmoja alilaghaiwa au kulazimishwa ingawa ni illegal contract anaweza kuleta suit. kutoka kwenye scenarion yako court cannot entertain such case kama both parties walikuwa...
  2. C

    Kavunja ahadi ya uchumba sheria inasemaje?

    mngekuwa mnaishi kama mke na mume ingwa hamja oana kwa miezi mtatu sheria in presume nyie ni mke na mume kihalali, lakini sheria hiyo hiyo hailazimishi mtu kuwa na uhusiano na mtu, hivyo basi exception za section 69 za Marriage Act of 1971 zinakufaa. REJEA SHERIA ZA NDOA YA MWAKA 1971
  3. C

    Vijana DAR kuundamana kuunga mkono hotuba ya Kikwete

    jaman hv hawa KVT n akna nan?nmesikia kwenye radio kwamba kesho watafanya maandamano Da Es Salaam ya kuunga mkono hotuba ya Rais Kikwete na kupinga mambo yanayoendelea ya uvurugaji wa amani! Kwani amani ni utulivu wa kisiasa tu, jamani mtu anapo elimishwa haki zake na muenendo wa nchi yake ni...
  4. C

    Vijana DAR kuundamana kuunga mkono hotuba ya Kikwete

    jaman hv hawa KVT ni akina nani?nimesikia kwenye radio kwamba kesho watafanya maandamano jijini Da Es Salaam ya kuunga mkono hotuba ya Rais Kikwete na kupinga mambo yanayoendelea ya uvurugaji wa amani! Kwani amani ni utulivu wa kisiasa tu, jamani mtu anapo elimishwa haki zake na muenendo wa...
  5. C

    Kwa hili sheria inasemaje?

    from my knowledge, kuna power inayo mpa raisi uwezo wa kurevoke right yako ya occupancy over land for public interest kupitia delegation of power kwa minister, nadhani kujengwa kwa barabara ni for the public interest kama ilivyo kwenye Land Act R.E. 2002 ila kwa sababu eneo lile ulimiliki...
  6. C

    mfumo mpya wa kujaza fomu HESLB kwa new applicant na wanaoendelea

    Hilaw!bodi ya elimu ya juu imeanzisha utaratibu wa kujisajili online wale wanaomba mkopo kwa mara ya kwanza na wale wanaoendelea kutumia website ya olas.heslb.go.tz, pia kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na gazeti la mwananchi la tarehe 12 katika page 13, lakini kinachonishangaza katika...
  7. C

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu vp kuhusu right of privacy

    Hilaw!bodi ya elimu ya juu imeanzisha utaratibu wa kujisajili online kwa website ya olas.heslb.go.tz, pia kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na gazeti la mwananchi la tarehe 12 katika page 13, lakini kinachonishangaza katika masharti ya kutumia hakina term inayozungumzia juu ya issue of privacy...
Back
Top Bottom