Search results

  1. Josaje Mtui

    Sasa unaingia Tarime! Angalizo: nimeikuta sehemu

    Ngumi zinakata kona aiisee
  2. Josaje Mtui

    Manabii wanapingwa sana ila alichokifanya nabii Clear Malisa ni kitendo cha kishujaa.

    Kwa hiyo mkuu punde tutakua na hekau tuwaalike wayudi watemane na yerusalem yao wawaachie wapalestina na hamasi yao wajimwae mwae.kweli hii kali na kiboko yake ila na wapestina nao wakitaka bongo iwe pia yerusalemu yao ya msikiti wa al aqsa itakuaje
  3. Josaje Mtui

    Huu Hapa ukweli kuhusu Utata wa selemani aliyeimbwa na Mbosso..

    Tatizo ni kuwa Iddi wana walimla kiboga kwa mujibu wa tetesi za kitaani.mabaharia walimpima oil [emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Josaje Mtui

    2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

    Tayari wameshakuja mkuu kukupa mwonngozo
  5. Josaje Mtui

    Nauza simu ya mkopo

    Ninaichukua
  6. Josaje Mtui

    Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    Tusiokua na mke tunakoment wapi
  7. Josaje Mtui

    Mbunge Pauline Gekul ahojiwa Polisi na kupewa dhamana, karudi nyumbani kwake

    Ingekua ni huku Chuga tayari wanachuga wangekua wamezingira nyumbani kwake na mawe kama yule Dangote alivyozua taharuki akiwa maiti ikabidi azikwe kwa siri watu wasijue kaburi lake.Chuga hainaga mbili kwenye moko
  8. Josaje Mtui

    Weusi kati kati ya mapaja (dark inner thighs) chanzo cha wanaume wengi kutmbea na wasichana wadogo

    Kwa hiyo inahitajika serikali kuchukua hatua ya kutenga bajeti ya kuwahidhi ama?
  9. Josaje Mtui

    Wanaume mliowahi kuozesha mabinti zenu njoo mtujuze!

    Nitamuhoji kwanza kijana iwapo anamfahamu binti yangu vizuri na iwapo kama anataka kuoa mtu ambae hana kazi ama shughuli yoyote...
  10. Josaje Mtui

    Kwenye mahusiano, hii inamaanisha nini?

    Inaamanisha 3 bila
  11. Josaje Mtui

    Kutongoza ni sifa ya kiume

    Mazagamuo mzagamuo
  12. Josaje Mtui

    Wall Geckos: Mijusi hatari wa nyumbani wanaoweza kutekeleza familia yote kwa sumu. Chukueni tahadhari

    Mkuu yanini upike chai kama hii isiyokolea majani wala sukari sasa
  13. Josaje Mtui

    Makundi bora ya muziki kuwahi kutokea kwenye Bongo Flava

    Gangstas With Matatizo ( GWM mazimwi)KR Mura na Doro,Solid Ground Family,Zigzag crew,Manzese Crew,Bandago,Kwanza Unit hatari sana
Back
Top Bottom