Search results

  1. commonmwananchi

    Ukarabati 7.5B, Magogoni twende Kwa Facts! Mnaobisha Njooni Mnijibu

    Harufu ya "Mashaka" ni Kali, kuliko harufu ya "Ukweli!" Hoja kwamba Bilioni 8 za miaka ile na Bilioni 7.5 za sasa, thamani ni tofauti sana, sio kweli. Chukua exchange rate ya wakati ule na exchange rate ya sasa! Wataalamu wakichambua zile Bil 7.5 za ukarabati wa MV. Magogoni. Walisema hivi...
  2. commonmwananchi

    Watumishi wa TRA wakamatwa kutoa leseni za udereva na plate namba kinyume cha utaratibu

    Mungu ailaze Roho ya Mpendwa wetu JPM, mahali Pema Peponi. Mambo kama haya Aliyakomesha, ila sasa yamerudi kwa kasi ya kutisha! Kila siku, kila kona na idara nyingi. ======== JESHI la polisi mkoa wa Iringa linawashikilia wafanyakazi wa TRA, Upendo Msigwa mwenye umri wa miaka 32 mkazi wa...
  3. commonmwananchi

    Baadhi ya mambo yanafikirisha na kuchekesha!

    Kwamba jamaa yule akaenda ukimbizini Canada. Skawa akishindia Club House na Twitter. Muda umewadia anataka kurudi nyumbani Tanzania. Mara ooh...amekuwa makamu wa rais kampuni ya gari za anga! Huo mtaji wa kununua hisa za makampuni ya mfumo wa kina viwango vya Ellon Musk amepata wapi? Je...
  4. commonmwananchi

    USHAURI: Rais Samia anzisha uchunguzi pesa zilizofichwa nje ya nchi

    Mapesa mengi yametoroshwa na kufichwa nje ya nchi ya Tanzania kwa muda mrefu! Umefika wakati sasa serikali iache kuzunguka Mbuyu.badala ya hatua stahiki kuchukuliwa. Uchunguzi huo uanzie awamu ya tatu mpaka sasa! Matokeo hayo yatangazwe kupitia bunge kwa uwazi. Itakomesha huu upotoshaji...
  5. commonmwananchi

    Usajili wa line na vibao vya makazi havina tija kwa Wananchi

    Wezi wa mitandao wameishinda serikali! Vibao vya makazi vimeimarisha nini tangu kuwekwa kwa gharama ya zaidi ya B360? Tunashuhudia kila mwaka nchini, Serikali kupitia TCRA, tukielekezwa na kulazimishwa kusajili line za simu kwa watumiaji wapya, lakini pia kuhakiki kwa wale ambao walikwisha...
  6. commonmwananchi

    Lema, hii siyo kuomba Asali CCM kiaina?

    Godbless Lema, kwa tweet yako hii nimelazimika kuamini kwamba baada ya kugundua kwamba kuna maslahi yanakupita na huwezi kumhoji Mwenyekiti wako, na kwasababu unao uhitaji mkubwa wa mapene ni rasmi sasa umemuomba katibu mkuu wa CCM Ndugu na komredi Chongolo akukumbuke pindi utakapofika nchini...
  7. commonmwananchi

    Erythrocyte, kwanini hukuripoti Safari ya Lissu kurudi Ubelgiji?

    Ewe rafiki Erythrocyte .... Badala yake ukakimbilia kuripoti ziara ya Balozi wa Uswisi katika ofisi za JamiiForums ambako wewe hata hatujui uhusika wako huko, ingawa kwa tukio lile umetufumbua macho kuwa huenda na wewe ni Moderator wa huko. Lissu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, ni bosi wako...
  8. commonmwananchi

    Wapinga Magufuli Nendeni Kwa Mwamposa Ili Awapose!

    Maana kuna watu humu misongo ya mawazo inaelekea kuwaua! Hasira za kuukosa utamu wa posho za siasa kumewatoa kwenye Reli. Vyeti fake mlioko mitaani kwa wingi,inafikia mahali mko radhi kulala njaa,ila mnunue bundle ya elfu,ili kumtukana Buldozer ndio mpate usingizi Watumbuliwa ambao...
  9. commonmwananchi

    Amefariki Magufuli, amekuja Hichilema

    Hii ni kuonyesha kwamba, Mungu aneamua kuwaletea Waafrika, viongozi ambao wataliamsha bara hili. Na kuwafanya Waafrika wazitumie raslimali zao kwa manufaa ya nchi zao Msikilizeni Honorable President Hichilema, Zambia akiwapasha ukweli Mawaziri wake! Wale msio na bundle za kutosha,usi comment...
  10. commonmwananchi

    Hata Ridhiwan! Ameanza Kutembea Mstari Wa Magufuli. Muda Ni Shahidi Mkuu!

    Ni suala la muda tu, tunawaambia humu kila siku! Kwamba nchi hii, falsafa za Magufuli zilikuja kwa muda muafaka! Na style yake ya kutatua migogoro ya kijamii ilikuwa sahihi! Miaka miwili baada ya kifo chake, hata Msoga wameanza kutembea mulemule! Sintaandika sana ila sikilizeni na mtazame wenyewe!
  11. commonmwananchi

    Maisha Yetu Wakinabe! Wanamapinduzi Wameshika Mpini!

