Search results

  1. L

    Star times solar 5 ukiwasha inaonyesha logo tu

    Wadau msaada wenu please
  2. L

    Tatizo lolote la PC/device

    Printer yangu ya HP haisomi kwenye computer yangu inayotumia window xp Sent using Jamii Forums mobile app
  3. L

    Mduka ya PC bei nafuu Mwanza!!!

    Jaman wanajanvi kwa anaye fahamu Maduka ya PC mpya kwa bei nafuu jijini mwanza msaada tafadhari Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    Rais wa wanafunzi chuo cha St Joseph kufukuzwa chuo kwa kusema ukweli wizarani

    Mbona hao wahindi waliwezwa na midume huko st Joseph arusha
  5. L

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man utd wanaviungo mafundi hatarii lakin cha kushungaza timu inapambana kuingia top 4 badala ya ubingwa, wachambuzi Wa soka tuisaidie utd tafadhari
  6. L

    Kwa hili la Halima Mdee kumtusi Spika, tunakoelekea ni kubaya zaidi

    Pamoja na mapungufu yote ya mwanadada huyu nguli Wa sheria bado hajawahi kutukanwa ndani ya bunge , mwanadada huyu aliandamwa sana na baadhi ya wabunge kuwa alikuwa anabinya kanuni, ilifikia kipindi hadi baadhi ya wabunge wakammiss spika wa bunge mhe ndugai lakin kilichotokea Jana nashindwa...
  7. L

    Kwa ujinga huu ni ndoto Tanzania kuwa 'Super Power' kwenye ukanda wa EAC

    Watamipigia huyo mmoja, anayebaki ambaye hawamtak wanapiga hapana
  8. L

    Msaada kuhusu hili tatizo la WhatsApp

    Ni change nn maana Nimejaribu Ku reinstallation bado inazingua
  9. L

    Msaada kuhusu hili tatizo la WhatsApp

    Jaman kuna simu yangu inaonyesha hayo maneno nikitaka kuinstall WhatsApp apps, so hata ukibahatika kuinstall bado kupitia WiFi bado kusend text inasumbua. Msaaada tafadhari
  10. L

    Bunge la mwezi April

    Great thinkers tutegemee nn kwenye bunge litakaloanza hiv karibuni? Je hoja za msingi zitawekwa mezani tayari kwa kujadiliwa au Dada yule atachukua mbeleko yake tena? Je ikitokea Dada yule akachukua mbeleko tena kwa haya yanayotokea nini kifanyike sisi kama wanainchi?
  11. L

    Joseph Kasheku (Musukuma): Kitambulisho cha askari yeyote ni bastola

    Akihojiwa na Ayo tv Jana, Msukuma alidai kwa walichokifanya watu wanaodaiwa ni askari kumuonyesha bastola mhe Nape ni sahihi kwani kitambulisho cha askari yeyote ni bastola au bunduki hivyo Nape hakupaswa kuwa na shaka maana walikuwa wanamlinda. Msukuma alienda mbali zaidi na kusema hata yeye...
  12. L

    GPA za chuo zinapatikana vipi

    Sahihi kabisa, acha huyo bashite alitaka kutufanya wote tumeishia form four or six
  13. L

    Tuwalinganishe Katibu Mkuu CCM na wa CHADEMA

    Messi(kinana) vs msuva( mashinji), acha huo upuuzi
  14. L

    Application NACTE kwa form four 2016 inakubalika?

    Jaman kwa anayefahamu kama wahatimu wa form iv 2016 wameanza kuapply koz za afya na ualimu kupitia nacte, msaada tafadhari
  15. L

    Kwanini viongozi na wafuasi wa CHADEMA wanashindwa kukiri kuwa wamepoteza Kata ya Tanga Songea?

    Lizaboni hawa ukawa walishakupa nn maana duu, Raha yako nikuona ukawa hasa chadema wakitabika
  16. L

    ANAYEHITAJI MWALIMU WA CHEMISTRY & BIOLOGY

    Degree holder, nataka kufundisha A - level au O- level kama kunaulazima
Back
Top Bottom