Search results

  1. S

    Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

    Najaribu kufikiri sipati jibu. Mtoto au Si mtoto Wa Nyerere au nani kamuua nani. Arumeru Si Uwanja wake . Tuhuma za mtu aliyesababisha kifo cha baba yangu au ndugu yangu siwezi kuzimwaga jukwaani...
  2. S

    Rais Kikwete arejea ghafla ikulu ya Dar es salaam

    Habari Si za kweli JK alirudi jana saa 10 jioni kabla ya ajali na sisi humu tunatunga mno ....
  3. S

    Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

    Tusubiri uchunguzi na taarifa ya viongozi Wa CDM hizi ni tuhuma nzito
  4. S

    Membe: Gaddafi amefikia mwisho lakini hatuwatambui waasi!

    Kweli naona uzalendo Tanzania kwisha kabisa . Msimamo Wa serikali ulitamkwa na Bwana Membe Mimi naamini ni Msimamo thabiti kabisa hasa kwa Taifa letu lenye sifa katika utatuzi Wa migogoro. Hiwezi tambua serikali ya waasi ukikubali hilo basi kila Nguni atataka kutwaa nchi. Mpaka Leo Rajolina...
  5. S

    Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

    HUU mchezo Wa kukana watu kausema hata Marando mwenyewe Kama Shibuda sio Chadema nashindwa kuelewa basi CCM nao waseme Chenge sio CCM. Wana CDM kukubali makosa ndio mwanzo Wa kujirekebisha
  6. S

    Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

    Sometimes tuwe open tu Marando kabanwa na historia ukianzia Valambia na sasa EPA naona ulikuwa mwiba leo
  7. S

    Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

    Marando anateteleka Leo
  8. S

    Hili la Cleopa ni kama TUSI kwa Jakaya

    Unapo muombea shari mwenzio nawe halahala isikukute
  9. S

    Jairo apokewa kwa mbwembe wizarani, aelekea Ikulu na Ngeleja

    Nonsense let's talk development unajua kuwa mzabizabina ni aibu
  10. S

    Kazi ipo kweli, inamaana CAG na ripoti ya Jairo haaminiki?

    Unajua watanzania ni hatari sana CAG mzuri kama ripoti imetoa kile watakacho akitoa tofauti na walivyotaka basi CAG mbaya. Mimi nakubaliana kabisa na ripoti ya CAG . Sasa Jairo keshakuwa Newsmaker tumeisha sahau maendeleo na mijadala mingine
  11. S

    Zitto Kabwe aomba Bunge lisimamishe shughuli zote juu ya Jairo!

    Unajua Bunge sasa linataka kutupotezea mambo muhimu...hili suala la Jairo laweza chukua muda si kwa sababu Jairo katoa Rushwa au kachukua Rushwa ni kwa sababu wabunge wanamchukia amewaita the comedy na pia wengi wao aliwanyima nafasi ama fursa kadhaaa akiwa Ikulu. Nchi Hii haiwezi kwenda mbele...
  12. S

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    Ya Uingereza yametufundisha Acheni kuganga njaa. Maandamano sio suruhisho hata kidogo labda muwe mnataka kuonekana CNN au Ndugu zenu hawajawaona siku nyingi kwa vile hamjarudi. Nauliza watu wengi wanasema na schedule Hizi nani akaandamane???
  13. S

    Hivi wanachofanya wabunge wa CHADEMA ni haki kweli!?

    Let's focus the future taratibu watajifunza jinsi ya kuongea kwa mpangilio
  14. S

    Bunge lawaka moto: Lissu, Msigwa na Lema watolewa nje!

    Utaratibu kufuatwa ni moja ya nguzo ya ustaarabu
  15. S

    Wakuu waliokuwa wakivuma enzi hizo

    Idi Amin Amir JamalGibson SembuliHussein masha Twalib hilalWilly Isangula..
  16. S

    Kikwete ndiye Rais wa maendeleo Tanzania

    Ukweli haufichiki
  17. S

    Josephine Mshumbusi ajifungua

    Very good ametimiza malengo ya millennia uzazi salama tunasubiri Mzee Slaa utakapo tubu na kuhararisha ndoa. Itakuwa sherehe ya kitaifa ili mtoto asikue nje ya ndoa. Naamini Bwana Mushumbusi hata sumbua tena...
  18. S

    Rais kikwete tukueleweje?

    Sio kila kitu aongee Raisi. Wewe tamko gani unalitaka Kama sio uchimvi tu..wacha serikali ifanye kazi ...
  19. S

    Profesa Mwandosya na Dr. Mwakyembe hawapikiki

    Maendeleo kwanza urais baadae
  20. S

    BUNGENI: Wenje amlipua Membe; yeye atoa onyo kwa mabalozi!

    Hatuoni mlipuko hapa zaidi ya majungu ya mtoa hoja. Nimeskiliza wenje zaidi alikuwa anajijenga kisiasa pia aliyemwandikia hakumpa mpangilio vizuri. Membe did well in his speech. Ila shibuda mwisho Wa speech yake niliona Kama anawatwanga viongozi Wa CDM?? Baada ya hapo ilibidi niondoke niwahi...
Back
Top Bottom