Search results

  1. APEFACE

    Rihanna Atoa Somo Zuri kwa Wanawake. Jitahidini Kuishi Maisha Ambayo Hamtajutia Baadaye

    Na mara nyingi majuto huja baada ya kutoka kwenye circles ambazo hazikuendana nawewe. Kuna circle ukitoka unaona hukuwa huru kifikra na kimwili pia
  2. APEFACE

    Mkaka atupiwa vinguo vyake nje na aliekuwa mchumba wake

    Kama mwanaume kitendo cha kumtegemea mwanamke ni fedheha kubwa mno, binafsi siwezi ruhusu hicho kitu ili hali nina nguvu za kutosha kujipambania.
  3. APEFACE

    Bora Episode au mke wa pili na watatu!

    Mkuu unapatikana kona ya Bwiru hapo mitaa ya Diamond au mitaa ya the Dream kama unapanda kwenda Kitangiri??
  4. APEFACE

    Ulianzaje kujichua

    Wewe hujasema, mpaka useme.
  5. APEFACE

    Ushauri special kwa wanaume special

    Wapo ndio dizaini ya wanawake hao wenye akili lakini sio wale wenye tuvichwa tudogo. Ukiona demu ana kakichwa kadogo muangalie mara mbilimbili
  6. APEFACE

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Ile meat yenyewe au mi ndo sijaelewa!!
  7. APEFACE

    Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

    Mkuu, ingekuwa hivo basi lazima na kwa Wasafwa wangekuwemo, hao ni Wandali waliohamia Unyakyusani ndio wakaleta hiyo shida ya uchawi uliokithiri. Ushawahi kuwasikia "Wasangule"??
  8. APEFACE

    Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

    Atarudi tena kwa ID nyingine
  9. APEFACE

    Nampenda sana Nargis Mohamed

    Weka picha tuchambue mchele na chuya
  10. APEFACE

    Kwa hatua iliofikia, nataka nigombane na mama mkwe live live

    Huwezi kukwea mti wa miba, utachomwa na miba.
  11. APEFACE

    Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

    Kule wanaita "Kunyika" halafu kuna "Ikuti" hao Manyamanyafu ni wale Wandali wachawi sugu waliotoka Undali-Ileje wakahamia Unyakyusani so wanakuwa termed kama Wanyakyusa sababu ya generation zao kuhamia Unyakyusani.
  12. APEFACE

    Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

    Kuna kipindi ndizi mbivu walikuwa wanauza mia kasinia kazima, wakawa wanaita "Mia zote"~sisi wa kule tunaita "kwa-Mwankenja"
  13. APEFACE

    Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

    Tutikula inguku imboli, matanga ghako.
  14. APEFACE

    I Love you too much Lamomy

    Unashughulikiwa kinyumbani. "Mapembelo"
  15. APEFACE

    I Love you too much Lamomy

    Mpige ndele kama unajua uhakika wa kumpata ni asilimia 0
  16. APEFACE

    Naombeni mwaliko wa kesho

    Ataliwa mtu ohooo
  17. APEFACE

    Nahisi nina gundu maana sipati mpenzi

    Uwe huru mkuu,fanya kinachofurahisha roho yako.
Back
Top Bottom