Search results

  1. godizila

    Aina ya gari hii sifa zake zikoje?

    Habari wakuu naomba kujua sifa za hii gari.
  2. godizila

    Guest ya sh 15000-20000

    Natafuta guest ya hiyo bei wakuu maeneo ya barakuda naomba mrejesho
  3. godizila

    Wazo biashara ya kulipia instagram

    Wakuu naomba mrejesho kuwa na tangazo ninalolipia Instagram ikoje maslahi??
  4. godizila

    Ni eneo gani zuri kwa biashara ya Tuition Center

    Wakuu habari mimi kitaaluma ni mwalimu masomo ya sayansi (hesabu). Sasa naona njia nzuri kuweza kujikwamua ni kuwa na centre tuition, naomba mrejesho location nzuri. Niko Dar
  5. godizila

    Biashara ya vifaa vya simu, charge, betr, headphone. Yaani accessories

    Wakuu naombeni ushauri location mtaji na Jinsi gani hii biashara italipa Nataka nijue mahala sahihi pakuanza na mtaji wa wastan na sio mkubwa sana.
  6. godizila

    Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae

    Anicheki 0715759884 Vigezo Dini yoyote,mweupe au mweusi Umri 28 -33 Asiwe na ukimwi na magonjwa ya kuambukiza
  7. godizila

    Harrier new model 2021 0 KM ni bei gani?

    Wakuu kwema mwenye uzoefu wa hii gari ya Harrier used mwaka kuanzia 2005 Ni Bei gan kwenye kampuni ya Autocom Japan.
  8. godizila

    Benki gani hutumika kwa Walimu pindi anapoajiriwa?

    Habari wana jamvi Naomba msaada wa kuelezwa, ni benki gani hutumika haswa na Walimu kwa ajili ya kupokelea mshahara pindi anapoajiriwa
  9. godizila

    Nahitaji msichana Wa kuchat nae umri wowote

    Nicheki pm tuyajenge hasa maswala ya namba hasa whatsapp
  10. godizila

    Aliyewah kuapply kupitia oteas(online teachers application system)

    Habarin wakuu naomba kuuliza kama kuna mwalimu humu aliyeajiriwa mwaka huu kupitia oteas
  11. godizila

    Kuscsn cheti

    Hiv wakuu kuscan chet ni lazima uscan pande Mbili?? Na vip PDF ukishapewa document yako mbona inagoma kufunguka??
  12. godizila

    Betting games

    How we calculate vat 20% in betting games 20% of vat is what you won after deduction of original amount Example; You won 1500 after place bet by amount of 1000 now take 1500-1000=500 this 500 find its 20% now you get 100 only Now you have won 1500 reduce 100 you get 1400 This is your amount...
  13. godizila

    Kazi wakuu

    TEACHING POST (7) HEAD TEACHER,BIOLOGY AND CHEMISTRY,PHYSICS AND MATHEMATICS Tanzanian only. But also we are in need of UGANDAN TEACHERS. 1. Head Teacher. School location: Kigamboni Dar es salaam Gender: Female/Madam Age : From 30 and above School level: Nursery to Grade iv Qualification...
  14. godizila

    Kuku Wangu hatagi

    Wakuu habarini za asubuhi Nina Kuku wangu tetea alitaga mzao Wa kwanza mayai 8 akakataa kuyatamia Ilipofika muda Wa kutaga mzao wake Wa pili alianza kutetea kwa kasi sana na akitaka kutaga anaingia mahali pa kutagia anakaa hapo karibu nusu SAA anatoka nje bila kutaga yai hali hii imejirudia...
  15. godizila

    GPS kwa techno y3

    Wakuu nashindwa kuifanya enable simu yangu gps na hata nikiweka on bado kuna apps nikifungua zinasema location is enable[emoji27]
  16. godizila

    Msaada screenshot

    Wakuu nisaidien kuscrenshot kwenye laptop
  17. godizila

    Ualimu Wa sayans .....masomo hisabat na computer

    Habar wakuu mm n kijana undergraduate nimehitimu mwaka huu natafuta temporary teacher kufundisha o level au advance!!! Karibun wakuu
  18. godizila

    Jinsi ya kutajirika na mchezo Wa keno

    Tupeane ujuzi wakuuuu
Back
Top Bottom