Search results

  1. Francis12

    Jeshi la Polisi wavamia ofisi za chadema na kumkamata Mwenyekiti wa mkoa

    Jeshi la Polisi limevamia ofisi za CHADEMA kanda ya Kaskazini na kuzuia maandalizi ya Kongamano la Tume huru ya uchaguzi lililopangwa kufanyika leo Jan 8 mwaka 2022 Kongamano hili ambalo mgeni rasmi ni Mh Sharifa Suleiman lilipangwa kuanza saa sita kamili leo.Kongamano hili ni kumbukizi ya...
  2. Francis12

    Tundu Lissu: Kukamatwa Mbowe ni juhudi ya watu kwenye vyombo vya dola

    Siku Moja kabla ya kumkamata Freeman Mbowe nilipigiwa simu na Ikulu Ila nilikuwa safarini, kesho yake Usiku ndiyo wakamkatama Mbowe Tumefanya juhudi kubwa sana kujaribu na Mama Samia lakini amekuwa anakwepa kwepa mazungumzo kwa muda mrefu. Kuna watu ndani ya Serikali ambao awataki kuwe na...
  3. Francis12

    Hujuma za kutisha uchaguzi mkuu wa BAWACHA - Mwanza

    Anaandika Mdau kutoka Mwanza HUJUMA ZA KUTISHA UCHAGUZI MKUU WA BAWACHA - MWANZA Leo 18 May 2021 ni siku ya Uchaguzi Mkuu wa Bawacha Taifa kujaza nafasi zilizoachwa wazi na akina Halima Mdee na wenzie, Kwa tulio wengi tunategemea Chadema kama Chama cha Demokrasia na waumini wakubwa wa uhuru...
  4. Francis12

    Baba Askofu Bagonza: Naendelea kuleta salaam za pole kwa watanzania wote. Poleni kwa msiba mzito. Faraja ya kweli itufunike sote

    Anaandika Baba Askofu Bagonza MASUALA siyo MAJINA Naendelea kuleta salaam za pole kwa watanzania wote. Poleni kwa msiba mzito. Faraja ya kweli itufunike sote. Katika nyakati za kutafuta au kuchagua Viongozi, Baba wa Taifa alikuwa akisisitiza umuhimu wa kuchambua na kuorodhesha masuala kuliko...
  5. Francis12

    Mahakama ya Mwanzo ya Buguruni imevunja ndoa ya waliotengana kwa makubaliano ya kila mmoja aende kutafuta watoto

    Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya Wanandoa Raymond Kulaya (44) na Magreth Silaeli (37) waliotengana kwa miaka 10 baada ya kukubaliana kila Mtu akatafute Watoto ‘anapopajua’ baada ya kuishi miaka mitano bila kupata Mtoto, kwa sasa Magreth amepata Watoto wanne na Mwanaume mwingine...
  6. Francis12

    Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

    WAPI ALIPO RAIS WETU? Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimeitaka serikali ya nchi hiyo kujitokeza na kueleza alipo rais John Magufuli na hali magufuli na yuko katika hali gani. Kauli ya Chadema inakuja wakati ambapo kuna siutafahamu juu ya alipo rais Magufuli. Mara ya mwisho...
  7. Francis12

    Kwa heshima naombeni mpigie Kura Malisa GJ amekuwa mchango mkubwa sana kwa Jamii katika kugusa maisha ya Watanzania

    Anaandika Comrade Malisa GJ. Rafiki yangu mmoja kanitumia ujumbe "Malisa mbona huombi kura?" Ikabidi nimpigie kumuuliza kura za nini? Akaniambia za tuzo. Nikamuuliza tuzo zipi? Akaniambia umependekezwa kwenye tuzo ziitwazo Tanzania Inspiration Awards. Nikamwambia sina taarifa. Akanitumia...
  8. Francis12

    Dotto Bulendu: Naamini CHADEMA watavuka katika hili, haya hutokea Taasisi inapokua

    Naamini Chadema watavuka Katika hili, haya hutokea taasisi inapokua Na Dotto Bulendu Kupishana mawazo ndani ya taasisi ni kitu ambacho kipo kote duniani,kikubwa kupishana huku kuwe kifalsafa, kiitikadi Na kimsimamo ili baada ya hatua hiyo kuifanye taasisi hiyo Kuwa imara zaidi. Kupishana...
  9. Francis12

    Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia

    Bwana Ndugai anahitaji msaada wa haraka wa saikolojia. Malisa GJ Mosi, Huu uchungu anaouonesha Ndugai sio wa Halima na wenzake kupigwa, ni uchungu wa kupoteza yale matrilioni ya wafadhili. Ameshaona dalili zote kwamba hata akiwalinda akina Mzee Halima na wenzake waendelee kuwa wabunge...
  10. Francis12

    Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe atazungumza na Umma wa Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari, leo Novemba 27, 2020, kuanzia saa 3.00 (usiku huu), kuhusu maamuzi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Vyombo vya habari vya Kitaifa na Kimataifa vimealikwa. Stay Tuned for Updates...
  11. Francis12

    Freeman Mbowe leo atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa

    Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe.Freeman Mbowe Alhamis, Mei 14, 2020, saa 5 asubuhi, atazungumza mubashara na waandishi wa habari kuhusu masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Tutawataarifu zaidi. Asanteni. =============== Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe uliokuwa...
  12. Francis12

    Dkt. Chriss Cyrilo (MD): Mwongozo wa wizara ya Afya nchini Tanzania unasema hadi sasa hakuna dawa ya kutibu ugonjwa wa covid19.

