Search results

  1. Meja M

    Naomba kujua nini kinasababisha gari kutumia sana oil

    Habari za wakati huu wakuu! Naomba kujua nini kinasababisha gari kutumia sana oil mfano kwa wiki tatu unaweza kuongeza oil mara moja na hakuna leakage yoyote. Na nini kifanyike ili kuzuia tatizo hili?
  2. Meja M

    Naomba ufafanuzi kuhusu hiliu joto la engine ya gari

    Wataalam habari za wakati huu! Poleni na majuku yenu ya kila siku. Naomba kujuzwa je ni sahihi joto la engine ya gari kuwa 108 degree centigrade then linashuka hadi 106 hapo nikiwa naendesha sasa naombeni kujua kama hili joto ni kawaida au kuna shida mahala. ASANTE
  3. Meja M

    Gereji gani nzuri mbeya kwa service ya magari ya Ulaya

    Wakuu hanarini za asubuhi, natumai mmeamka salama. Naomba kujuzwa nahitaji kufanya service ya kawaida kwa gari ya ulaya, gereji gani nzuri Mbeya yenye utaalam wa gari hizi? Asanteni.
  4. Meja M

    Naomba kuujua BMW 3 Series ya mwaka 2005 yenye 1950cc inatembea kilomita ngapi kwa lita moja ya mafuta?

    Wakuu habarini za wakati huu! Naomba kuujua BMW 3 Series ya mwaka 2005 yenye 1950cc inatembea kilomita ngapi kwa lita moja ya mafuta? Asanteni.
  5. Meja M

    BMW 3 Series vs Crown Athlete

    Habarini za wakati huu wakuu.. Poleni na Hongereni kwa majukumu mnayotekeleza. Kama hapo topic inavyoejieleza ni gari ipi nzuri na imara ya kumshauri mtu kununua kati ya BMW 3 SERIES na CROWN ATHLETE. ASANTENI
  6. Meja M

    Utalii visiwani Comoro

    Wakuu habarini za wakati huu! Naomba kueleweshwa yafuatayo kuhusu Visiwa Vya Comoro ili nijipange kutalii huko; 1. Usafiri wa kufika huko na gharama zake 2. Gharama za maisha huko 3. Ukarimu wa wacomoro 4. Lugha zinazotumika huko NATANGULIZA SHUKRANI
  7. Meja M

    Karibu Januari

    KWA WAPENDWA WAOMBAJI, WATUMISHI, NA MARAFIKI ZANGU Kuna Msemo Ambao umekuwa ukitumika sana Kipindi hiki tunachokiendea kuwa Januari ni Ngumu. Mimi kwa Kutafakari na Kujiandaa Kuupokea Mwaka 2020 Mungu amenipa Kuuona Mwezi Januari katika Sifa Zifuatazo na Ninaomba Nizilete Kwako SIFA ZA...
  8. Meja M

    Sample ya form ya usajili wa mchezaji wa mpira wa miguu

    Wakuu poleni na mihangaiko ya siku nzima..!! Msaada kwa aliye na sample ya form ya usajili wa mchezaji wa mpira wa miguu, naomba anisaidie..!! ASANTENI !! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Meja M

    HILI NALO NENO KWA WANAUME.

    Ukiona Umefika Umri Ambao Ukiona Unapata Pesa, Huwazi Kununua Jeans Wala T - shirt . Tambua Kua Upo Kwenye Kundi La WANAUME sio WAVULANA.
  10. Meja M

    Hili tukio la ajabu sana kulishuhudia

    Habarini za mida hii wakuu..!! Natanguliza pole kwa mihangaiko ya siku nzima ili mradi tu mkono uende kinywani..!! Ilikuwa mwaka 1999 nikiwa shule ya msingi likizo ilinibidi nikamtembelee bibi na babu kizaa mama angu huko kijiji cha Nyakagomba Butundwe wilayani Geita, katika kijiji hiki watu...
  11. Meja M

    Nawashauri tu wasichana na wanawake

    Naomba tu msome na mtafakari hii kitu..nadhani wapo wangu saba wananisubili...
  12. Meja M

    Wanaume wangapi mmeelewa hii??

    Haya twende kazii...tujue wangapi mmeelewa
  13. Meja M

    Wanaume, kama mnaweza badilikeni kwenye utoaji hela

    Ukimtumia mama yako shilingi elfu kumi atakwambia,"mwanangu Mungu akubariki sana akuzidishie hapo ulipotoa pajae tena" Wale wengine sasa ukimtumia shilingi elfu ishirini kinachofata ni kukwambia.,"mbona hujatuma ya kutolea sasa unadhani ni mi naitoa wapi?" Muda mwingine laana na mikosi...
  14. Meja M

    Nenda tu Aprili, tunashukuru

    1: Tumeshuhudia kigo cha pambo la video Masogange, watu wakazimia huku wameshika vitambaa dah bongo muvi hii..nenda tu april 2: Tumebahatika kuona waliozalishwa wakatelekezwa wamejaa kwa mjomba ila hatujui wamepotelea wapi...april tutakukumbuka 3: Yakatangazwa maandamano,kikatangazwa kipigo...
  15. Meja M

    Tuambiane jamani...

    Kwa hizi mvua zinazoendelea kunyesha tusijekuta wenzetu wapo ndani ya safina..!! Tuambiane jamani ili tujue mapema! Asanteni!!
  16. Meja M

    Je ulilijua hili? Neno refu zaidi kwenye kamusi ya kiingereza

    Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis ndio neno refu kuliko yote katika kamusi ya kiingereza likiwa na herufi arobaini na tano. Maana ya neno hilo ni ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na kuvuta hewa ilio na chembechembe za silicon kutoka katika mlipuko wa volkano.
  17. Meja M

    Umeachwa na mtu unaempenda? Hii inakuhusu

    Ipo siku utakuja kukutana na mtu ambae atakufanya usahau maumivu yote ya mapenzi ambayo umepata kukumbana nayo. Ambae atakufanya uwe na furaha Ambae atakuja na kukupenda pasi na kikomo licha ya hali ulionayo. Utakuja kumpata ambae atajivunia kuwa na wewe na kuwa tayari katika mahusiano na wewe...
  18. Meja M

    Mambo ya kujifunza mwezi Januari

    MAMBO KUMI(10 ) NINAYOJIFUNZA JANUARY 1. Kumbe waweza shinda njaa bila kufa. 2.Kumbe waweza beba chakula na kwenda nacho kazini. 3. Bila boda, Bila bajaj unaweza tembea na kufika Kazini. 4. Tafadhali nipigie ni huduma ya msingi 5.Nyama ni mbaya kwa Afya yako. 6. Jiko la mkaa linapika...
  19. Meja M

    Nenda tu 2016, tunashukuru

    2016 NENDA BABA TUNASHUKURU KWA YOTE. 1.yametumbuliwa majipu mpaka chunusi nenda baba. 2.umefanya kabeji iwe nyingi kuliko nyama siku ya Christmas nenda baba 3.umefanya tujue kulikuwa faru john na faru hadija yatosha baba 4.ajira imezidi kuota mbawa,baba wasalimie mwambie 2017 akija anisajili...
  20. Meja M

    APP IPI NI NZURI KWA KUEDIT VIDEO KWENYE SIMU??

    Msaada jaman kwa anayejua hyo kitu
Back
Top Bottom