Search results

  1. alvinroley

    MSAADA: Afrika Kuna Kingdom Iliyoitwa Zamunda? Ipo Wapi? Na Bado ipo?

    Wakuu, kuna muvi ya Eddie Murphy ya mwaka 1988 ya Coming To America. Murphy (Akeem) akiwa Prince wa Dola ya Kifalme iitwayo Zamunda. Je, hii Dola Ilikuwepo? Bado Ipo? Inapatikana wapi? Au Ilikua ya Kusadikika? Msaada Please Wakuu
  2. alvinroley

    Arthur Peter Mutharika, Rais Mwenye Ulinzi Mkali Mno Africa

    Rais na Mwanasheria nguli wa Malawi Arthur Peter Mutharika (79) kutoka chama cha DPP atajwa na The Sun kuwa ndiye Rais mwenye ulinzi mkali kupita Marais wote barani Africa awe ndani ya Malawi au nje ya Malawi. Wachambuzi wanadai hii labda imetokana na hali halisi ya Maisha ndani ya malawi hivyo...
  3. alvinroley

    NBA AllStar 2019, Charlotte; King James Ampokonya Curry U-Captain wa East

    James (Lakers) amekuwa captain ktk allstars kadhaa akiwa Eastern Conference ambazo amecheza dhidi ya Western Conference. Sasa ameteuliwa kuwa nahodha wa kanda ya Magharibi kwenye NBA All-star 2019 huko Charlotte baada ya kuhamia Lakers iliyopo kanda hiyo ambayo kwa Mara kadhaa imekuwa chini ya...
  4. alvinroley

    Wanaume Wa Dar Njooni Tujadili Haya Mashambulizi Kutoka Mikoani

    Ndugu zangu wanaume wenzangu tunaoishi na kufanya shughuli zetu hapa Dar, sasa hivi tumekuwa tunashambuliwa mno mitandaoni na watu wa mikoani hasa wanaume wenzetu wanaoishi mikoani na pia hata wanawake wa huko mikoani. Wamekuwa wakitudhikahi kuwa sisi tumekuwa laini laini, lonya lonya tusioweza...
  5. alvinroley

    MSAADA: Safari ya Vatcan

    Msaada kwa wanaofahamu na wale waliokwisha kwenda. Ni taratibu zipi unapaswa kuzifuata unapotaka kwenda Vatcan City (Rome - Italy) kufanya utalii. Tukianzia hapa nyumbani, kuna agents wanaosaidia taratibu za kwenda huko kama walivyo maagent waliopo hapa Dar wa safari za kwenda kufanya utalii...
  6. alvinroley

    Mkorea hatari aliyeaminiwa katika kikosi maalumu cha ulinzi wa Rais wa Marekani Obama

    Ni mtu mwenye asili ya Korea, ni mkorea kabisa kimuonekano ila ni raia wa Marekani. Alikuwa recruited ndani ya Secret Service, Alipitia mafunzo maalumu akafuzu, Akashiriki katika operations nyingi Ndani na nje ya Nchi ya Marekani na mwishowe akaaminiwa. Obama alipokuwa Rais, Mkorea huyu...
  7. alvinroley

    Mtu anayeishi Uhamishoni anagharamiwa na nani?

    Habari za jioni, nahitaji msaada kwa hili kutoka kwenu wachambuzi wa masuala haya ya siasa, harakati na usalama. Hivi Mwanasiasa/MwanaUsalama/Mwanahabari/ Mwanaharakati anapopata hifadhi ya kuishi uhamishoni anakuwa anagharamiwa na nani huduma za chakula, malazi na masuala mengine ya maisha...
  8. alvinroley

    Lowassa ni bonge la Mastermind katika Siasa za Tanzania

    Huyu jamaa ni balaa. Kwa tukio la leo kwenda ikulu na kuonana na kuzungumza na Raisi, kwa magwiji wa siasa ni kete kwa upinzani na wana CCM ni pigo. na kwa waona karibu na wasiopenda kusumbua akili wanadhan ni kilio kwa upinzani na furaha kwa CCM. kwa wale magwiji wa CCM wanaoijua Siasa tukio...
  9. alvinroley

    Kuna mantiki gani kwa wanawake walioolewa kupost picha tamu mitandaoni?

