Search results

  1. FighterOne

    Msaada, mtoto wangu hatembei

    Nenda kwa Dr wa watoto ukiona hajaeleweka geukia uafrika uwaulize wabibi wanajua zaidi. Experience!
  2. FighterOne

    Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

    Huyo mwanamke ni mchawi
  3. FighterOne

    Tukio hili linadhihirisha kuwa Vyombo vya Usalama kitengo cha Intelejensia ni mfu/hakina weledi

    Hii analysis ungeifanya kabla ya 26/04 ila kwa kuwa na wewe ni post-event unataka na vyombo vya dola visubiri tukio ndo vifanye kazi yake . kwa uandishi wako unaonesha na wewe ni mtanzania wa type gan
  4. FighterOne

    Ushauri: Mpenzi wangu amebadilika

    Usimulaumu maana secondary alikuwa anabanwa sana na sasa chuo ndo mwaka wa kwanza muache ale ujana kwa radha tofauti
  5. FighterOne

    Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

    Niliwahi kuwa na mpenzi wa hivyo alinipenda sana kama nlivyompenda ila ktk sex ningemaliza hata mwezi sina hamu nae na hata yeye angemaliza muda mrefu bila kufeel maana alikuwa mkavu na maumivu wakati wa ku-do. Sijui kwa sasa maana tuliachana.
  6. FighterOne

    Nimeamua kumfukuza mke wa Askari baada ya kutaka tufanye mapenzi

    Mwenye akili hawezi kuandika upumbavu wa hivi
  7. FighterOne

    Kwa wale wafwatiliaji wa mieleka (wrestling) hivi yale mapigano ni ya kweli au maigizo

    Ile ni live na kuna wachezaji wengi walishafia ulingoni. Maswali mengine mtu kama una smartphone na akili timamu huwezi ulizia
  8. FighterOne

    Maoni ya Ezekiel Kamwaga kuhusu AG mpya

    Anataja CV na haiweki wazi kusifia sifia halafu mwishoni anaweka wazi kwamba hajapenda AG atokee kanda ya ziwa[emoji16][emoji16][emoji16]. Kuwa muwazi acha unafiki we mwandishi
  9. FighterOne

    Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Kuna haja jamiiforum waanzishe utaratibu wa kumblock mtu kama ilivyo mitandao mingine ya kijamii maana kuna watu wanakera mpka basi
  10. FighterOne

    Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    Mbona mnahangaika na huyo mwendawazimu alieingia Forex kichwa kichwa kwa hela ya kukopa akafanya gambling akablow akaunti kwa sasa amejaa hasira tu. Don't give him any more attention maana Forex anaifahamu ila imemshinda. Masikini wengi wana roho mbaya
  11. FighterOne

    Nchi 76 wanazoruhusiwa watanzania kutembelea bila ya viza

    Nchi zipi nje ya East Africa unaenda bila passport??
  12. FighterOne

    Nimetongoza mabinti wengi sana lakini walinikataa

    Jaribu kutafuta wanawake wa level za chini mfano hao wanachuo jifanye kama siyo level zako nenda mtaani karibu na chuo tafuta mwanamke najua utakubaliwa tu. Then ukishawazoea wale wa level za chini badae utapata ujuzi na confidence za kuwapata hao wanachuo otherwise lazma wakupige chini tu
  13. FighterOne

    Nguvu ya Biashara ya Forex, Ujasusi na yaliyo nyuma ya pazia

    We jamaa ni mnafiki sijawahi kuona hapa duniani. Yani kinachokuuma ni watu kuwashawishi wenzao kupata ujuzi mbadala katika kutafuta mafanikio!!! Mtanzania halisi wewe
  14. FighterOne

    Tetesi: Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akamatwa na TAKUKURU

    Hiyo ni kesi kama Zingine na itaishia hapo hapo mahakaman bila jela wala fine
  15. FighterOne

    Msaada: Nime 'fall in love' na shemeji, dada wa mke wangu

    Nenda ufanye ibada ujutie na utubu kila kitu kitakuwa poa. Control your emotions
  16. FighterOne

    Mzunguko wa mke wangu bado unanitesa

    Mara ya mwisho kuziona ilikuwa October hadi alipoziona tena December, vipi November nayo aliziona theoretically???
  17. FighterOne

    Nimepanga kutomgusa mke wangu kimwili

    Weka picha yake plz
  18. FighterOne

    Danguro la Kaumba Morogoro limeua wengi

    Kaumba ndo nini sasa?? Kwan hao vijana wote unadhan hawana akili?? Mtu anauza k yake na watu wako tayari kununua we unajifanya kuuumiaaa...
Back
Top Bottom