Search results

  1. mni

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Iv dawati la dharura la kila mkoa naomba namba ya emergency mkoa wa simiyu
  2. mni

    Kero ya faini ya 50000 kwa kukanyaga nyasi stendi ya Somanda Bariadi mkoa wa Simiyu

    Haya ni malalamiko yangu kwa uongozi wa stendi ya Somanda Wilaya ya Bariadi Mkoa wa Simiyu leo mida ya saa kumi na mbili asubuhi kuna jamaa amepita kwa bahati mbaya juu ya nyasi zilizopandwa kwenye eneo la standi na amepita bila kuelewa maana hamna bango lililoandikwa kwamba usikanyage nyasi...
  3. mni

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi naishi simiyu nina tatizo la umeme nyumbni kwangu tokea jana limoti yangu inaandika 000000000 kama vile umeme haupo ila kwa majirani upo kwangu tu ndo haupo nimejaribu kuwapigia wa emergency katika mkoa wangu sijafanikiwa kuwapata namba zao zote hazipatikani. Je kwa ili tatizo nitumie njia...
  4. mni

    Hivi wanaompokea Rais Samia kwenye ziara zake ni Wananchi au ni Chawa?

    Kwa hizo Tshirt hapo inaonekana kabisa wamepangwa sio wameenda kwa hiar yao wenyewe
  5. mni

    Media nchi hii imebakia Jamiiforums pekee na tuipe promo hadi Bushi

    Kama millard ayo alilipoti tamko la maaskofu kwamba sauti ya watu ni sauti ya Mungu ila sijui alitishiwa akaitoa haraka
  6. mni

    Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

    Unafata ww uliyeandika hii thread
  7. mni

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Kama basi kukiwa na hiyo thesis inayohusu Mungu huyo atakuwa sio Mungu maana ya Mungu ni mwenye nguvu kuliko wote sasa binadamu tunawezaje kutambua kitu kilichotupita uwezo mara trioni na Matrioni mengi.
  8. mni

    Sekretarieti ya Ajira inatoa siku chache za kujiandaa na usaili

    Kumbe sawa asantee sana sikuwa najua.
  9. mni

    Sekretarieti ya Ajira inatoa siku chache za kujiandaa na usaili

    Cheki tarehe ya tangazo ni jana yu ndo wametoa
  10. mni

    Sekretarieti ya Ajira inatoa siku chache za kujiandaa na usaili

    Issue sio kusoma hapa naongelea umbali wa kutoka niliko niweze kufika sehemu husika kwa wakati
  11. mni

    Sekretarieti ya Ajira inatoa siku chache za kujiandaa na usaili

    Wametoa tangazo jana mchana usaili upo leo saa tano siwez kuwahi hata iweje
  12. mni

    Sekretarieti ya Ajira inatoa siku chache za kujiandaa na usaili

    Usaili upo dodoma mimi nipo kigoma
  13. mni

    Sekretarieti ya Ajira inatoa siku chache za kujiandaa na usaili

    Sekretarieti ya Ajira inatoa siku chache kuita watu kwenye usaili mfano kada ya sheria majina yametoka jana tu leo watu waende kwenye usaili hii imekaaje mtu anayeishi kigoma kwel ataweza kushiriki huu usaili?
  14. mni

    Mungu Yuko wapi?

    Amina lakini ipo siku utajua hii sio mikwara
  15. mni

    Mungu Yuko wapi?

    Sio vitisho ndo ukweli halisi
  16. mni

    Mungu Yuko wapi?

    Usitake kuonekana mwelevu kufanya kufuru ili ufurahishe watu au kikundi fulani nakushauri usijitafutie laana kwa haya maandiko yako maana hasira ya Mungu ni kali sana tubu jiepusha na hizi kauli (acha kumfanyia kazi shetani kupotosha kondoo wa Mungu ) usipo sikia ipo siku na saa utakumbuka...
Back
Top Bottom