    -Anaandika Dr.Chriss Cyrilo (MD) ____________________ Mwongozo wa wizara ya Afya nchini Tanzania unasema hadi sasa hakuna dawa ya kutibu ugonjwa wa covid19. Wakati huohuo tunaarifiwa kuwa serikali imepokea shehena ya dawa ya kukinga na kutibu covid19 kutoka Madagascar. Je serikali kupitia wizara...
  13. Francis12

    Dkt. Festo Ngadaya: Sensitivity vs Specificity | Vipimo vya maabara huwa sahihi kama ukipima kile kinachotakiwa kupimwa

    Anaandika Mwanasayansi wa vipimo vya Maabara. Festo Ngadaya Sensitivity vs Specificity: Vipimo vya maabara huwa sahihi kama ukipima kile kinachotakiwa kupimwa. Njia ya upimaji tutasema ni bora pale ambapo kipimo kimoja kitapimwa zaidi ya mara moja na kutupa majibu yanayofanana. Kwa kifupi hapa...
  14. Francis12

    Zitto: Mahakama Kuu imetoa hukumu kuwa Rais wa Tanzania anaweza kushtakiwa kwa makosa ya uvunjaji wa Katiba

    Ameandika Zitto Kabwe: "Mahakama Kuu imetoa hukumu kuwa Rais wa Tanzania anaweza kushtakiwa kwa makosa ya uvunjaji wa Katiba. Jaji Lameck Mlacha ametoa hukumu hiyo katika hukumu ndogo kwenye shauri nililofungua kumshtaki Rais @MagufuliJP kwa kumvua uCAG Prof. Assad. Shauri la msingi...
  15. Francis12

    Freeman Mbowe: CHADEMA kufanya Mikutano Nchi nzima kuanzia Mwezi wa nne. Bado tunahitaji kujua waliomuua Aquilina

    Mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA NA WAANDISHI, Machi 16,2020. ==== Updates “Watanzania walifikiri mashtaka yetu yanahusika na kumuua Akwilina, hatuwezi kufunga faili la kesi ile bila kujua hatma ya Akwilina”.Mhe.Mbowe. “Waliohusika wasiachwe wakacheza na maisha ya watanzania, hawa watu...
  16. Francis12

    Ukatibu Mkuu Bavicha: Nani kumrithi Mwita?

    NANI KUMRITHI MWITA UKATIBU MKUU BAVICHA? By Malisa GJ, Usiku wa leo Baraza la vijana la Chadema (BAVICHA) litampata Mwenyekiti wake mpya na Makamu Mwenyekiti watakaoongoza baraza hilo kwa kipindi cha miaka mitano hadi 2024 (kama hawataunga mkono juhudi). _ Kesho Kamati Tendaji ya BAVICHA...
  17. Francis12

    Bosi sekretarieti ya maadili amtaja Mbowe

    SERIKALI imesema kasi ya viongozi kutoa taarifa zao kupitia fomu ya matamko ya mali na madeni ni nzuri huku Kiongozi wa Kambi Rasmi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe akitajwa kuwa ni mfano wa kuigwa katika zoezi hilo. Imeelezwa kuwa katika kipindi cha 2018 jumla ya viongozi 15,303...
  18. Francis12

    TANZIA: Muigizaji Seth Bosco (Mdogo wa Marehemu Kanumba) amefariki dunia Usiku wa kuamkia leo

    Mdogo wa Marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwa Mama Kanumba Kimara, Dar es Salaam alipokuwa akiuguzwa kwa muda sasa baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye uti wa mgongo. Abela ambaye ni Dada wa Marehemu amethibitisha...
  19. Francis12

    Yanayojiri kutoka Arusha kwenye Mkutano Mkuu wa kuchagua Viongozi wa Kanda ya Kaskazini.

    Baraza la Uongozi la (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini linaketi leo Novemba 30, 2019 Jijini Arusha, Kufanya Uchaguzi wa Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Mwekahazina. Wagombea nafasi ya Uenyekiti kanda ya Kaskazini Kuna Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema na Mbunge wa Jimbo la Rombo...
  20. Francis12

    Air Tanzania plane seized in Canada over US$33 million compensation claim

    An aeroplane being delivered to Tanzania’s national airline has been impounded in Canada over a Namibian-born farmer’s US$33 million compensation claim, Tanzania’s foreign minister said on Saturday. The DHC Dash 8-400 aircraft, a turboprop also known as the Bombardier Q400, which seats up to...
Back
Top Bottom