Search results

  1. DEVINE

    Wewe unaogopa mnyama gani?

    Binafsi siogopi hata nyoka wala simba ila kuku ukiniletea sikai kwa amani labda awe amesha iva. Wewe unaogopa mnyama gani zaidi?
  2. DEVINE

    Nawauliza wanaochukua ITM,ITS na ITB mzumbe

    Naomba niwaulize.Je wanaochukua ITB,ITM,na ITS pale Mzumbe.,mwaka wa kwanza wanaenda field? Na pili tofauti ya kozi hizo ni zipi?
  3. DEVINE

    Miradi ambayo nchi za Afrika zingefanya ili kuondoa utegemezi

    Miradi ambayo kama nchi za Afrika zingeifanya ili kuondoa utegemezi wa nchi za Magharibi.: 1.Kama kungefanikishwa uanzishaji wa kampuni ya RASCOM 1992.Ambayo ingeendesha satelaiti ya pamoja na kuondoa utegemezi wa kimawasiliano. 2.Kuanzisha AFRICAN MONETARY FUND (AMF) kule Younde Cameroon mpango...
  4. DEVINE

    Sema tu ukweli...

    Hebu vuta picha unaamka asubuhi unakumbana na hayaa; 1.Umebadilika jinsia. 2.Baada ya kubadilika unajikuta tajiri. 3.Alafu siku hiyo umetembelewa na wazazi wako kwako,au huko na mwenza wako wa ndoa au mchumba/mpenzi. Ivi utajisikiaje?
  5. DEVINE

    Utapata mimba mwaka huu...!!

    Jana kuna mchungaji mmoja katika mahubiri yake huwa anachangamsha sana waumini wake,kwa mfano utakuta katikati ya mahubiri utasikia "..Muambie jirani yako..Yesu anakupenda!" basi kwa furaha na mbwembwe kila mtu atamuambia jirani yake,kisha mchungaji anasema "pokea upendo wa bwanaa!"..Sasa jana...
  6. DEVINE

    Swali

    Ivi naomba niuleze eti mwanaume hua ana bikira?! Sasa kama hajawahi kufanya mapenzi anajulikanaje?
  7. DEVINE

    Mtoto kokoto

    Mwanafunz kachelewa shulen... Mwalimu:kwann umechelewa? Mwanafunz: kuna babu alipoteza elfu10 kwenye basi. Mwalimu:kwahiyoukamsaidia kutafuta? Mwanafunzi: hapana nilikuwa nimeikanyaga na mguu nasubiria aondoke niichukue, darasan hahahahaha
  8. DEVINE

    Jamaa nimegundua jinsi ya kutabiri kifo..!!!

    Jamani hii sio masihara,nimekutana na mbibi mmoja jana jioni wakati natoka miangaikoni,baada ya kumsalimia tukaanza stori kwani wote tulikuwa tunaelekea njia moja. Katikati ya stori akaniauliza kama najua jinsi ya kutabiri kifo.Sio siri niliogopa nikamjibu hapana,sasa baada ya kumjibu tu akaanza...
  9. DEVINE

    Mauzauza chumbani...!

    Umeamka saa 11 alfajiri ,unahisi kuna mtu amelala pembeni yako unajikagua unagundua umevaa kufuli tu na si kawaida na jana yake unakumbuka ulilala pekee yako,si ivyo tu na si kawaida yako kutumia kilevi.Kwa haraka unageuka na unakumbana na mtu kumchunguza vizuri ni mwanamke/mwanaume yule...
  10. DEVINE

    Mtaa fulani Buguruni.

    Jamaa alitembelea viwanja vya machangu doa,baada ya kusimamisha gari wakaja wasichana wengi wakimgombania,ila yeye alivutiwa na mmoja,na mazungumzo yakawa ivi. Jamaa;...Sasaa,niambie bei zako. Changu;...Bao 1 la kusimama ni buku,bao 1 kwenye nyasi buku mbili,bao 1 kwenye gari au kwenye kochi...
  11. DEVINE

    Je ungeamua nini hapa....??!

    ....Baada ya mpenzi wako kutoka kwenda uwani,unafungua simu yake kama kumchunguza ktk (inbox) unakuta ujumbe huu... "...Honey am sorry,ukweli nilikosa jinsi ya kuwasiliana na wewe kwa kweli ,naogopa hata kuonana na wewe usoni najua ulikuwa ukinitafuta sana ila kwa sasa nimeamua kumrudia mungu...
  12. DEVINE

    Swali rahisi kabisa.

    Rais akifungua mradi wa maji basi atachota na kunawa kidogo,akiwa anazindua barabara basi atatembea kidogo kwenye barabara hiyo mpya,pia rais akifungua jengo fulani atakata utepe na kuwa wakwanza kuingia,hata akizindua kampeni za ukimwi hua wakwanza kupima,akifungua kiwanda cha nguo basi ugaiwa...
  13. DEVINE

    Unajimu mwaka 2012

    Wale wenye anyota za kuku huu ndo mwaka wao wa bahati kwani itakuwa rahisi kwao kuishi bila presha kwani watakuwa wepesi kusahau vituko vya serekali mwaka huu. Wenye nyota za panya wawe makini,kwani njia zao zote za vificho zitafunuka mwaka huu. Wenye nyota za sungura aitakuwa si tofauti sana na...
  14. DEVINE

    You the animal not an animal.

    4 REASONS WHY DOGS ARE BETTER THAN WOMEN 1)dogs obey when u shout at them 2)dogs dont shop(shoping) 3)u can give away your dogs children but not woman child 4)any guy can get a good looking dog! But not all guy can get good looking Filled underFunny SMS,Reasons WhyNo Comments3 REASONS Y CATS...
  15. DEVINE

    Men;watch your answers.

    Wife buys a Dozen underwear of same color 4 hubby her husband. HUBBY:Why Same Color? People will think I never change underwear.. WIFE:Which people who see your underwear than me? TOTAL SILENCE WIFE:Answer me!! HUBBY: (silently)Damn! what have i said!
  16. DEVINE

    Special msg 4 nyu yia

    Clouds r white but the sky is blue,monkey like u should b kept in the zoo, dont get angry ull find me there too,not in the cage but laughing at u. ha! ha! ha! Hapi nyu iya anyway.
  17. DEVINE

    Wait a second

    What’s a billion years to God?Man: Whats a billion years to u? God: Only a second! Man: Whats a billion dollars to u? God: only a coin! Man: Can I have a coin? God: Yes, wait a second!
  18. DEVINE

    Enzi za mwalimu!

    -Enzi za mwalimu msichana akitongozwa analia na lazima akamwambie mama yake,lakini siku hizi ukimtongoza binti anajibu 'nakupenda pia ila unashilingi ngapi?' -Enzi za mwalimu gesti zilikuwa unaandikishwa hadi jina la mjumbe wa nyumba kumi ulipotoka,ila siku hizi jina si lazima ila utakaa masaa...
  19. DEVINE

    Share verses.

    *HAVE MY WORDS* Have my greatings my dear. Whatever you are we still together. Me from littoral am well better. My text is like invader. Please take it,is just a nugget. Am very happy but am hurt. Because you are fur from my tongue. But not fur from my shoe. Please,receive happiness...
  20. DEVINE

    Send me your mother

    A kid wrote to Santa Claus: Send me a brother as my x mas gift because am only child! Santa wrote back: Send me ur mother and after 9 months u ll see ur brother.
Back
Top Bottom