    Kila mpinga "Rushwa"anaitwa .... "Sankara Gangi" Tunalazimishwa na kuaminishwa... Sankara alikuwa Mbaya na Mwizi! Ili tu kumfurahisha aliyewekwa na waliomuondoa mpendwa wetu Sankara! Waliokuwa wafuasi wa Sankara,wanalazimishwa kumsifu aliyewekwa na team Compaore! Team Compaore wamejipanga...
  12. commonmwananchi

    Hili la MV Magogoni, Wacha tutunze kumbukumbu!

    Kama huku ndio kufungua nchi! Yaani Tozo mnazotoza wananchi, halafu mnakwenda kuzifisadi namna hii temesa Kivuko kijengwe kwa Billion 8 na baadae kukarabati bilioni 7.5? Halafu mnasema mama anaupiga mwingi! Muda utawadia ambapo tutarudi na hizi rekodi zoote,msipokuwepo wahusika,Chawa wenu...
  13. commonmwananchi

    Rais Samia kwanini huwakaripia Wananchi wenye kero binafsi ziarani? Ni kuwalinda Wasaidizi wake Au anapotoshwa?

    Ukishasoma,uisikilize hii clip pia,ndio utaelewa ninamaanisha nini? Imekuwa kawaida kwa Rais Samia,kukataa kuwasikiliza wananchi wenye kero zao,pale wanapofanikiwa kufika katika matukio ya Ziarani, sehemu mbalimbali nchini. Tofauti na mtangulizi wake hayati Magufuli. Ambae alikuwa akiwapokea...
  14. commonmwananchi

    Madai ya pesa kutoroshewa China, isije kuwa ndio mpango wa kuzipiga Unaandaliwa

    Nimejiuliza nje ya boksi... Ni nani kakamatwa mpaka leo hii? Au ni nani kawekwa pembeni ili kupisha uchunguzi? Haya ni mambo ya kijinai,halafu yanaundiwa tume.wqkati ni jukumu la TAKUKURU na TISS na INTEPOL? Na ajabu kabisa.ni pale Mtoa tuhuma,ndie alipaswa kuja na Maelezo ya watuhumiwa pamoja...
  15. commonmwananchi

    Kumsimanga Hayati Magufuli hakutaijenga CHADEMA kisiasa

    Ni kama vile, kadri machungu ya kukaa benchi kwenye siasa za nchi hii. Hususan nje ya bunge! Kunawatesa sana makada na wafuasi wa Chadema. Na Hasa wale ambao walikuwa hawana ajira au shughuli zingine za kuendeshea Maisha yao. Sasa kinachobakia ni kuamka asubuhi kuweka bando na kuanza kuandika...
  16. commonmwananchi

    Je, Lissu amerudi Ubelgiji kupewa maelekezo upya au kafuata pesa kwa Mabosi wake?

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu. Alirejea nchini kwa mbwembwe nyingi hivi karibuni na Chadema wakajitahidi kumpokea kwa mbwembwe zote. Huku akijinasibu kurudi nyumbani kuendelea na siasa zake kama ilivyokuwa hapo awali. Na kwamba yu mzima wa afya bukheri. Akaandaliwa mikutano ya...
  17. commonmwananchi

    Katiba Mpya Haikwepeki!

    Kwa kinachoendelea nchini sasa hivi! Kwa wizi na ufisadi uliotamalaki nchi hii! Kwa wimbi la Unafiki linaloikumba nchi hii! Kwa serikali iliyosinzia! Kwa Cartel's wanavyoiendesha Serikali! Kwa vifungu na sheria zilizopo kukiukwa hadharani! Kwa mawaziri kupigana vijembe na wabunge,huku...
  18. commonmwananchi

    Lissu: Kwa Sheria Za Ubelgiji, Ninatambulika Kama Mlemavu

    Hii ni kauli ya Lissu Antipasi Tundu! Akiongea na Clouds 360 television kule Tegeta, Jijini Dar es salaam nyumbani kwake. ..."Kwa sheria za Ubelgiji, mimi ninatambulika kama mlemavu, hivyo hata mambo mengi, ikiwemo nauli na vitu kadhaa, ninapata ahueni, kutokana na hali yangu"....Tundu Lissu...
  19. commonmwananchi

    Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

    Kwa taarifa za haraka, inasemekana Sabaya ameshambuliwa kwa kuchangiwa, shambulio hilo limetekelezwa na Askari wa magereza, Kisongo mjini Arusha, anakoshikiliwa kwa sasa. Hali yake ni mbaya, na mpaka sasa wanasubiriwa wanasheria wake kufika eneo la tukio, na anahitaji kupewa huduma ya dharula...
  20. commonmwananchi

    Si CCM wala upinzani wote wanatetea maslahi ya 2025. Wananchi wanajipigania kivyao

    Wananchi v/s Tozo! Wanasiasa v/s Magufuli! Ukiangalia hali halisi iliyoko mtaani nchini nzima,na ukalinganisha na wanachokiongea wanasiasa waandamizi kwa Pande zote za kisiasa nchini. Ni wazi kabisa kwamba wote wanaangalia zaidi Uchaguzi mkuu 2025. Kuliko masahibu yanayowasibu wananchi kwa...
Back
Top Bottom