Search results

  1. Josaje Mtui

    Natafuta mwanamke wa kushare naye Romatic Hitsongs za 1990's

    Nahitaji mwanamke anaejua nyimbo za Romantic za miaka ya 1990's kuanzia za Boyz ll Men,Mariah Carey,JoDeS,KCi &Jojo,90', Ncyinc, Saveg garden,n.k.awe anazijua lyrics zake kwa sana ili tuweze kuzisikiliza kwa pamoja na kukumbuka yale yote yaliyokua yakiendelea enzi hizo kuanzia kwenye media...
  2. Josaje Mtui

    Baracoa

    Watanzania wenzangu tuendelee kujikinga na Covid -19 kwa kupiga nyungu ili kujiwekea kinga mwilini dhidi ya maambukizi haya yanayoitikisa Dunia yetu ktk kila nyanja.tusingoje kuletewa dawa ili halu na sisi tunazo njia mbadala za kuweza kujikinga ..nyungu ngungu na dawa zetu zote za asili...
  3. Josaje Mtui

    Demu wangu wa zamani kanigeuza lapu lapu

    Nilikua na demu mmoja hivi tuliingia kwenye mahusiano ya kimapenzi tukiwa secondary miaka ile ya 98 na kwa kweli tulikoleana ila baada ya kumaliza shule yeye alienda kusoma kenya na kwa muda mrefu hatukuwahi kuwasiliana.pindi aliporudi masomoni alirudi na mtoto na nilipojua alijaribu kunikwepa...
  4. Josaje Mtui

    Taarifa ya habari ya kwenye "TV" na "Radio"

    Kwa kipindi kirefu hua najiulizaga bila kupata jibu sahihi ya namna ambavyo usomwagi wa taarifa za habari kwenye tv..hua zinarekudiwa kwanza na kueditwa kabla hatujarushiwa sisi watazamaji au zinakuaga ni matangazo ya moja kwa moja kama ilivyo kwenye radiio.! Na kama ni matangazo moja kwa moja...
  5. Josaje Mtui

    Msemo wa "Tako Mbili" kwenye mapenzi

    Kuna huu msemo ninaokutana nao humu kwenye mada ya mahusiano kujamiiana na kungonoano wa kupiga tako mbili.hivi hiyo tako mbili inapigwaje jamani kwa wale wajuzi wa hizo tako mbili..kuna mwingine ulienda mbali zaidi kwa kusema "kupiga Abiola".. Karibuni wakuu kwa udadavuzi wa hii kitu Sent...
  6. Josaje Mtui

    Tako mbili

  7. Josaje Mtui

    Taarifa habari kwenye Tv

    Kwa kipindi kirefu hua najiulizaga bila kupata jibu sahihi ya namna ambavyo usomwagi wa taarifa za habari kwenye tv..hua zinarekudiwa kwanza na kueditwa kabla hatujarushiwa sisi watazamaji au zinakuaga ni matangazo ya moja kwa moja kama ilivyo kwenye radiio.! Na kama ni matangazo moja kwa moja...
  8. Josaje Mtui

    Demu wangu wa zamani

    Nilikua na demu mmoja hivi tuliingia kwenye mahusiano ya kimapenzi tukiwa secondary miaka ile ya 98 na kwa kweli tulikoleana ila baada ya kumaliza shule yeye alienda kusoma kenya na kwa muda mrefu hatukuwahi kuwasiliana.pindi aliporudi masomoni alirudi na mtoto na nilipojua alijaribu kunikwepa...
  9. Josaje Mtui

    Canter inauzwa ipo same mjini

    Ipo same mjini.ipo ktk hali nzuri haidaiwi chochote.Bei ni 19 milion na mazungumzo pia yapo.wasiliana na Matilda Louis kwa namba 0714768333
  10. Josaje Mtui

    Nini kifanyike tukio kama la Dr.Lui Shika lisitokee tena?

    Kutokana na jina la Dr. Shika kugonga vichwa vya habari na kuwa gumzo miongoni mwa matukio ya kitapeli,nini kifanyike sasa ili kudhibiti matukio kama haya yasirudie tena kwenye mambo muhimu na yenye maslahi mapana kwa taifa.Dr.Shika alihujumu uchumi kwa tukio lile au alikwamisha shughuli za...
Back
Top Bottom