Search results

  1. digger2002tz

    Usikonde makalio

    mmh makubwa hayo!
  2. digger2002tz

    Nina wakati mgumu; kisa kibuti....

    pole kaka,naona kila mtu anakukaripia utadhani kila mtu humu ndani ni msafi,usimnyooshe kidole mwenzako hali vingine vinakugeukia wewe... cha muhimu ni wewe kama sio mtu wa ibada sasa ni wakati wako wa kumrudia Muumba wako,nenda msikitini au kanisani fanya maombi definately utamsahau huyo hawara...
  3. digger2002tz

    Nipo bize sana....why inaudhi....??????

    uwongo sio mzuri na ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu, bora useme ukweli na uapologize kwa polite language..
  4. digger2002tz

    Kuwa makini sana unapomshauri mtu mambo ya mapenzi

    angalia wa kumuomba ushauri,mtu mwenye matatizo ya kimapenzi au asiye na mpenzi sio mtu wa kumwomba ushauri otherwise awe ni mtu mwenye busara zake...moyo wa mtu unaficha mengi na siyo kila rafiki unayemwona anakupenda akawa anakupenda kweli au kukutakia mafanikio katika maisha yako ya kimapenzi..
  5. digger2002tz

    Kikombe kingine chaibuka Mbarali kwa 20,000/-

    kila mtu anatafuta pa kupunguzia makali ya maisha.....
  6. digger2002tz

    Sylvester Rwegasira wa TRAWU hatunae tena

    Inna lillah waina illaiya rajiuun...yeye ametangulia na sisi tutafuatia,dunia ni mapito jamani tuishi vyema jamani na tuijenge dunia kama tutaishi milele au tujiandae kwa maisha ya akhera kama vile tutakufa kesho...... ni hayo tu!
  7. digger2002tz

    Matangazo ya zain

    tangazo jipya la zain kuwaita wateja wa kigari kidogowahamie kwenye gari kubwa lao yani wateja watoke tigo waende zain,sasa wajipange vizuri kwa kuwa wameshachelewa...
  8. digger2002tz

    Dr. Mwandulame Amchana Babu wa Loliondo

    kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake alofungiwa....
  9. digger2002tz

    Dr. Justine Katunzi wa UDSM Afariki Dunia

    Dr.Justine Katunzi wa UDBS,siku ya tukio(alhamisi) marehemu alikuwa anafundisha darasani (MBA 2year) bahati nzuri alikuwa amekaa ndio akadondoka baada ya kuishiwa nguvu,inasemekana ni presha na vitu kama hivyo.kwa hiyo alifariki wakati wanampakiza kwenye gari ili kumkimbiza hospitali.Mwenyezi...
  10. digger2002tz

    hellow jf...

    glad to meet u guys...nashukuru kwa kuniingiza kundini..tutakuwa pamoja forever,thanx
  11. digger2002tz

    Ohhhh! La aziz, hamna kama wewe katika ulimwengu huu, nakupenda sana.

    ....mapenzi ya kwenye tamthilia hayo:tongue:....
Back
Top Bottom