Search results

  1. OPTIMISTIC

    Niulize kuhusu mashine za ujasiriamali na upatikanaji wake

    Nahitaji mashini za kutengenenea furniture kama kuranda mbao, kukata, kutengeneza urembo aina tofauti etc. Nahitaji kwa ajili ya matumizi yangu kwa order za wateja tu.
  2. OPTIMISTIC

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    GOD LOVES YOU
  3. OPTIMISTIC

    Hujuma chafu hizi chafu traffic Barabarani

    Tunahitaji mtu wa kulisemea hili. Uzuri lina affect kundi kubwa la watanzania. Nasikitika sana kuona polisi wakijitengenezea mapato yasiyo rasmi kwa utapeli kabisa. Barabara ya Nzega to Kahama ndio worse
  4. OPTIMISTIC

    Hujuma chafu hizi chafu traffic Barabarani

    Kweli inaudhi sana na ni wizi. Jamani hatuna jinsi tunaweza kupata msaada wa kisheria hata ikiwezekana tukatafuta namna ya kuchangishana. Pia hata bungeni wawakilishi wetu watusaidie jamani.
  5. OPTIMISTIC

    Msaada wa matengenezo ya Macbook Pro na Iphone5

    Ahsante sana kwa wazo zuri. Hebu nijaribu
  6. OPTIMISTIC

    Msaada wa matengenezo ya Macbook Pro na Iphone5

    Nimetumia iphone na macbook kwa muda mrefu sana na najua unamaana gani. Hii ni simu ameitumia dada yangu tokea ikiwa mpya kwa miaka kama 3. Mimi ni mtu mzima na mfanyakazi kwa zaidi ya miaka zaidi ya 15 sijawahi na sitawahi kutumia mali ya wizi
  7. OPTIMISTIC

    Msaada wa matengenezo ya Macbook Pro na Iphone5

    Nawezaje kurudisha osx ya mwanzo. Kama kuna hatua za kufuata naomba nielekeze tafadhari
  8. OPTIMISTIC

    Msaada wa matengenezo ya Macbook Pro na Iphone5

    Nashukuru kwa ushauri. Ni mawazo yako
  9. OPTIMISTIC

    Msaada wa matengenezo ya Macbook Pro na Iphone5

    Salaam sana wapendwa, Niliupgrade program ya macbook ili nipate version mpya, niliporestart computer ina request password kisha ina load program lakini haifiki mwisho. Niliiacha siku nzima bila mafanikio. Pia nina iphone5 ambayo ilikuwa inatumika vizuri tu, bahati mbaya aliyekuwa anaitumia...
  10. OPTIMISTIC

    We got your back Paul, we the good citizens of Dar es Salaam

    Nafikiri, unachokisema ni kweli. Inaonekana group linalompinga lina nguvu nyingi sana na hasira kwa kitu ambacho ni cha kawaida. Kama professional certificate yake ingekuwa fake hata mimi ningejiuliza maswali lakini cheti cha IV kwa NEC Tanzania ni kitu cha kawaida wala sina tatizo na hilo...
  11. OPTIMISTIC

    Urgent need of Office 2010 software

    Naomba ni tumie sms kwa no.0787606689 tuongee tafadhali.
  12. OPTIMISTIC

    Urgent need of Office 2010 software

    Salaam sana, Nimeinstall office software 2010 kwenye computer yangu, sasa inahitaji activation keys. Naomba msaada wa yeyote mwenye key. Nahitaji mbili pamoja na mwenzangu ofisini. Ninashukuru sana, Godfrey
  13. OPTIMISTIC

    Bunge linalinda maslahi ya nani kwenye sakata hili la dawa za kulevya?

    Na mimi pia nimeliona hilo, sioni Makonda alichokikosea zaidi ya wabunge kutaka kumkatisha tamaa. Ningemuomba Rais pia aendelee kumpa support ili vita hii ambayo Makonda ameianzisha isiishie njiani
  14. OPTIMISTIC

    Kuendesha Gari Barabara Kuu Sasa ni Kero: Alama za 50km/hr Zinapaswa Kupitiwa Upya

    Mimi inanisikitisha sana na kunikatisha tamaa, nahisi ni mpango pia wa kukusanya mapato na kuwatengenezea rushwa polisi. Kuna maeneo mengine unaonyeshwa picha tu sasa mimi nina uhakika gani kwamba eneo hilo lina speed limit ya 50? kama sio unyanyasaji. Na pia nashauri tu wananchi wanaoishi...
  15. OPTIMISTIC

    Taja kitu kinachokukera kwenye serikali ya awamu ya tano

    Kero ya mitochi (radal detector) na unalipa faini unapewa notification paper au receipt ya karatasi
  16. OPTIMISTIC

    Msaada: Kaka yangu anaombwa rushwa ili kusainiwa cheki ya mafao yake NSSF

    Hio forum emeviwa na vitoo, hakuna msaada siku hizi. NSSF malipo yao no madogo sana. Hebu weka maelezo zaidi achana na vinuka mikojo
  17. OPTIMISTIC

    Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT

    Mimi sioni mantiki ya kuhoji sana. Suala hili kwa pamoja serikali iliamua pesa zote za sarikali zihifadhiwe BOT. Ninaamini ina faida na hasara zake, ila tungesubili tuone kusudi halisi lilikuwa ni nini na tulipatia wapi na turekebishe wapi. Kitendo cha kwenda against ya mliyoyaamua ni usaliti...
  18. OPTIMISTIC

    Nifanyeje kumwepusha mwanangu kupatiwa Chanjo?

    Ushauri wangu, Mpeleke mtoto apate chanjo, kuna magonjwa ambayo yanaweza kumshabulia mtoto akiwa ndogo hata baadae atakapo kuwa mkubwa, na yanaweza kusababisha kifo au ulemavu. Kwa mfano: Ugonjwa wa kuharisha, kifua kikuu, surua, polio. Ni magonjwa hatari sana kaka.
  19. OPTIMISTIC

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mbona Mheshimiwa Rais, anania njema kabisa na muelekeo wa nchi unaonekana wazi. Sema kuongoza ni kazi kubwa
Back
Top Bottom