Search results

  1. mangosongoo

    Natafuta roommate nchi Marekani

    I can see how maisha ya nje yalivyonaupweke ,
  2. mangosongoo

    Je, umewahi kubadili mtazamo juu ya kitu fulani ambapo hapo awali uliuamini sana? Kwanini?

    Mim zaman Nilikuwa naaamini Kama mungu yupo lakin Nilikuwa siamini Kama mungu anajibu maombi sababu mim at that time sikuona majibu kutoka kwa mungu japo Nilikuwa nasali mno like hell dah baaada ya kipind kirefu nimekuja kuamini Kama mungu yupo anajibu maombi mwaka huu I can make 60$per hour...
  3. mangosongoo

    Nishaurini usiku huu kuhusu huyu binti kabla hakujakucha

    Go for her!simama na maamuzi yako !Sio maamuz ya watu wengine wakushauri
  4. mangosongoo

    Naumia sana ninaposhindwa kuwa msaada kwa wazazi wangu

    usikate tamaa !kwa hicho kidogo ulichonacho wasaidie iko iko na mungu atafungua njia.mlilie mungu usiku wa manane afungue njia zako ,zile ibada za satisa na sanane muombe kwa dini yako mungu atafanya njia .
  5. mangosongoo

    Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

    kusaidia watoto yatima najisikia furaha ssna ,sitaacha kufanya hivi kamwe hata kwa kidogo nilichobarikiwa
  6. mangosongoo

    Kipi hautaweza kufanya katika ulimwengu wa mapenzi?

    ku date na mwafrica tena pooh!
  7. mangosongoo

    Nahisi kama napoteza mahusiano na mzazi

    wazaz ndio mungu wa pili hapa duniani ,kuna mahala unakosea jitafakari,labda nimambo ya kiroho yapo hapo katikati sometimes bhana kuna watu wanamazabau nyie ndizo zinaharibu kila kitu.
  8. mangosongoo

    TRA: Taarifa kuhusu Mabadiliko ya Viwango vya Kodi ya Majengo inayotozwa kupitia ununuaji wa umeme

    kaz iendeleee !tuko kutimiza wajibu wanchi tutalipa mpka akili itukae sawa
  9. mangosongoo

    Hivi ni kweli waliozaa pamoja hawaachani hata wasipooana?

    umekutana na mabinti wasio stable na wasiojielewa.ndo wanafanya hivyo.
  10. mangosongoo

    Hivi ni kweli waliozaa pamoja hawaachani hata wasipooana?

    wanaachana kama utakuta mwanamke ameamua ku move on.huwa hawarudi nyuma afu ulimtendea ovyo ukamtelekeza akaja kuwa financial stable uyo akikuacha ageuki.na majina ya watoto anabadilisha
  11. mangosongoo

    Janga gani lilikukuta baada ya kuexpose mafanikio yako public?

    mim haijawai nitokea ,sema kuna jambo nimeongea kwa mtu ambalo linatakiwa kutokea mwisho wa mwaka sijui litatimia au ndo gundu za kuwaambia watu zita take over
  12. mangosongoo

    Mwanamke Akiwa Mjamzito Mambo na Mipango yote Huvurugika!

    kwakweli hakuna kitu sikizuri kama sis wanaume kushirikisha mambo ya mke nje ili upate mawazo
  13. mangosongoo

    Kwa mara ya kwanza dola imefika Tsh 2500 je uchumi ndio unapaa?

    hamna dola kweli juz nilizunguka mpka nkakoma labda utapata tu dola 1000 ndowanakupatia .nikaja kuipata city bank
  14. mangosongoo

    Ni tabia gani ya ovyo huonesha pindi unapokuwa na pesa

    mim nikipata hela nakitabia chakutotaka kuongea na watu nawala kupokea simu yeyote lakin napambana nikiache asee
  15. mangosongoo

    Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

    huyo bado ujampenda wewe!mtu uliyempenda kutoka motoni huwez kuona aibu upendo unaficha aibu!!
  16. mangosongoo

    Mwili wangu na akili yangu vimechoka sana, sasa nakaribia kukata tamaa

    unamsongo wa mawazo mwingi ndio unakusababishia hivyoo,kaa tulia relax na umuombe mungu
  17. mangosongoo

    Bibi yangu alikuwa hanipendi nilivyokuwa mdogo, sasa hivi haishi kunipigia simu

    kuna watu wanatenda maovu kwa watu lakin wanasahau kesho yao ikoje !kuna la kujifunza
  18. mangosongoo

    Mwanamke wa kweli nimegundua ndiyo huyu hapa

    wew je unaheshima?je mkuyunge wako niwakutosheleza usikute ni kidogo kama pilipili afu unachagua chagua
  19. mangosongoo

    Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

    mim lazima kuudhuzuria kesho ili safari yangu ikamilike vile ninavyotaka!kama tumepata pumz za kumtafuta mungu kwann tusimtafute
Back
Top Bottom