    Binafsi najiuliza hivi kuna mantiki gani kwa wanawake walioolewa kupost picha nzuri nzuri na tamu tamu mitandaoni? Tena unakuta page/akaunti yake ina picha zaidi ya 300 lakini hakuna hata moja ambayo amempost mume wake. Ukikuta amepost picha ya mwanaume lazima captions ziwe happy birtday my...
  10. alvinroley

    Selfie hii ya Nyalandu iliyopigwa jana ina ujumbe

    Nyalandu na The Most Smartest Benard Membe
  11. alvinroley

    Mawazo Yangu Juu ya Rich Mavoko

    Ana nyimbo nzuri sana, ni mtunzi mahiri sana wa mashairi na pia dogo ana muonekano, but siku zote kitu kitakachokufanya aendelee kuonekana wa kawaida na hakui kimuziki ni theory flan inaitwa "playing as a son of". theory hii kiukweli ndio ilimkimbiza neymar pale barcelona, japo ni waandishi...
  12. alvinroley

    Magufuli Mapumzikoni Chato

    Baada ya pilikapilika za kuwahudumia watanzania hatimaye Rais Dr John Magufuli yupo mapumzikoni huko Chato 'anakula upepo' kidogo.
  13. alvinroley

    Tetesi: Bodi ya Ushauri ya Kimataifa Kuhudhuria Mazungumzo ya Barrick/Acacia na Serikali

    Wakuu kazi haitakuwa ya Kitoto na tunatakiwa tuandae jopo letu la wataalamu na wanasheria vichwa n'a makini sana. Inasemekana Bodi ya Ushauri ya Kimataifa itakuwepo katika mazungumzo yajayo kati ya Barrick/Acacia n'a Serikali ya Tanzania. Kazi ya Bodi hii itakuwa ni kutoa Ushauri katika...
  14. alvinroley

    Askofu Gwajima Amshambulia Bashite Kwa Kishindo. Aonyesha SMS ya Anthony Diallo

    Leo katika kanisa la Ufufuo na Uzima Yule askofu machachari Askofu Gwajima amejibu mashambulizi ya hotuba ya RC wa Dar Es Salaam yaliyofanyika television ya Star TV majuma kadhaa yaliyopita. Amechambua hotuba yote aliyofanya RC pale Star TV, ameeleza elimu ya Nape Nnauye, amechambua tukio la...
  15. alvinroley

    Rais Magufuli kama Florentino Perez, Usajili wa Mghwira na Mkumbo waizika rasmi ACT Wazalendo

    Kama ingekuwa kwenye soka Basi Rais Magufuli angekuwa ni Florentino Perez, ambaye ni Rais kichwa wa Club ya Real Madrid anayetumiaga akili sana kusajili pale Santiago Bernabeu. Rais Magufuli kumteua Bi Mghwira kuwa RC Kilimanjaro Na Prof Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji ni Usajili...
  16. alvinroley

    Tetesi: Kamanda Mwanamke Kuteuliwa Kanda Maalumu Dar Es Salaam, Mangu Kuwa Balozi

    Habari zisizo rasmi (Tetesi) ambazo zina chembechembe nyingi za kuaminiwa kutoka kwa watu walio karibu na Mamlaka za uteuzi, zinadai: 1. Kamanda Mwanamke huenda akateuliwa kuwa Kamishna wa Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam kurithi nafasi ya Simon Sirro 2. Ernest Mangu kuteuliwa kuwa Balozi wa...
  17. alvinroley

    Obama Kulipwa Dola Laki 4 (USD400,00) Kwa Speech Ya Afya Mwezi September

    Rais wa Zamani wa USA Barack Obama amekubali ombi la Taasisi ya Cantor Fitzgerald LP ya kumpa Dola Laki 4 (USD400,000) ili atoe speech kwenye HealthCare Conference mwezi September mwaka huu itakayofanyika Wall Street. Jamaa ana takriban siku zisizopungua 100 nje ya ofisi ya White House na...
  18. alvinroley

    Trump Kumteua General Randolph Alles Kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (Secret Service)

    Habari za ndani kutoka White House zinadai Rais Donald Trump muda si mrefu atamteua Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Wanamaji (US Marine Corp), Randolph Alles a.k.a Tex kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa wa nchi hiyo (Secret Service General Director). Jeneral Mstaafu Randolph Alles ni Jasusi...
  19. alvinroley

    Zijue US Military Bases (Camps) Duniani.

    Marekani ina jumla ya Military Bases (Camp) katika nchi 150 Duniani lote. Imesambaza wanajeshi duniani kote katika camp hizo bila kusahau Silaha na Majasusi. US wameizunguka dunia kona zote. Zifuatazo ni US Military Bases ambazo zina wanajeshi zaidi ya Laki moja; 1. Afghanistan 2. Japan 3...
  20. alvinroley

    RASMI: Marekani Yaingia North Korea. US Aircraft Carriers Zilizofichwa Singapore Zapelekwa

    Uvamizi wa Marekani chini Korea Kaskazini waamriwa Rasmi. Kabla ya kuingiza aina zingine za Majeshi ambayo yako tayari kwa vita, Pentagon yaamrisha Big 4 Aircraft Carries zilizobeba makomandoo na ndege hatari za kivita zianze kuingia katika bahari ya North Korea mchana wa Leo. Eneo hilo ndilo...
Back
Top Bottom